Usaliti unaombatana na uongo katika mambo yanayohusu uhai na maisha ya watu ni uuaji.
Nyamatari (William) Tengecha hajawahi kuwa Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama Chadema aliteuliwa kama Mtaalam wa Hamasa.
Amerusha uchafu wa uongo ambayo ni vyema ukapuuzwa na wapenda ukweli na haki. Nasikitika...
Leo wala sitoi salamu hata kidogo ,hata kama sio wazima maana huko DSM watu wengi hawako na afya kabisa
Nataka leo nijikite kutoa USHAURI kwa polisi wetu ,nakiri kwamba mnafanya kazi nzuri ya ulizi na usalama ndio maana nchi yetu tunaweza kutembea usiku na mchana bila kusikia hata hatari yoyote...
Hamko salama nyie nyote, Viongozi chukueni tahadhali, chukueni tahadhali na kaeni mtafakari kama chama nini kifanyike? Nini kifanyike?
Usalama wenu ukoje be it Mbowe, Mnyika Heche, Lissu, Lema to mention but a few!
Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa...