usalama wa taifa

Idara ya Usalama wa Taifa
The Tanzania Intelligence and Security Service (TISS) is the national intelligence and security agency of Tanzania. The Agency works closely with other National and International intelligence agencies and securities organs in the promotion and maintenance of peace, safety and security in and outside Tanzania’s borders.

----

Idara ya usalama wa Taifa (TISS) imeundwa kwa sheria ya bunge namba 15 ya mwaka 1996 (Tanzania Intelligence and Security Service act No. 15 of 1996) iliyosainiwa na Rais Benjamin Mkapa tarehe 20 mwezi Januari mwaka 1997. Sheria hiyo ndio inayoipa mamlaka Idara ya Usalama wa Taifa kufanya kazi zake ndani na nje ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na pia ina ainisha majukumu, mamlaka na mipaka ya idara ya usalama wa Taifa. Kutokana na kuwepo kwa sheria hiyo siyo rahisi kwa idara hiyo kufanya mauaji ya raia wasio kuwa na hatia kwani idara itakuwa inavunja sheria na kukiuka mamlaka iliyopewa na Bunge.

View More On Wikipedia.org | Ifahamu Idara ya Usalama wa Taifa
  1. T

    Mwenye kitabu hiki nakiomba

    Mwenye kitabu cha Evarist Chalali kinachousiana na Afisa usalama ni nani, naomba anisaidie. 🙏🙏🙏
  2. fungi06

    Ukinywa pombe unajiisi Usalama wa Taifa, tukutane hapa

    Apa ni wale ambao akinywa pombe anakua mdadisi sana wa ishu. Kunae jamaa angu. Kila akinywa pombe utaanza sikia oooh kwani mimi na wewe tushagombana! Onyo; hakuna onyo lolote
  3. C

    Mlinzi wa Rais kuvaa sare za chama ni sahihi?

    Wanajukwaa naomba kuuliza hili la walinzi wa Rais Magufuli kuvaa sare za CCM limekaaje?
  4. EvilSpirit

    Kwanini wagombea wa CCM hulindwa na Usalama wa taifa wakati wa kampeni

    Wagombea wa CCM wa nafasi ya urais huwa wanalindwa na Usalama wa taifa.Nazungumzia mgombea mpya sio yule ambaye tayari ni raisi anaegombea kwa awamu ya pili.Mfano jiwe kwenye kampeni 2015 alikuwa tayari ana kampani ya Usalama wa taifa.Je CCM huwa wanajua kwamba Mgombea wao ni lazima atashinda...
  5. Titicomb

    Uchaguzi 2020 Serikali Amkeni: Taarifa lukuki za kutekwa wagombea wa chama kimoja tu cha siasa zisizo na uthibitisho ni hatari kwa usalama wa taifa

    Kuna taarifa mpya ya kutekwa mgombea wa CHADEMA kwa ngazi ya UDIWANI na UBUNGE kila baada ya dakika chache ndani ya siku 5 za mwisho kuelekea siku ya leo tarehe 25/08/2020 ya kupitishwa majina ya wagombea na NEC. Nyingi ya hizi taarifa hazina uthibitisho kiasi kwamba zinaleta hofu kuna watu...
  6. FrankLutazamba

    Ingekuwa vyema Usalama wa Taifa wenye umri wa 20-35,wakachomekwa kama wanafunzi wa primary na sec kuzuia viboko na uchomaji wa shule...

    Kwakuwa Usalama wa Taifa ni kama kinyonga wanafiti popote,basi wangevaa uniform za shule ya msingi na sekondari na kuingia madarasani kama wanafunzi ilimradi tu wawe wanajulikana na walimu ili wasichapwe kuzuia matukio ya walimu wanaochapa ovyo kwa kuripoti mapema kwa maafisa elimu na kukaa...
  7. LIKUD

    Kama hauwezi kujibu swali la dizaini hii basi haufai kufanya kazi Usalama wa TAIFA ( Intelligence Officer)

    Huyu dogo ni Graduate wa Chuo Kikuu. Ndoto zake siku zote imekuwa ni kufanya kazi Usalama wa TAIFA. Jana walikuwa kwenye msiba mtaani Mimi nilikuwa nje ya mji. Dogo anasema mahali walipo kuwa wamekaa Kuna Jamaa mmoja aliniponda Sana Mimi. Kwamba naringa Sana. Najisikia Sana kwa sababu nna...
  8. K

    Usalama wa Taifa msitupotezee pesa zetu kufuatilia wanasiasa

    Lissu alikuwa analalamika kuna gari la usalama wa taifa linamfuata. Hizi ni pesa za wananchi zilikuwa zinachomwa bila sababu ya msingi kwa kusaidia watu binafsi kisiasa. Huu ni zaidi ya ufisadi! Kama kuna tatizo kwa mtu yeyeote hasa kisiasa kuna mahakama zipo na sio kuajiri mtu ambaye...
  9. jitombashisho

    Hivi kuwa Mlinzi wa Viongozi ni kibali cha kutishia watu kuwaua tu?! Inakera sana!

    Yaani hii tabia ya vijana hasa wenye umri mdogo walinzi wa viongozi ya kutishia kuwapiga watu na risasi si ya haki kabisa. Mchana huu hapa maeneo ya Ihumwa Dodoma karibu na makazi ya mkubwa mmoja mstaafu bwana mdogo mmoja akiwa na ndani ya v8 nyeusi yenye vioo vya giza amemtishia msukuma toroli...
  10. Mzukulu

    Ni kwanini Commando huwa ni jasusi mzuri kuliko yule mtu wa kawaida tu aliyepitia mafunzo ya Usalama wa Taifa?

