usalama wa taifa

Idara ya Usalama wa Taifa
The Tanzania Intelligence and Security Service (TISS) is the national intelligence and security agency of Tanzania. The Agency works closely with other National and International intelligence agencies and securities organs in the promotion and maintenance of peace, safety and security in and outside Tanzania’s borders.

----

Idara ya usalama wa Taifa (TISS) imeundwa kwa sheria ya bunge namba 15 ya mwaka 1996 (Tanzania Intelligence and Security Service act No. 15 of 1996) iliyosainiwa na Rais Benjamin Mkapa tarehe 20 mwezi Januari mwaka 1997. Sheria hiyo ndio inayoipa mamlaka Idara ya Usalama wa Taifa kufanya kazi zake ndani na nje ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na pia ina ainisha majukumu, mamlaka na mipaka ya idara ya usalama wa Taifa. Kutokana na kuwepo kwa sheria hiyo siyo rahisi kwa idara hiyo kufanya mauaji ya raia wasio kuwa na hatia kwani idara itakuwa inavunja sheria na kukiuka mamlaka iliyopewa na Bunge.

View More On Wikipedia.org | Ifahamu Idara ya Usalama wa Taifa
  1. R

    Ugumu wa Maisha ni hatari kwa usalama wa Taifa, serikali ichukue tahadhari

    Ni ukweli mchungu kwamba mtaani hali ni ngumu sana kuanzia upatikanaji wa pesa mpaka bei za bidhaa. Binafsi, mbali na kwamba ni muajiriwa, lakini pia najishughulisha na biashara zinazogusa moja kwa moja wananchi, kwa hiyo ninachoandika nina kifahamu vizuri. Kwa hali ilivyo sasa, anaweza tokea...
  2. MK254

    Video: Usalama wa taifa aliyeikimbia nchi, aeleza maisha magumu ambayo Putin anaishi

    Putin anaishi maisha magumu, uwoga uwoga kila siku, kwa yeye kuhudhuria hafla yoyote hata kama ya dk 15 hulazimu mipango ifanywe kwa muda mrefu. Halafu ni nadra sana atoke, muda mwingi yuko ndani na mara nyingi misafara yake huwa inatoka bila yeye kuwemo, limsafara linakatiza mjini na mbwembwe...
  3. Boss la DP World

    Kilimanjaro: Asasi inayohamasisha Ushoga na Usagai yafutwa

    Serikali wilayani Mwanga, mkoani Kilimanjaro, imesitisha shughuli zinazofanywa na shirika lisilo la kiserikali linalojihusisha na vijana la Kilimanjaro Youth Network baada ya kubainika kufundisha na kufungisha vijana ndoa za mapenzi ya jinsia moja tofauti na usajili wa shirika hilo. Chanzo...
  4. GAZETI

    Upande wa pili wa usalama wa Taifa ukoje?

    Linaweza kuwa swali lisiloeleweka haraka, Labda nianze na simulizi kwanza Mwaka 1979 Tanzania iliingia kwenye vita na Uganda maarufu kama vita ya KAGERA. Mwaka 1995 nilikutana na mzee Mkumbi(marehemu) mmoja wa watu ambao walikaribia kabisa kupigana vita hiyo. Miongoni mwa mambo aliyonisimulia...
  5. MK254

    Jengo la Usalama wa Taifa (FSB) latiwa kiberiti Urusi

    Ni dhihirisho tosha kuna yajayo ambayo yatapendeza siku za usoni, hauwezi kuiba ardhi ya nchi jirani na kuua wananchi wake halafu usikutwe na vituko nchini mwako... ====================== At least one person has been killed and two injured in a fire at a building used by Russia's Federal...
  6. system hacker

    Hawa watu walipaswa kuwa usalama wa Taifa kwenye idara kadhaa

    Usalama wa Taifa ni 'sector' kama zilivyo sector zingine. Kikubwa ni vitu vitatu vinne vikubwa hivi: 1. Intelligence 2. Usiri 3. Uaminifu 4. Uwezo to make it happen Mengine ni added advantage. 1. Tundu Lissu - eneo la sheria 2. Peter Kibatala - eneo la sheria 3. Chief-Mkwawa - eneo la Teck...
  7. Daby

    Watanzania wengi wanapenda kuwa Usalama wa Taifa

    Hata vijiweni tu anzisha mada ya Usalama wa Taifa utaona kila mmoja atakavyotiririka. Hapa kila mmoja atakuwa na aidha jamaa, ndugu au jirani ambaye ni Usalama wa Taifa. Kila mmoja anataka kuwa Usalama... Sijui ni kwasababu ya kuishi kwenye comfort zones zetu! Kwasababu ni kazi ya Siri basi...
  8. Dr Restart

    Kwa nini Wanajeshi, polisi, magereza na Usalama wa Taifa bado wanamlilia Rais Magufuli?

    Amani iwe nanyi. Mimi ni mmoja wa watumiaji wa mitandao ya kijamii, specifically Whatsapp. Katika matumizi hayo, napitia sana Status za marafiki pamoja na jamaa zangu. Ninao jamaa ambao nawafahamu wanafanya kazi katika idara na majeshi husika. Japo hawapost mara nyingi, ila wanapopost huwa...
  9. chiembe

    Tulizoea kwa unyeti wa kazi ya Ukurugenzi wa Usalama wa Taifa, wanapoondolewa hupelekwa Ubalozini

    Nadhani Diwani angepelekwa ubalozini huko Canada au mahala pengine ili kutoa smooth working condition kwa anayekuja, na itaondoa tension fulani ambako huwa kanakuwepo.
  10. IBRA wa PILI

    Fahamu kisa cha Jasusi John Gweru, Afisa Usalama aliyeikimbia Zimbabwe kwa kuchoka kuua

