Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,430
Kabaki mmoja ampumzishwe October arudi kwaoRudi shujaa,watesi wako wote wameanza kusambalatika kama moshi wa kuni,kila kitu hupangwa na Mwenyezi Mungu na sio binaadamu
Kabaki mmoja ampumzishwe October arudi kwaoRudi shujaa,watesi wako wote wameanza kusambalatika kama moshi wa kuni,kila kitu hupangwa na Mwenyezi Mungu na sio binaadamu
Next weekSasa mwambie kama haogopi arudi aache kelele
Atapigiwa kura akiwa jela au nje ya nchi.Hahaha Lisu, atakamatwa na hatoonekana tena mpaka baada ya uchaguzi.
Akigombea, basi hatoweza hata kushika mic. Maana wasiwasi tu utamfanya hata adijue cha kuongea.
Harudi kwa kuwa amepona, hapa nakataa. Anarudi kwa ajili ya urais(faida za kisiasa). Mbona hakuja mwaka jana au mwakani? Si aliweza kuzunguka dunia kupiga mishe zake za siasa(dalili ya kwamba ni mzima), kwanini hakurudi kipindi hicho.Lissu hakukuambia nchi bali alienda nje ya nchi kwa matibabu baada ya shambulio la kinyama. Unaposema kwamba harudi kwa vizuri bali kwa ugomvi unamaanisha nini? Na huyo baba unayetaka afuatwe atulie ni baba gani? Huyo baba ndio aliyetaka kumuua? Acha kumchafua Lissu kwa mada za kipuuzi. Lissu ni mtanzania halali, anarudi nyumbani baada ya matibabu, na wala harudi kama mkimbizi wa kisiasa.
Tusipopata watu wa kujitoa SADAKA taifa hili haliwezi kubadilika wale kupata maendeleo, mwacheni Lisu ameyatoa maisha yakeMimi sio miongoni mwao, nilitoa mtizamo wangu.
Lisu angeweza kurudi nchini siku nyingi sana, unadhani kwanini hakurudi kipindi hicho. Unadhani kwanini serikali wamekaa kimya bila kuongea chochote kuhusu Lisu licha ya matangazo ya ujio wake?!
Ningekuwa Lisu nisingerudi, hakuna faida kuozea mahabusu na kuitesa familia.
Lisu ndio mwiba pekee ccm inauogopa kwa sasa.
LISSU siku akifika atakuwa amelewa chakali - kwa sababu atakuwa amejitahidi kumaliza vinywaji vikali alivyozoezwa Ubeligiji! Itakuwa ni taabu kujitambua yuko wapi, atazindukana siku ya tatu!Ndugu wa heshimiwa wana usalama najuwa mpo ktk mtihani mzito sana jinsi ya mapokez ya Lisu na kuepusha lawama kwa serikali juu ya huyu jamaa.
Mimi nataka kuwaambia Lisu anajuwa kile anakifanya naana akili sana haji kwa aman anakuja kwa shari ila nilazima kwa mara ya kwanza ktk historia ya taifa hili muwe smart kuepusha taifa hili na Rais wetu kuingia kwenye mtego Hatari wakupoteza thaman yetu kimataifa huku tukiwa na vikwazo vikali toka kwa mataifa ya dunia ya kwanza.
Nashauri akili iwaongoze na atafutwe mtu au watu kumtuliza baba kuvumilia matukio atayafanya huyu bwana ambayo yatakuwa ya kiuchokozi ili tu aguswe ili anuke.
Narudia nibora kuunda kikos kaz kutafasiri matendo yake nakuangalia jinsi yakutumia akili mpotezea kuliko kimbizana naye maana atawapotezea muda nakuchafuwa hili taifa.
Haji bure na waambia huyu ana lake jambo, mpotezeeni tumie njia nyingine za kidiplomasia. Huu ni ushauri wangu, sio lazima myachukue.
Kwani kafanyaje?Hahaha Lisu, atakamatwa na hatoonekana tena mpaka baada ya uchaguzi.