    Nimesikia mahala kuwa COMMANDO (si lazima awe wa Tanzania) ana uwezo wa kupata taarifa nyeti hata kuliko Mwana Usalama Taifa mwenyewe. Kwa mfano; COMMANDO wa Malawi anaweza akaenda nchini Zimbabwe katika maeneo yao muhimu na akapata akitakacho na wala asishtukiwe, lakini kwa Usalama wa Taifa wa...
  11. FRANC THE GREAT

    John Bolton, Mshauri wa zamani wa Usalama wa Taifa nchini Marekani ashtakiwa

    Habari! Serikali ya Marekani chini ya rais Donald Trump imemshitaki mshauri mkuu wa zamani wa usalama wa taifa, John Bolton, ili kuzuia kuchapishwa kwa kitabu chake kipya kinachohusu wakati wake alipokuwa katika ikulu ya White House. John Bolton. Kitabu hicho kilichopewa jina "The Room Where...
  12. S

    Sekta ya Habari Tanzania Vs Usalama wa Taifa

    Kiukweli kabisa kama sekta ya Habari nchini ingetumika kiufasaa kama mataifa mengine yaliyoendelea katika sekta ya habari ingelisaidia taifa katika maswala mazima ya Usalama wa Taifa, mwandishi wa habari aliyekwiva ni zaidi ya Usalama wa Taifa, tuachane na hawa waandishi wa kupokea bahasha kuna...
  13. T

    Serikali ya awamu ya Tano mambo ya kujifunza na kurekebishwa kwa usalama wa Taifa

    Serikali ni ya wananchi na sio yamtawala hivyo madaraka yapo kwa wananchi hivyo lazima uwasikilize sana wapiga kura.. Pili ndani ya katiba kuna ufa mkubwa hivyo ili kuleta umoja wa kitaifa na taifa lenye kuendeshwa ktk misingi ya sheria na kuheshim miimili mitatu lazima katiba tuifanyie kazi...
  14. GENTAMYCINE

    Kwanini watu wenye ‘ Sifa ‘ hizi Kuu zifuatazo Vijiweni huhisiwa ni Usalama wa Taifa hasa Kibongobongo?

    Wachokoza Mada hasa za Kiserikali na Matukio Nyeti hasa yaliyobeba Hisia za Watu. Watu ambao huwa hawakosekani Vijiweni 24/7 ila huwa wakimya tu na hawachangii lolote. Watu ambao hupenda mno Kuchambua mambo mbalimbali ya ndani na nje ya nchi Kiufasaha. Watu ambao wakiondoka hapo Vijiweni huwa...
  15. T

    Marekani yawawekea vikwazo maafisa wa usalama wa taifa South Sudani kwa kuteka, kupoteza na kuua

    Dong Samuel Luak na Aggrey Idri walitoweka January 2017 Marekani imewawekea vikwazo maafisa watano wa ngazi za juu za Usalama wa Taifa wa South Sudan, NSS, kwa kuhusishwa na utekaji na mauaji ya wakosoaji wawili wa serikali ya Rais Salva Kiir miaka mitatu iliyopita. South Sudan imekuwa ikikana...
  16. D

    Usalama wa Taifa (TISS) kaeni kando na CCM, mnachafuka

    Wana JamiiForums "msema kweli ni mpenzi ni mpenzi wa Mungu", hapo awali kabla sijawa karibu na Taasisi hii TISS nilijua na kuamini kuwa TISS ni washauri wa mambo ya kitaifa kwa maslahi ya Taifa na sio kwa maslahi ya CCM au kikundi cha watu fulani. Niseme ukweli, nimeumia kujua kuwa wamekuwa...
  17. britanicca

    Ndege ya Vita ya Marekani imetua Florida Muda huu baada ya kukaa angani kwa muda mrefu ikirekodi hali ya usalama wa Taifa

    Ndege maalumu ya siri ilokaa angani kwa miaka 2 imetua Leo mjini Florida baada ya kukamilisha operation zake kukagua usalama wa USA dhidi ya Wabaya wake Inasemekana ni ndege pekee ambayo Ina uwezo wa kufanya orbital recording in long range, Target ni IS na Russia Britannica
  18. GENTAMYCINE

    Mheshimiwa Rais sidhani kama kupenda Kwako kila mara ' Kumtajataja ' hadharani TISS DG Dkt. Kipilimba ni sawa Kiuweledi

    ANGALIZO Naomba kama unajijua kabisa kuwa uwezo wako wa kuona vitu vya umbali / unyeti / umuhimu wake basi katika huu ' Uzi ' kaa nao mbali kabisa na waachie wenye ' akili ' zao na ' Wachambuzi ' wa masuala haya ya Kijasusi ambao wapo ( tunao ) wengi humu na Sisi Mangumbaru na Mapopoma wengine...
  19. J

    Pendekezo: DSO awe ndio Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama wa Wilaya badala ya DC!

    Ukiangalia majukumu yao ya jumla ya utendaji wao wa kila siku binafsi naona Afisa Usalama wa Wilaya anafit zaidi kuwa Mwenyekiti wa kamati ya usalama ya Wilaya ukilinganisha na Mkuu wa Wilaya kama ilivyo sasa. Mkuu wa Wilaya yuko kisiasa zaidi na mambo ya usalama yamejikita zaidi kwenye weledi...
  20. K

    Dkt. Modestus Francis Kipilimba: Wasifu wake

    MARA baada ya kutangazwa kwa uteuzi wa Dk. Modestus Francis Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Tanzania (TISS) wiki iliyopita, kama ilivyo ada, baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii vilianza kujadili uteuzi huo. Baadhi ya magazeti yaliandika kwamba uteuzi...
Back
Top Bottom