used

  1. C

    Nauza mabati used Mbweni JKT

    Mabati yaliyotumika mwaka mmoja yanauzwa elfu 9 kila bati. Yapo 17 na yanapatikana Mbweni JKT. Yanafaa kwa banda la mifugo, nyumba za site, etc. Nauza pia nguzo 4 za chuma kwa elfu 20 kila nguzo. Unachukua barabara ya vumbi kutoka Boko Magengeni. Karibuni Mawasiliano 0625 536 529 (usitumie...
  2. Loraa sum's

    Used HP computer for sell

    used computer for sale brand: HP Ram: 4gb HHD: 500 GB Haina shida yoyote isipokuwa haikai na charge Bei: 150,000 tshs Contact: 0712518770 dar-es-salaam
  3. Elon Mzebuluni

    INAUZWA Nauza Kisembuzi cha DStv used full set

    Niko Mbeya Imetumika mwezi mmoja tu,ipo katika hali nzuri sana bado ina upya wake,ichukue kwa Tsh. 85,000 tu ,maelewano yapo nicheki kwa 0767142928 Utapata dstv decoder,remote yake,dish lake,waya wa dish kwenda kwenye decoder,hdmi cable,nuts na bolts
Back
Top Bottom