Ushauri wangu kwa vyombo vya usalama kuhusu Tundu Lissu

Ushauri wangu kwa vyombo vya usalama kuhusu Tundu Lissu

Huyu akileta za kuleta ni kutengua tena huo mguu kwa rungu arejee kwa wamume zake kuendelea na ukuwadi, hakuna kumpa single chance yakucheza na Taifa hili
 
Mimi sio miongoni mwao, nilitoa mtizamo wangu.
Lisu angeweza kurudi nchini siku nyingi sana, unadhani kwanini hakurudi kipindi hicho. Unadhani kwanini serikali wamekaa kimya bila kuongea chochote kuhusu Lisu licha ya matangazo ya ujio wake?!

Ningekuwa Lisu nisingerudi, hakuna faida kuozea mahabusu na kuitesa familia.

Lisu ndio mwiba pekee ccm inauogopa kwa sasa.

Hiki unachosema "......akifika tu ataishia mahabusu...."

Mahabusu ya wapi na kwa kosa gani?

Hotuba yake ya kutangaza kurudi, iko very clear, ime - state kila kitu na kujibu hoja hii....

Akamatwe na kuwekwa mahabusu kwa kosa lipi?

Kwa kuwa alikuwa nje ya nchi kwa matibabu? Kwa kosa lipi sasa?

Mimi naona unabweka na kutoa kelele tu kama za mbwa bila kuwa hata na sababu za kubweka....

Eleza kila kitu ueleweke, acha kubweka...m
 
Tunataka nchi ichangamke upya acha Lissu arudi.Sema nina wasiwasi a man from chattle atakubali kweli kushindana jukwaani.Maana kwa nondo za Antipasi zitafanya wananchi wazinduke usingizini.

Swali jee chama cha mbogamboga kitaruhusu yatokee kweli.
 
Haji bure na waambia huyu analake jambo mpotezeeni tumie njia nyingine za kidiplomasia huu ni ushauri wangu. Ila sio lazima myachukue
Naona ile dawa iliyokutuliza kidogo akili inaanza kupungua nguvu.

Rudi tena kwa mganga wako haraka kabla hujaharibikiwa na kurudia ile hali iliyotaka kukuondoa kabisa duniani.

Kwa nini uone kurudi nyumbani kwa Lissu iwe shari; kama huko si kupungukiwa akili utakiita ni kitu gani?

Wahimize hao walevi wa madaraka waliotaka kutoa roho yake waache ulevi wao na sio kuhusisha vyombo visivyohusika na maovu wanayofanyiwa wananchi na hawa walevi wako.
 
Mimi sio miongoni mwao, nilitoa mtizamo wangu.
Lisu angeweza kurudi nchini siku nyingi sana, unadhani kwanini hakurudi kipindi hicho. Unadhani kwanini serikali wamekaa kimya bila kuongea chochote kuhusu Lisu licha ya matangazo ya ujio wake?!

Ningekuwa Lisu nisingerudi, hakuna faida kuozea mahabusu na kuitesa familia.

Lisu ndio mwiba pekee ccm inauogopa kwa sasa.
Umeziba tundu la panya kwa kipande cha mkate.
 
Hiki unachosema "......akifika tu ataishia mahabusu...."

Mahabusu ya wapi na kwa kosa gani?

Hotuba yake ya kutangaza kurudi, iko very clear, ime - state kila kitu na kujibu hoja hii....

Akamatwe na kuwekwa mahabusu kwa kosa lipi?

Kwa kuwa alikuwa nje ya nchi kwa matibabu? Kwa kosa lipi sasa?

Mimi naona unabweka na kutoa kelele tu kama za mbwa bila kuwa hata na sababu za kubweka....

Eleza kila kitu ueleweke, acha kubweka...m
Sasa unadhani serikali imesikiliza hotuba?
Tusubirie aje tuone.
 
Rudi shujaa,watesi wako wote wameanza kusambalatika kama moshi wa kuni,kila kitu hupangwa na Mwenyezi Mungu na sio binaadamu
 
watu wana akili kumzidi,usishange siku anatangaza kufika tz ukasikia makonda hajulikani alipo[emoji3][emoji3],inasemekana ametekwa.

biashara ya lissu ikaishia hapo.
Biashara haiwezi kuishia hapo.

Sema biashara inaanzia hapo.
 
Ndugu wa heshimiwa wana usalama najuwa mpo ktk mtihani mzito sana jinsi ya mapokez ya Lisu na kuepusha lawama kwa serikali juu ya huyu jamaa.

Mimi nataka kuwaambia Lisu anajuwa kile anakifanya naana akili sana haji kwa aman anakuja kwa shari ila nilazima kwa mara ya kwanza ktk historia ya taifa hili muwe smart kuepusha taifa hili na Rais wetu kuingia kwenye mtego Hatari wakupoteza thaman yetu kimataifa huku tukiwa na vikwazo vikali toka kwa mataifa ya dunia ya kwanza.

Nashauri akili iwaongoze na atafutwe mtu au watu kumtuliza baba kuvumilia matukio atayafanya huyu bwana ambayo yatakuwa ya kiuchokoz ili tu aguswe ili anuke.

Narudia nibora kuunda kikos kaz kutafasiri matendo yake nakuangalia jinsi yakutumia akili mpotezea kuliko kimbizana naye maana atawapotezea muda nakuchafuwa hili taifa.
Haji bure na waambia huyu analake jambo mpotezeeni tumie njia nyingine za kidiplomasia huu ni ushauri wangu. Ila sio lazima myachukue.

Wale wanatii maagizo na sio taaluma.
 
Back
Top Bottom