    Bila Shaka mko poa wakuu yesss twenzetuni uandishi tuvumiliane John gweru alikua Jasusi kutoka nchini Zimbabwe katika shirika la kijasusi la central intelligence organization (CIO). Alikua ni kijana aliependa kufanya kazi za kijasusi bila kujua kama ilikua na kazi ngumu ya ukatili na umwagaji...
  11. MK254

    Raia wa Iran afukuzwa Tanzania baada ya kuwa tishio kwa usalama wa taifa

    Raia huyo wa Iran bwana Hamidreza Mohammad Abraheh alidanganya uhamiaji kwamba ameoa Tanzania, kisha akaanza mipango yake ya hovyo kama kawaida yao...ila wamemshtukia na kumfurusha. Sielewi kwanini hawa watu wasiishi kwa amani dunia hii, wamuabudu 'mungu' wao kwa njia za amani bila kuwa kero...
  12. Makonde plateu

    Natamani kuacha kazi ya usalama wa Taifa(TISS)

    Unjani sabuwona. Wakuu nipo hapa kuwaambia huu mwaka haupiti kabla sijaacha kazi ya usalamaa wa Taifa (Tiss) maana siku baada siku iendayo kwa mungu regression point inaniwazisha. Wakuu huu ni mwaka wa tatu tokea nipo usalama wa Taaifa ila nitaficha site yangu ya kazi because of my life...
  13. Makari hodari

    Kwanini watu wengi siku hizi hujifanya ni usalama wa taifa, askari au wanajeshi?

    Habari za leo wanajamvi! Natumaini wote ni wazima wa afya na tunaendelea vyema kusukuma gurudumu la maendeleo ya taifa letu ingawa ni kwa kasi ya kobe lakini si haba, tukishirikiana na serikali yetu tukufu. Kwa miaka kadhaa ya hivi karibuni kama wewe/nyinyi ni...
  14. GENTAMYCINE

    Ni kwanini Usalama wa Taifa wa Israel hujulikana tokea wakiwa wadogo, ila nchi zingine wale 'failures' ndiyo 'huajiriwa' huko?

    Kuna nchi Moja (nimeisahau kwa sasa) nimeambiwa recruiting yao kuingia huko ni mpaka uwe na 'Characters' zifuatazo: 1. Failure Academically 2. Ukiwa Msomi basi ujue Kujipendekeza 3. Uwe na God Fathers wengi huko 4. Uwe Mnafiki na Mfitini 5. Uwe Member wa Chama Dola 6. Ujue Kujiroga na Kuroga...
  15. BARD AI

    Aliyetapeli kwa kujiita Afisa Usalama wa Taifa akamatwa Iringa

    Gabriel Kaserikali Mkazi wa Mbezi Mwisho, Dar es salaam anatuhumiwa kumtapeli Mohamed Nassoro mfanyabiashara wa magari wa Magomeni Dar es salaam kwa kujitambulisha ni mtumishi kutoka Idara hiyo Akiwa Iringa alijitambulisha kwa baadhi ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Iringa kuwa yeye ni Afisa...
  16. sifi leo

    Usalama wa Taifa msaidieni Rais. Misamaha ya kodi ni chaka, TRA mpaka wizarani kunanuka rushwa

    Nina mengi nimeyatafakari Kwa kina, sana ndani ya Juma Ili nikaona,nisubili lifike mwisho naweza kufa na vihoro moyoni mwangu, Bora nife na dhambi kuliko vihoro maana dhambi ntahojiwa Na muumba! Suala la polisi kuua Kwanza Panya Road linafikilisha sana kimsingi vijana wa Rika dogo wameuawa na...
  17. BARD AI

    RIPOTI UN: Rais Maduro anatumia Idara za Usalama kufanya uhalifu dhidi ya binadamu

    Ripoti ya Umoja wa Mataifa imemtaja Rais Nicolás Maduro kuhusika na kuagiza vyombo vya usalama kutekeleza unyanyasaji dhidi ya wakosoaji kwa lengo la kufuta kabisa upinzani nchini humo. Maduro na kiongozi wa chama tawala cha PSUV, Diosdado Cabello wametajwa kutoa amri kwa Idara za Kijasusi...
  18. MakinikiA

    Hivi Usalama wa Taifa wanajua matatizo ya Taifa la Tanzania?

    Ninavyofahamu mimi taasisi hii lazima kuwe na wachumi, wanasheria, madokta, engineer nk., ibaki kusema hii idara kama kuna uwezekano ilitakiwa kuifumua na kuisuka upya, kwa haya matatizo tulikuwa nayo utafikiri nchini hakuna Usalama wa Taifa. Nchi kuna matatizo mengi tu au mnafikiri matatizo...
  19. MIMI BABA YENU

    Aliyejifanya Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa ashughulikiwa

    Tarehe 12/08/2022 RAYMOND NJOFU BWIRE (28) Mkazi wa Kamguluki Mkoa wa Mara alikamatwa na Jeshi la Polisi kwa kosa la kutuma ujumbe mfupi kwenye simu ya mkononi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mlele Mkoani Katavi anayejulikana kwa jina la TERESIA IRAFY. BWIRE alimtaka Mkurugenzi IRAFY...
  20. F

    Usalama wa Taifa saidieni kumpa Rais Samia taarifa sahihi

    Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza hapo juu. Ninaomba usalama wa Taifa kuanzia ngazi ya wilaya, mkoa na Taifa mpeni Rais taarifa sahihi ili afanye maamuzi sahihi. Kama nyinyi mnampa taarifa sahihi ila yeye hachukui hatua? hilo ni swala jingine. Kwenye hili swala la sensa na makazi ya mwaka...
Back
Top Bottom