Makonda anaalika watu wenye Range, Doscovery nk kwenda Arusha kwenye tamasha la land rover festival 2024, huku akieleza kuwa watakaokwenda wakiwa njiani wakipata changamoto yoyote wamwambie Huyo Askari wa Barabarani ampigie Makonda, yaani kesi zote auziwe yeye Makonda, waseme Makond ndio...
Ikitokea ajali wanaangalia kamera za ndani na nje. Kamera ziwepo kama tatu.
1. Kuonesha mbele inapoenda
2. Kuonesha dereva anavyoact (hii irekodi na sauti - cockpit voice recorder
3. Iwe kwa abiria kiujumla kwa ajili ya usalama.
Tumechoka kuambiwa tu, mwendokasi, sijui kona kali ndio sababu...
Habari za wakati huu wakuu wangu, mimi nina kero yangu kuhusu hawa Askari wa usalama barabarani traffic kuchukua rushwa (kifurushi) badala ya kukagua gari.
Kwahiyo madereva wanashughulika na kuwa na hela ya kulipia kifurushi badala ya kutengeneza gari gari bovu.
Jeshi la Polisi mkoani Mara linawashikilia watu 18, wakiwemo dereva, kondakta na abiria 16, kwa tuhuma za kumpiga askari wa usalama barabarani aliyekuwa akikagua gari walilokuwa wamepanda. Tukio hilo lilitokea Septemba 18, 2024, saa 12 jioni katika mkoa wa Mara.
Akizungumza kuhusu tukio hilo...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu
Wataalamu wa sheria , naomba kufaham faini anayostahili kulipa mtu wa boda endapo atakutwa na makosa ma nne
Au mtu wa gari anayeweza kukutwa na makosa ma nne
Nimeamua kuandika uzi huu sababu kumekuwa na mabishano mtaan, wapo wanaosema hata...
Ajali za barabarani ni tatizo linaloendelea kukua nchini Tanzania na linaathiri jamii kwa namna nyingi. Kila siku, tunasikia habari za ajali mbaya zinazosababisha vifo na majeruhi, hususan kwa watu wasio na hatia.
Hali hii inasikitisha sana, na swali linalojitokeza ni: Kwanini jeshi la polisi...
Habari wana jukwaa,
Nimeandaa miradi miwili ya usalama barabarani. Mmoja unahusu bodaboda na mwingine unahusu watoto walio shuleni [shule za msingi]. Inaohusu zaidi elimu ya usalama barabarani na pia ya afya na ujasiriamali kwa bodabodaz.
Natafuta mtu, taasisi au kampuni inayoweza kutusaidia...
Habari wana jukwaa,
Nimeandaa miradi miwili ya usalama barabarani. Mmoja unahusu bodaboda na mwingine unahusu watoto walio shuleni [shule za msingi]. Inaohusu zaidi elimu ya usalama barabarani na pia ya afya na ujasiriamali kwa bodabodaz.
Natafuta mtu, taasisi au kampuni inayoweza kutusaidia...
Polisi wanatamba kuwa kutotii sheria utakamatwa na utachukuliwa hatua za kisheria.
Kuna kundi kubwa la watumiaji wa barabara wanamiliki bajaj na bodaboda nchini, kundi hili liko juu ya sheria.
HAKUNA wanaolidhibiti kundi hili, si polisi au chombo chochote cha dola.
Na kundi hili kwa kiasi...
Aisee wanajamvi leo nimepigwa faini kwa kosa la kutosimama kwenye Zebra. Sio kupunguza mwendo ni kutosimama kabisa.
Nilikuwa sijui kama ndio hivyo.
Kwan nilipunguza mwendo na hakukuwa na watu kabisa wanaosubiria kuvuka basi nikaendelea kuendesha mbele ndio nakutana na trafic akanissimamisha...
Wakuu,
Barabara ya Ilala Boma eneo lile ambako ni karibu na karume kulikuwa na mataa ya kuongozea magari mwanzo, lakini baada ya kuanza ujenzi wa mwendokasi mataa hayo yalitolewa.
Sasa hivi kumekuwa vurugu mechi, ni hatari kwa wenye vyombo vya moto lakini ni hatari zaidi kwa watembea kwa...
STORIES OF CHANGE 2024
TANZANIA TUITAKAYO
WAJIBU WA ASKARI WA USALAMA BARABARANI KWA JAMII - (TRAFFIC POLICE PUBLIC LIABILITY)
Jeshi la Polisi kitengo cha Usalama Barabarani linapaswa kuboreshwa ili wawezeshwe kutoa huduma zaidi ya wanazotoa kwa sasa. Tunawaona wakiongoza magari, kukagua...
Sheria zote hapa duniani huwa zinatungwa na Mabunge ili kuleta manufaa kwenye jamii. Hii ikimaanisha kuwa mtu akivunja sheria iliyotungwa na Bunge basi ataweza kujifunza na kuogopa kutenda kosa tena.
Sheria yetu hapa nchini ya usalama barabarani ilitungwa mwaka 1973. Na kwa jinsi taifa letu...
Wakuu salam,
Ajali nyingi zinatokea zikihusisha malori kama umechunguza mara nyingi huwa ni sababu dereva alisinzia kutokana na uchovu mwingi wa kuendesha muda mrefu bila kupumzika au anakuwa ametumia vilevi, na mbaya zaidi anakuwa peke yake.
Licha ya sheria kuwataka kuwa madereva wawili ili...
Kijana mmoja almaarufu kwa jina la SON mkazi wa Sengerema jijini Mwanza amekuwa gumzo kwa wakazi wa wilaya hiyo kwa kujifanya askari wa jeshi la polisi.
Kijana huyo mwenye mtandao mkubwa wa marafiki ambao ni ma askari amekuwa akitumia fursa hiyo ya kujuana na ma askari na yeye kujifanya...
Kwenu wenye mamlaka, naandika ujumbe huu nikiwa ndani ya Basi la Saibaba kutoka Arusha kwenda Dar, basi hili ni la safari ndefu lakini linasimamisha abiria kama Daladala.
Hili ni Moja nililoshuhudia Mimi ila mabasi mengi yale yanayopaki stendi kuu ya Arusha yanafanya hivi, cha kushangaza hili...
Jana tumepoteza watu 14 katika ajali iliyohusisha roli na magari mengine likiwemo basi la abiria mteremko wa Simike Mbeya. Kinachonisikitisha ni kwamba eneo hili lina askari wa usalama barabarani ambao badala ya kuongoza magari kutokana na hatari ya eneo hilo wao muda wote wako busy kukagua...
Wakuu mko vyedi?
Watengeza maudhui hawa walikaa chini wakafikiria wakaona hii ndio content inafaa na inachekesha kabisa?! Hapana jamani hii siyo sawa.
Kwanza ni hatari kwao na hata kwa magari na watumizi wengine wa barabara. Mtu anatoka huko breki zimefeli anakuja kukuvaa utamlaumu nani, tena...
Rushwa kwa askari wa usalama barabarani ni tatizo kubwa ambalo linaweza kuwa na sababu mbalimbali, ikiwa ni pamoja na ukosefu wa uwazi na uhakika katika utekelezaji wa adhabu. Kuna mambo kadhaa yanayoweza kuchangia rushwa kwa askari wa usalama barabarani:
1. Adhabu Zisizoeleweka: Kama adhabu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.