Ushauri wangu kwa vyombo vya usalama kuhusu Tundu Lissu

Ushauri wangu kwa vyombo vya usalama kuhusu Tundu Lissu

Yaani hapo lisu hajatua airport Lumumba kushawaka moto, Mara oh segerea Mara tutampiga risasi Mara court order, hv mnadhani hivyo ndio vya kumtisha Tundu lisu,

Subirini atue aje awapige misumari, mtasahau habari za bomba dia, stigila goji, treni za mwendo kasi na upuuzi mwingine kama huo.

Hv mnadhani watu wanataka hivyo tu, watu wanataka amani na Uhuru, ss kwa taarifa yenu Libya vilikuwepo zaidi ya hivyo hadi watu kupewa mishahara ya bure,lkn demokrasia ilivyominywa kama inavyofanyika ndani ya ccm, gadafi aliokotwa mtaroni akiwa mfu, na uchi wa mnyama.

So msijisahau na miradi, Uhuru ni muhimu zaidi.
 
watu wana akili kumzidi,usishange siku anatangaza kufika tz ukasikia makonda hajulikani alipo[emoji3][emoji3],inasemekana ametekwa.

biashara ya lissu ikaishia hapo.
Ohoo [emoji23]
 
si ndio mtakuwa mnasherehekea mkisahau lissu karudi.
Lissu anatoa taarifa za kufuatiliwa na gari isiyojulikana 2017

"hatufanyii kazi taarifa za kishabiki za mitandaoni sisi"

Lissu anatangaza kurejea 2020

"hata Hivyo tumeona katika mitandao ya kijamii baadhi ya viongozi wa Chadema wakihamasisha wananchi kukusanyika.

Kuna watumishi wana akili mbovu sana
 
lissu ni mwanasheria hawezi peleka taarifa mtandaoni badala ya polisi alikosea.

hii ndio tunaita unawapa wajinga airtime,umeshajua watu wana matatizi sehem,bado unawapa sababu ya kukusumbua.
 
Back
Top Bottom