Nyie ndo walinzi wa taifa hili. Sio CCM
Nafahamu mnaona kwa namna gani CCM wanalipeleka Taifa hili pabaya.
Nafahamu mnajua namna ya Viongozi wa CCM wanavyolifisadi hili Taifa kwa wizi wa kutisha na matumizi mabaya ya kodi za wananchi huku wakitaka watukuzwe at the expense ya kodi za wananchi...