Habari Mbaya sana.
Askari Polisi wa Uslama Barabarani kagongwa huko Gongo la Mboto na kupoteza maisha hapo hapo barabarani.
Picha haitazamiki mara mbili kwani Ubongo upo nje.
Huwa aka yake anaitwa Mzee wa Busara.
Taarifa kamili watatoa polisi wenyewe.
Apumzike kwa amani.
picha kwa hisani ya Masoud Kipanya,toka mtandaoni!
👉🏾Kwani toka lini bodaboda hasa katika jiji la Dar Es Salaam ,mkapata exceptions kwenye mataa na junction mbalimbali hasa taa za barabarani zinapowaasa msimame??,Kwanini kwenu kufuata taa na alama za barabarani imekuwa nongwa?? Mnahatarisha...
Kwa kasi ya ukuaji wa teknolojia kwenye tasnia ya magari, self driving cars sio muda itakua kitu cha kawaida.
Kwa nchi za wenzetu, wameshajipanga kwa ilo na kua na sheria na miongozo mbalimbali ya self driving cars.
Wana sheria zitakazo solve migogoro endapo itatokea ajali, kutakua na...
Kwangu binafsi naona ni mwendelezo wa unafiki wa Polisi Tanzania. Umesikia hata siku moja pale inapotokea ajali ya gari za serikali, hasa hizi Landcruiser ST.. wakisema ajali imesababishwa na uzembe wa dereva? Na kila mtu anajua madereva wa hizi ST.. wanaendesha gari kwa fujo bila kufuata sheria...
Kama kila kosa la Bajaj na bodaboda ni sh. 10000 mkiwatoza effectively hata mabosi wao hesabu hawataziona. Mkiwapeleka Mahakamani watajazana huko na serikali itakuwa busy kwa vitu visivyo na msingi.
Dawa ni vibao tu kwa hili kundi la vijana wa bodaboda na Bajaj.
Makofi sometimes huweka akili...
Ndugu zangu Watanzania hususan abiria mnao abiri hayo mabasi, jitahidini sana kuwakemea madereva wajinga kama huyo hapo kwenye video.
Eneo la makazi kama hilo ni wazi mwendo kasi ni chini ya 50. Lakini pamoja alama inayo ruhusu watembea kwa miguu kuvuka bado basi linapita likiwa mwendo kasi...
Wanabodi Habarini...
Leo Nimesimamishwa Na Askari Wa Usalama Barabarani akwa Kosa La Kutofunga Mkanda. Nilipomuona Ananifata Nikajiongeze Kufunga Kumbe Kashaniona. Ikanibidi Nikiri Kosa Na Kuomba Kujirekebisha, Tukaongea Kikubwa Yakaisha.
Swali Ambalo Nilijiuliza Na Hata Yeye Nilimuuliza...
Wakuu mpo vizuri?
Huyu jamaa aliyejirekodi akioga na kuvunja nazi katikati ya barabara aliona hii ndio njia sahihi ya kuchekesha? Hapana, huu ni ujinga na hatari.
Kwanza, anachafua barabara kwa mabaki ya nazi na maji, akiharibu miundombinu. Pili, amesababisha foleni kwa madereva waliolazimika...
Habari zenu wana JF
Niliwahi kuandika juu ya suala ya usafirishaji kwenye majiji yetu yote. Nilikwenda mbali zaidi kwamba inafika wakati sio bisahara tena bali ni huduma.
Serikali yetu inazorotesha maendeleo ya kiuchumi kwa mtu mmoja mmoja na nchi kwa ujumla kwa kung'ang'ania hizi daladala...
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema askari wawili wa Kikosi cha Usalama Barabarani walioonekana kwenye video wakifanya vitendo ambavyo ni kinyume cha maadili ya Jeshi la Polisi kwa maana ya kupokea rushwa, tayari wamekamatwa na wako mahabusu na hatua za...
Eneo Mbutu limekuwa sehemu kuu ya kuchimbwa vifusi kwa ajili ya ujenzi mbalimbali.
Hatari kuu kwa watumiaji wa barabara ni haya malori kujaza vifusi kupita kiasi kinachotakiwa na hakuna hatua inayochukuliwa na mamlaka husika.
Moja ya madhara ambayo yamekuwa yakitokea ni kumwagika kwa vifusi...
Anonymous
Thread
barabarani
kigamboni
malori
sheria
usalamausalamabarabarani
Habari waungwana,Kuna hawa Askari wa kikosi Cha usalama Barabarani mkoa wa Mbeya wamezidi kuchukua Rushwa.
Muda huu Niko safarini kutoka Mbeya kuelekea mkoa wa Songwe tumekutana na Askari maeneo ya Ifisi na Songwe viwandani wao kazi Yao ni kuchukua Rushwa tu.
Wanasimamisha Magari lakini hakuna...
Wakuu
Ukilewa na huna usafiri waombe jeshi la polisi wakupeleke home chap 😂
==
Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Kinondoni (RTO), SSP Solomon Mwangamilo, amewashauri wananchi wanaojikuta wamelewa kupita kiasi na hawana usafiri wa kuwaomba msaada Jeshi la Polisi wakiwa katika hali hiyo...
Kutokana na ongezeko kubwa la vyombo vya moto, vyombo vya usafirishaji na mitambo mbalimbali inayotumia barabara, ipo sababu ya mitaala na miongozo ya ufundishaji au utoaji mafunzo yoyote nchini kujumuisha mada ya usalama barabarani ili kupanua wigo katika uelewa wa matumizi sahihi ya barabara...
Wale washamba mnaowekaga miguu hapo, ajali ikitokea na airbag ikifunguka hiyo miguu utaikuta shingoni😂😂😂
Miguu ikienda shingoni unakamalisha ule msemo wa kifo cha mende chali..🤣🤣🤣
Nchi hii haishi vituko.
Kuna kigogo mmoja wa Bunge, kawa dalali wa kampuni moja ya UAE anashinikiza jeshi la Polisi na wizara ya Mambo ya ndani kuingia katika mradi wa ubia wa dola milioni 700 unaohusu kuweka camera za usalama barabarani nchi nzima.
Gharama halisi ya mradi huu kwa upembuzi...
CHUO cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kupitia Kituo chake cha Kikanda cha Umahiri katika Usalama Barabarani kwa kushirikiana na Mamlaka ya Usafiri na Usalama Barabarani Zanzibar (ZARTSA) kimetoa mafunzo ya usalama barabarani kwa madereva na makondakta wa gari za abiria wa Mkoa wa Kaskazini...
Hii tabia ya Askari wa Barabarani especially Mkoa wa Dar es Salaam maeneo mengi likiwemo eneo la Kamata Kariakoo, Ilala Boma na maeneo mengineyo, kutafuta vijana machawa wa kukamata Bodaboda ambao wamevunja Sheria za Usalama Barabarani kama kutokuvaa kofia ngumu na mengineyo, sio nzuri na ipo...
Wanabodi,
Mimi mwanabodi mwenzenu, niko mitaa ya Masaki kwenye Makao Makuu ya Kampuni ya Mafuta ya TotalEnergies, kuwaleta live hafla ya utoaji wa Tuzo za VIA za TotalEnergies kwa ushirikiano na Karibu Art Space kwa shule za msingi za jijini Dar...
Habari ndugu Wanajamii Forums. Nimeona nije kupata ufafanuzi kutoka kwa wataalam wa mambo ya usalama barabarani.
Kwa ufupi nilikuwa na safari kutoka Mkoa mmoja kwenda mwingine huku nikitumia usafiri wangu binafsi. Kiukweli njia nzima changamoto zilikuwa ni nyingi kutoka kwa hawa askari wetu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.