usalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ingekuwa vyema Usalama wa Taifa wenye umri wa 20-35,wakachomekwa kama wanafunzi wa primary na sec kuzuia viboko na uchomaji wa shule...

    Kwakuwa Usalama wa Taifa ni kama kinyonga wanafiti popote,basi wangevaa uniform za shule ya msingi na sekondari na kuingia madarasani kama wanafunzi ilimradi tu wawe wanajulikana na walimu ili wasichapwe kuzuia matukio ya walimu wanaochapa ovyo kwa kuripoti mapema kwa maafisa elimu na kukaa...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Ubunge Khamis Mwinjuma (Mwana FA) aliwahi kukiri kuwachukia baadhi ya watumishi wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama (Askari wa Jiji)

    Soma pia>>> Do African political activists actually fight for democratic change or they simply keep alive a well-known old saying that "It's Our Turn to Eat"? Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa Jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God...
  3. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali kuhusu Shambulizi na utekaji wa Bandari ya Msumbiji na IS

    ...
  4. JamiiForums Tanzania World Bank and Road safety

    The UNRSF and GRSF Announce Partnership to Improve Road Safety Delivery in World Bank Funded Projects in Tanzania The Global Road Safety Facility (GRSF), hosted by the World Bank, and the United Nations Road Safety Fund (UNRSF) will jointly support a comprehensive evaluation of the first global...
  5. JamiiForums Tanzania Mwanza leo: Je, Tundu Lissu ana "Special Personal Inteligence" inayofanya monitoring ya usalama wake?

    Leo nilikuwa Mwanza kwa shughuli binafsi. Bahati nzuri nikakutana na msafara wa Tundu Lissu maeneo ya Nyegezi ukitokea Shinyanga. Kwa ambao hawaielewi Mwanza, ni kuwa Nyegezi ni eneo lililo nje kidogo takribani 20km kusini magharibi kutoka katikati ya jiji la Mwanza. Hapa Nyegezi ndipo...
  6. JamiiForums Tanzania Tundu A. M. Lissu & "Protocol Security" yake....

    Nimefurahi kusoma taarifa nyingi humu kuhusu "convoy" ya Tundu Lissu inavyoendelea katika mikoa 10 kuzifuata saini za wadhamini ili wampe uhalali wa kuteuliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA.... Safari ilianzia Dodoma mara baada ya kukabidhiwa fomu ya kuomba uteuzi wa ugombea Urais wa...
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva (light vehicle) au ya afya na usalama kazini (occupational, safety and health)

    D
  8. JamiiForums Tanzania Kama hauwezi kujibu swali la dizaini hii basi haufai kufanya kazi Usalama wa TAIFA ( Intelligence Officer)

    Huyu dogo ni Graduate wa Chuo Kikuu. Ndoto zake siku zote imekuwa ni kufanya kazi Usalama wa TAIFA. Jana walikuwa kwenye msiba mtaani Mimi nilikuwa nje ya mji. Dogo anasema mahali walipo kuwa wamekaa Kuna Jamaa mmoja aliniponda Sana Mimi. Kwamba naringa Sana. Najisikia Sana kwa sababu nna...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi lamtaka mtu yoyote mwenye hofu na usalama wake kutoa taarifa polisi badala ya kulalamika mitandaoni!

    Msemaji wa jeshi la polisi nchini amemtaka mtu yoyote mwenye hofu na usalama wake kutoa taarifa polisi badala ya kulalamika mitandaoni na kwenye vyombo vya habari vya ndani na nje; kama si kuonyesha nchi yetu hakuna amani. Source East Africa Radio! Maendeleo hayana vyama!
  10. JamiiForums Tanzania Open Letter: Tundu Lissu's return to Tanzania

    1054 31ST ST. NW, STE 110 WASHINGTON, D.C. 20007 +1 202 301 8811 OPEN LETTER TUNDU LISSU’S RETURN TO TANZANIA: GOVERNMENT CONDUCT TO BE CLOSELY MONITORED AND DOCUMENTED; POTENTIAL ACTS OF HARASSMENT, INTERFERENCE, OR VIOLENCE WILL RESULT IN CONSEQUENCES...
  11. JamiiForums Tanzania Tetesi: Vyombo vya Usalama vilivyojipanga kumpokea Tundu Lissu

    Tundu Lissu ameripotiwa kuwa ameaga rasmi huko Ubelgiji na ataunganisha ndege jijini Dubai kabla ya kutua JNIA. Maofisa wa Uhamiaji pamoja na wale wa Usalama (wapya) waliopo JNIA wapo wanaendelea na shughuli zao. Kuna mawili matatu hivi kutoka kwa maofisa Uhamiaji na Usalama. 1. Mgeni huyu...
  12. JamiiForums Tanzania Kamati ya Haki za Binadamu ya (IPU) yazitaka mamlaka nchini Tanzania kumuhakikishia Tundu Lissu usalama wake pindi atakaporejea nchini

