Habari wakuu.
Ni wapi zinapatikana Computer used nzuri kwa bei ya jumla?
Nitapata kwa Tshs. Ngapi kwa pc 1 kutokana na specifications za computer husika? Yaani bei ya kila pc na specifications zake.
Kwa wanaofahamu ma Supplier wa China na Dubai watujuze pia.
Kwa mzigo wa kutoka nje gharama...
Habarini wandugu,
Nauza makochi yaliyotumika (3-seater na 2-seater) ya ngozi nyeusi.
Bei laki 4 elfu 50.
Makochi yanayo mito ya ziada ya chini ambayo nimeyahifadhi.
Yanapatikana Mbweni Malindi/ JKT.
Piga 0759970963
Habari wadau,
Nahitaji Howo tipa 6×4 Yaani yenye tairi 10. Iwe nzima, safi na tayari kwa matumizi. Iwepo Dar ili kurahisisha ukaguzi. Offer yetu haizidi 60M. Kama unayo tafadhali nitumie picha zake whatsapp pekee 0755963775.
Ikiwa namba D itapendeza zaidi.
KIMOMWEMOTORS
Kusoma hakuishi kabisa yaani.
Wataalam wa Accounts nisaidieni
haka kaswali, wakuu.
"Mechanism used in dealing with professional misconduct of accountants"
Habari Jf.
Nimeamua kusimama na hii biashara ya kuuza pikipiki used.
Pikipiki zote ziko na document kamili. Unaweza fuatilia Police kwa kujiridhisha zaidi kuepuka usumbufu kwa baadae.
Kuna san lg, fekon, boxer tvs
Napatikana Dar es salaam.
Mawasiliano yangu ni 0744033555 nitafute any time...
Wakuu natafuta mabati ambayo ni used kwajili ya site fence ya ujenzi, pia ukiwa na Playwood(MARINE BOARD) na material zingine za ujenzi
Please tuwasiliane kwa namba 0766943145
Ipo siku mtamkumbuka D.Trump wakati tayari mtakuwa mmeshachelewa, kinachokuja huko mbele ni pure evil, hata Kanisa limeanza kuona, D.Trump ndiye pekee aliyekuwa anawazuia Globalist kuwafanya Watumwa, sasa wote ni lazima mpigwe chanjo na huo ndio mwanzo tu, ...
Full video hapo chini.
Nahitaji Tyres used ambayo toka itengenezwe haijafikisha miaka 5. Iwe haijachongwa. Size 235/70/15.
Ushauri wa kununua mpya kaa nao. Nmesema nataka used. So usilete habari za kike. Maana wadada na wale wenzao mchicha mwiba hushauri jambo ambalo hawajaulizwa.
NATAKA TYRES USED 4. ZISIWE...
Leo nabadilisha tairi za gari yangu BMW 3-series E90. Nauza tairi ilizokuja nazo toka Singapore mwezi huu. Tairi bado zina tread nzuri.
Size ni 225 45R17
Continental ContiSport run-flat.
Bei elfu 50 kila tairi mazungumzo yapo.
0759970963
Mwenyekioo cha hii simu anicheki haraka, Kiwe used. Offer chini ya 100k. Maeneo ya Dar, Moro na Dom tunaweza kuwasaliana kwa haraka zaidi. Mawasiliano 0715175518.
Nauza Iphone 7 Plus 32 GB - USED.
Kama mpyaa.. kila kitu funciton as new
95% Battery Health
Price: IMESHAUZWA
Location: IMESHAUZWA
Contact : IMESHAUZWA
Habari wanaforum,
Natafuta kioo cha Samsung Galaxy A20 kilichotumika na bajeti yangu ni 100,000/=.
Nipo Dar es salaam Kinondoni.
Kama atapatikani anitafute ili tuonane twende kwa fundi ili nikakifix na kuona kama kinafanya kazi ili tulipane pesa hizo.
Pesa yangu iko mfuko wa shati na hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.