Habari.. unahitaji kununua gari used au mpya chassis no na hujui utapata wapi kwa Bei nzur? Je unahitaji container za 20ft na 40ft zenye VAT na bila VAT? karibu nikuhudumie +255764423726
Hp Dragon🐉 Fly Mnyama🥶
Kwa Offer Price: 1,280,000/= tu✅ badala ya ❌1.5M❌
Super slim laptop with 99% metallic strong body structure💪
Core i5✅
Ram 8GB✅
Ssd 256GB✅
Processor based 1.9GHz and Turbo 3.0GHz✅
TouchScreen and x360’✅
Generation 8✅
Backlight keyboard✅
Kioo inches 13.3🔥
Fingerprint✅...
Used SANY Excavator SY60C
Operating weight 6,100Kg
Bucket: 0.22Cubic Meter
Bei: 91,000,000/= pamoja na usajili.
Malipo ya awali: 66,000,000/=
Malipo ya pili: 25,000,000/=
Mashine ipo China
Inachukua wastani wa siku 45 kufika Tanzania
Ofisi ipo Buhongwa, Mwanza
Piga/What's up: 0757930069
Naomba Kupata Experience Ninatakiwa Kuwa na Shilingi Ngapi Kuuanzisha Biashara ya Simu Used From another Country?
Faida Yake Ipoje?
Na Changamoto Zake?
Ahsante Sana!
Nauza TV stand set ambayo ina coffee table yake, ila cofee table yake imevunjika kioo cha juu tu, ni kukibadili tuu, kwahivyo nauza kwa bei nafuu, nitafte kama uko interested :
0684101707
Niko tabata kinyerezi.
YALIYO NYUMA YA PANZIA APTITUDE TEST TEACHING POSITION
FO MATERIALS
Click the Link Below to Get the Complete Guide for Free in Your Email:
👇👇👇👇👇👇👇
https://docs.google.com/document/d/1foJQ2GghLGSldEkj3DjdTMNeHv4fbHST4Waw0yf6BdM/edit?usp=drivesdk
JOIN OUR CHANEL
👇👇👇👇👇👇...
Habarini wana jukwaa.
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza.
Nimejichanga changa, mungu kasaidia nimepata kitu kidogo, nimeamua ninunue usafiri kurahisisha shughuli zangu.
Natamani nipate gari kama Spacio au Raum ila sina uzoefu kabisa na magari.
Hivyo nimekuja kwenu kuomba ushauri wa ni vitu...
Habari wadau .
Kwa mwenye mali tajwa hapo juu naomba tuwasiliane. Iwe inafanya kazi au haifanyi bado Nina uhitaji nayo.
Pia radio calls za kwenye magari nazo pia nahitaji pamoja na antena zake.
Kama unazo karibu.
Najua kwa namna moja au nyingine muhusika atapata huu ujumbe, na sio tu kwa hii chuma na kwa vyuma vingine.
Kwa mfano Nissan Leaf 2019 naona kwenye kikokotoo chenu mme-estimate kwamba CIF yake ni $16,600 kitu ambacho sio kweli, market price sahivi ya hii gari kwa huo mwaka ni CIF ya $8,000...
Habari wakuu! Nahitaji kupata jenereta nzuri ya 25kVA – mpya au used.
Kama kuna mtu anafahamu wapi naweza kupata na bei zake zinavyorange, tafadhali naomba ushauri wenu. Asante!
Husika na mada tajwa hapo juu , naomba muuzaji wa spear za magari used au mpya kama ipo spear hii naomba uniambie bei yako hapa
nahitaji rejeta full pamoja na caulling yake na reserve tank ya coolant ni shilingi ngapi ukiwa mpya au used ya Japan au Dubai ,gari aina ya Toyota Brevis 1JZ FSE
Habari za Leo Wana jamvi.
Hivi simu hizo wanazotuambia wanaagiza from Dubai Korea Japan n.k hivi Zina uhai wowote au tunapigwa tu.
Nataka ninunue Samsung note 10 au Aquos R6 hiz wanazosema ni used from Dubai.
Au kama Kuna link ya kununua Moja Kwa Moja kutoka Dubai mnipe hapa
Naombeni mawazo yenu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.