Jeshi la polisi lamtaka mtu yoyote mwenye hofu na usalama wake kutoa taarifa polisi badala ya kulalamika mitandaoni!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Msemaji wa jeshi la polisi nchini amemtaka mtu yoyote mwenye hofu na usalama wake kutoa taarifa polisi badala ya kulalamika mitandaoni na kwenye vyombo vya habari vya ndani na nje; kama si kuonyesha nchi yetu hakuna amani.

Source East Africa Radio!

Maendeleo hayana vyama!
 
Yote hio ni hilo tundu
 
[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
 
Kwenda polisi bure kutoka kwa hela, hii kauli alinipa afisa polisi mmoja nikiwa kituoni polisi.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Polis siasa mno, achaneni na siasa lindeni RAIA.Inasemekana wameandikiwa barua nyingi tu ya kutaka kumlinda lissu lakini hawajibu..
 
Msemaji wa jeshi la polisi nchini amemtaka mtu yoyote mwenye hofu na usalama wake kutoa taarifa polisi badala ya kulalamika mitandaoni na kwenye vyombo vya habari vya ndani na nje; kama si kuonyesha nchi yetu hakuna amani.

Source East Africa Radio!

Maendeleo hayana vyama!
Kuisadia polisi kwa Tanzania huanzia hivi... we karipoti uone matokeo
 
Wameshaandikiwa officially

Na nyongeza wanayo kutoka uholanzi

Wanaweza kupuuza za Mbowe lakini ile ya Mabeberu kuna watu wajutia matokeo ya kupuuza swala la usalama wa Lisu.

Will have consequence
 
Polis siasa mno, achaneni na siasa lindeni RAIA.Inasemekana wameandikiwa barua nyingi tu ya kutaka kumlinda lissu lakini hawajibu..

Lissu ana imani na vyombo vya ulinzi na usalama? Anzia hapo kabla ya kuzungumzia barua alizoandika.
 
Back
Top Bottom