Nchi ya Israel inawalipa dollar 1200 Wafanyakazi wa mashambani na ujenzi.
Hii pesa ni nyingi sana kwa maisha ya Afrika. Baada ya miaka mitano maisha ya mtu yatakuwa yamebadilika Sana. Kama ni nyumba umejenga
Lakini cha kujiuliza, ni kwanini nchi ndogo kama Israel inaweza kuajili watu wengi...
Mgogoro huo ulihusisha Makubaliano ya mwaka 2010 baina ya Nigeria na Kampuni ya Process and Industrial Developments Limited (P&ID) kuendesha Kiwanda nchini humo ambacho kingebadilisha gesi asilia inayochomwa wakati wa uzalishaji wa Mafuta kuwa Umeme
Kampuni hiyo ilipewa Kandarasi ya miaka 20...
Hili la Bandari, kuna watu wameamini ni vita ya kidini na wengine labda ubaguzi. Je, Umewahi kusikia mwafrika mweusi akiingia U-arabu? Yaani akafanya sherehe na kutangazwa rasmi kwamba leo kawa mwarabu?
Yawezekana wa-Tangayika wengi wanaifahamu Z'bar ya pale mjini na hisia za wanasiasa kuwapiga...
Leo katika harakati nikataka kujua take home yangu ya mwaka in USD ni ngapi aise ni aibu! Yaani mwaka mzima napata chini ya USD 6,500!
Ukiona mwanao ana kipaji mpeleke huko haraka sana....
Uchumi wetu bado sana
Mambo vp wadau kama kuna mtu yoyote anaweza kunisaidia kujua faida na hasara kwa kufungua acc ya usd kwa kuhifadh hela naomba anifafanulie nipate uwelewa vizuri.
Power to the People Wanajamvi!!!
Kama umekuwa ukifuatilia mwenendo wa SARAFU yetu pendwa ya TZS kuanzia mwezi wa 5, utagundua kwamba imeporomoka sana kwenye soko la ubadilishaji wa fedha za kigeni.
Kiwango ambacho TZS imeporomoka sasa hivi, hakijawahi kufikiwa tangu uwepo wa TZS duniani, yaani...
Kumekuwa na uhaba mkubwa wa fedha za kigeni hapa Tanzania hasa USD ambayo ndio hutumika sana kwa malipo kwa biashara za kimataifa.
Pamoja na kupanda kwa dola na kushuka kwa shilingi kutoka 2375 mpaka 2405 bado imekuwa shida sana kupatikana.
Kwanza ilianza mabenki kuweka ukomo wa kununua dola...
Kufuatia Hali ya upungufu wa Fedha za Kigeni hasa Dol ya Marekani,BoT yaja na maelekezo ya kudhibiti Viwango Vya Miamala Kwa mtu mmja mmja, taasisi na kampuni ikiwemo kupiga Marufuku madalali Ili kulinda Afya ya Uchumi.
Awali Waziri wa Fedha amenukuliwa akisema Kupungua Kwa mzunguko wa Dola...
Balozi wa Marekani nchini Afrika Kusini Reuben Brigety alisema siku ya Alhamisi Tarehe 11 May 2023 kuwa ana uhakika kwamba meli ya Urusi chini ya vikwazo vya Marekani ilichukua silaha kutoka kambi ya Simon's Town mwezi Disemba, akipendekeza uhamisho huo hauendani na msimamo wa Pretoria wa...
Huko Twitter Carol Ndosi aliuliza "Kuna Uhaba wa Dola"? Majibu yalikuja ata kwa kwa watumishi wengine wa bank wakisema ndiyo!
Sasa hizi mbwembwe za World Bank Uchumi wenu huko imara unatokana na nini kama Reserve yetu ya USD iko chini?
Wachumi tuambiane! Mbona exchange ya USD bado iko...
Hizo ni pesa nyingi sana zinaweza kumjengea kila Mtanzania mkazi wa Dar es Salaam nyumba ya vyumba vitatu iweje watu wachache mgawane mgao mkubwa hivyo?
Hapa watu wa kuwahusisha ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Mwanasheria Mkuu wa serikali, Waziri wa Fedha pamoja na baadhi ya maofisa wa Ikulu...
Tanzania inabaki nchi pekee Afrika mashariki yenye mtu mwenye utajiri zaidi ya dola bilioni moja za kimarekani. Ina jumla ya mamilionea 2400 kwenye dola ya mmarekani huku 1300 katika hao makazi yao yakiwa Dar es Salaam na mji huu ukishika nafasi ya 12 miji Afrika wananchi wake wakiwa na utajiri...
Hello bosses...
Kipindi cha nyuma TerraUSD na Luna zilipopata anguko niliandika uzi humu kwa sababu hilo tukio nlikua nategemea lije kutokea kutokana na mechanics za namna hizo coins zilivokua zinafanya kazi uzi uko hapa CRYPTO-FUNZO KWA WAKURUPUKAJI: Luna coin ilikua ni sawa na $85 wiki...
Naomba mnisaidie kama taarifa hizi ni za ukweli maana huyu jamaa anasema nikifika Tehran na usd 100 nitaishi kifalme kwasababu hela yao imepoteza thamani na maisha yamekuwa magumu sana kutokana na vikwazo vya magharibi.
Bodi ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) imeridhia Mkopo wa Dola za Marekani Bilioni 1.046 (Takriban Tsh. 2,422,536,000,000) kwa Tanzania katika kipindi cha miezi 40 kusaidia kukabiliana na athari za vita ya Urusi na Ukraine. Kiasi cha Dola za Marekani Milioni 151.7 kitatolewa mara moja.
Taarifa...
HAYA HAYA HAYA HAYAAAAA KESHO TUTAKOMA DADEEEKI UUUWIIII CONFIRMED kabisa na mtangazaji wa michezo huko Uganda ka confirm kwamba SIMBA WALIKATAA KUTOA USD 200K na walimpa offer ya mshahara usd 8000
Utopolo wametoa hizo usd 200k na mashahara wanampa usd 12,000..CASE CLOSED ASANTENI SANA BARBARA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.