    Kamati ya haki za binadamu (IPU) imezitaka mamlaka husika nchini Tanzania kuhakikisha usalama wa kiongozi huyo pindi atakaporejea nchini. Aidha, kamati hiyo inadai kuwa tangu Tundu Lissu atangaze nia ya kurejea nchini hivi karibuni imekuwa ikilifuatilia suala hilo kwa ukaribu. Mh. Tundu Lissu...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Usalama wa Taifa msitupotezee pesa zetu kufuatilia wanasiasa

    Lissu alikuwa analalamika kuna gari la usalama wa taifa linamfuata. Hizi ni pesa za wananchi zilikuwa zinachomwa bila sababu ya msingi kwa kusaidia watu binafsi kisiasa. Huu ni zaidi ya ufisadi! Kama kuna tatizo kwa mtu yeyeote hasa kisiasa kuna mahakama zipo na sio kuajiri mtu ambaye...
  14. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Akili nje ya Usalama: Undeni special unity kufuatilia maudhui ya mikutano ya uchaguzi 2020

    Nawaza nje ya Box naipenda Tanzania na ipenda amani yetu na penda taifa langu na viongoz wake. Kipenda kimepulizwa na tume ya uchaguzi na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi amesha sema sasa ruhusa watu kujinadi. Ila nawaza ikiwa idara zetu zimejiandaaje kwa uchaguz wa mwaka huu ambao utakuwa tofauti...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa vyombo vya usalama kuhusu Tundu Lissu

    Ndugu wa heshimiwa wana usalama najuwa mpo katika mtihani mzito sana jinsi ya mapokez ya Lissu na kuepusha lawama kwa serikali juu ya huyu jamaa. Mimi nataka kuwaambia Lissu anajuwa kile anakifanya naana akili sana haji kwa aman anakuja kwa shari ila nilazima kwa mara ya kwanza katika historia...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi kuwa Mlinzi wa Viongozi ni kibali cha kutishia watu kuwaua tu?! Inakera sana!

    Yaani hii tabia ya vijana hasa wenye umri mdogo walinzi wa viongozi ya kutishia kuwapiga watu na risasi si ya haki kabisa. Mchana huu hapa maeneo ya Ihumwa Dodoma karibu na makazi ya mkubwa mmoja mstaafu bwana mdogo mmoja akiwa na ndani ya v8 nyeusi yenye vioo vya giza amemtishia msukuma toroli...
  17. JamiiForums Tanzania Usalama wa Tundu Lissu ataporejea Tanzania

    Habari za wakati huu wanajukwaa. Niende moja kwa moja kwenye mada. Ni takriban zaidi ya mwaka moja tangu ndugu yetu mtanzania mwenzetu kusema anataka kurejea nyumbani. Lakini mhusika Mara nyingi kasema anahitaji ahakikishiwe ulinzi pindi atakapokanyaga ardhi yetu hi ambayo Kuna wahalifu...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Kwenu Kikosi cha Usalama Barabarani na TARURA

    Yah! Barabara ya External-Maji Chumvi-Kwa Mkuwa-Korogwe Kichwa cha habari cha husika. Kwa masikitiko makubwa sana, naleta kwenu ombi la kuweka vibao vya spidi ya vyimbo vya moto. Barabara hii imekuwa na Ajali nyingi zinazotokana hasa na spidi, ingawa kutoka Korogwe-kwa Mkuwa- Maji...
  19. JamiiForums Tanzania Je, kwa mujibu wa Bernard Membe, vyombo vya usalama na ulinzi havifanyi kazi kwa mujibu wa sheria?

    Katika mahojiano kati ya Mhe. B. C. Membe na Sammy Awami wa BBC Swahili, alisikika akijibu swali linalohusu vyombo vya usalama na ulinzi vya dola kuingilia masuala ya uchaguzi wa kisiasa; mfano, Urais, Wabunge na Madiwani na kuharibu usawa katika uwanja huo. Akiwa kama 'kachero mbobezi na...
  20. JamiiForums Tanzania Ni hatua zipi za kufuata, unapotaka kumuoa Afisa Usalama(Mwanamke)? Anaruhusiwa kukueleza siri za nchi?

    Jamani, nasikia Usalama wa Taifa ni watu makini sana na nadhifu,na wana siri kuu za dunia. Sasa ikiwa unataka kumuoa, anaruhusiwa kukueleza siri za nchi kwakuwa mmekuwa mwili mmoja na unampataje? Kwani wanaishi kama digidigi hawaonekani? Nisaidieni kwa hili.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…