Akigombea, basi hatoweza hata kushika mic. Maana wasiwasi tu utamfanya hata adijue cha kuongea.
Harudi kwa kuwa amepona, hapa nakataa. Anarudi kwa ajili ya urais(faida za kisiasa). Mbona hakuja mwaka jana au mwakani? Si aliweza kuzunguka dunia kupiga mishe zake za siasa(dalili ya kwamba ni mzima), kwanini hakurudi kipindi hicho.
Ila chadema nimehisi kuwaogopa, sikuwahi kuwaza hili tukio la kikatili alilofanyiwa kwake ni mtaji wa kisiasa. Na inanifanya nikubaliane na mleta uzi. Kama risasi 36 anazitumia kupata urais si moyoni atakuwa anatamani afanyiwe tukio lingine baya zaidi kwa faida nyingine kubwa zaidi?
Mimi sio miongoni mwao, nilitoa mtizamo wangu.
Lisu angeweza kurudi nchini siku nyingi sana, unadhani kwanini hakurudi kipindi hicho. Unadhani kwanini serikali wamekaa kimya bila kuongea chochote kuhusu Lisu licha ya matangazo ya ujio wake?!
Ningekuwa Lisu nisingerudi, hakuna faida kuozea mahabusu na kuitesa familia.
Lisu ndio mwiba pekee ccm inauogopa kwa sasa.
Well said.Lissu hakukuambia nchi bali alienda nje ya nchi kwa matibabu baada ya shambulio la kinyama. Unaposema kwamba harudi kwa vizuri bali kwa ugomvi unamaanisha nini? Na huyo baba unayetaka afuatwe atulie ni baba gani? Huyo baba ndio aliyetaka kumuua? Acha kumchafua Lissu kwa mada za kipuuzi. Lissu ni mtanzania halali, anarudi nyumbani baada ya matibabu, na wala harudi kama mkimbizi wa kisiasa.
Awe na jambo asiwe na jambo akifika tu Segerea hilo halina mjadala .Court order za kumkamata zipo zinasubiria tu atue.Atadakwa kama mhalifu yeyote anavyodakwa.Ajiandae tu kisaikolojia mapema.Kuwa ni kutoka ulaya kwenye jumba la kueleweka hadi Segerea rumandeHaji bure na waambia huyu ana lake jambo, mpotezeeni tumie njia nyingine za kidiplomasia. Huu ni ushauri wangu, sio lazima myachukue.
Wewe kama huna kazi nenda fanya kinyume na sheria vyama sasa hivi havina ruzuku ukidakwa ukatwangwa virungu hakuna kiongozi wa chama atapoteza pesa yake ya mfukoni kukutoa rumande au kukutetea.Walikuwa wakifanya hivyo ruzuku ilipokuwepo wanakuwekea hadi mawakili bure.Utasikia siku hiyo Polifisiem na Jeshi la Wananchi wana kampeni ya kufanya usafi maeneo yote ya wazi ya jiji la Dar es Salaam.
Wewe kama huna kazi nenda fanya kinyume na sheria vyama sasa hivi havina ruzuku ukidakwa ukatwangwa virungu hakuna kiongozi wa chama atapoteza pesa yake ya mfukoni kukutoa rumande au kukutetea.Walikuwa wakifanya hivyo ruzuku ilipokuwepo wanakuwekea hadi mawakili bure.
Sasa hivi hiyo biashara haipo ukitolewa ngeu ni yako na hawara yako na nduguzo
Nchi zote duniani huwa hakuna diplomasia kwa mhalifu zaidi ya kumkamata!! Lisu ni wa kukamatwa tu na hilo ajue ni serious nobody is joking hereHaji bure na waambia huyu ana lake jambo, mpotezeeni tumie njia nyingine za kidiplomasia. Huu ni ushauri wangu, sio lazima myachukue.
Makonda anadhulumu haki ya watu kuishi-Pompeo.Nchi zote duniani huwa hakuna diplomasia kwa mhalifu zaidi ya kumkamata!! Lisu ni wa kukamatwa tu na hilo ajue ni serious nobody is joking here