Ndugu wa heshimiwa wana usalama najuwa mpo katika mtihani mzito sana jinsi ya mapokez ya Lissu na kuepusha lawama kwa serikali juu ya huyu jamaa.
Mimi nataka kuwaambia Lissu anajuwa kile anakifanya naana akili sana haji kwa aman anakuja kwa shari ila nilazima kwa mara ya kwanza katika historia ya taifa hili muwe smart kuepusha taifa hili na Rais wetu kuingia kwenye mtego Hatari wakupoteza thaman yetu kimataifa huku tukiwa na vikwazo vikali toka kwa mataifa ya dunia ya kwanza.
Nashauri akili iwaongoze na atafutwe mtu au watu kumtuliza baba kuvumilia matukio atayafanya huyu bwana ambayo yatakuwa ya kiuchokozi ili tu aguswe ili anuke.
Narudia nibora kuunda kikos kazi kutafasiri matendo yake nakuangalia jinsi yakutumia akili mpotezea kuliko kimbizana naye maana atawapotezea muda nakuchafuwa hili taifa.
Haji bure na waambia huyu ana lake jambo, mpotezeeni tumie njia nyingine za kidiplomasia. Huu ni ushauri wangu, sio lazima myachukue.