Akishiriki Maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani Kitaifa Jijini Arusha, amesema takwimu zinaonesha zaidi ya 90% Ajali za Barabarani husababishwa na makosa ya kibinadamu ikiwemo mwendokasi, kutovaa mikanda na kupita gari lingine bila tahadhari.
Amesema, "Uendeshaji wa Vyombo...
Ladies and Gentlemen nawasalimu kwa "Amani ya Muumba iwe nanyi"
Nikiri kuwa kuna mambo yanaenda sivyo ndivyo tangu Nzilankende arest in peace kwa mfano ukataji wa umeme hovyohovyo. Pia mengine yanaenda shwari.Hebu kila mmoja atimize wajibu wake.
Niende moja kwa moja kwenye mada, Ni kwamba...
Muongo (decade of action )wa hatua za kuimarisha usalama barabarani wa 2021-2030.
Utangulizi
Leo tunawaletea makala kuhusu Mpango wa Utekelezaji (Global Plan of Action) wa Mkakati wa miaka 10 wa Umoja wa Mataifa wa kupambana na vifo na majeruhi kutokana na ajali ambao unajulikana kama Muongo...
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mheshimiwa Jokate Mwegelo siku ya Ijumaa 22/10/2021 amezindua mradi wa Usalama Barabarani katika Kata ya Temeke kwa shule za msingi Ruvuma na Madenge chini ya ufadhili wa shirika lisilo la kiserikali la Amend kwa ushirikiano na ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Temeke...
Serikali inakusudia kufanya marekebisho kadhaa katika Sheria ya Usalama Barabarani, Sura ya 168. Marekebisho yaliyowasilishwa Bungeni kupitia Mswaada
wa Marekebisho ya Sheria ya makosa ya Barabarani ni pamoja na:-
1. Marekebisho katika Kifungu cha 21, kwa kuweka sharti la lazima kwa mtu yeyote...
Hii ni kwa usalama wako!
Kuna ajali na vifo vingine vinapangwa na wanadamu wenyewe kwa kutokujali na kuangalia usalama wa barabarani
Kiukweli dereva bodaboda wengi ndani ya jiji la Dar es salaam hawajali usalma wao kabisa, hii imepelekea vifo na ulemavu wa kudumu kwa kundi hili na abiria wengi...
Binafsi sijafurahishwa na faini za bodaboda kushuka na kuwa 10,000/-kwani kwa jinsi ninavyowafahamu hawa ndugu zetu na rika lao,10,000/- itakuwa si chochote kwao na watadharau sana utaratibu wa barabara zetu hivyo huenda maafa yakawa makubwa zaidi kuliko vile itakavyofikiriwa.
Jambo lingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.