used

  1. M

    Nauza Gari used na container

    Habari.. unahitaji kununua gari used au mpya chassis no na hujui utapata wapi kwa Bei nzur? Je unahitaji container za 20ft na 40ft zenye VAT na bila VAT? karibu nikuhudumie +255764423726
  2. E

    Computer4Sale Nauza Slightly Used Laptops

    Hp Dragon🐉 Fly Mnyama🥶 Kwa Offer Price: 1,280,000/= tu✅ badala ya ❌1.5M❌ Super slim laptop with 99% metallic strong body structure💪 Core i5✅ Ram 8GB✅ Ssd 256GB✅ Processor based 1.9GHz and Turbo 3.0GHz✅ TouchScreen and x360’✅ Generation 8✅ Backlight keyboard✅ Kioo inches 13.3🔥 Fingerprint✅...
  3. E

    Computer4Sale Nauza Laptops Used Clean as New

    Hp Elitebook x360 830 g8 , Core i5-11th Gen, Ram 16gb, Ssd 256Gb, Display size 13.3” , Touchscreen x360 , Backlit Keyboard, Price 1,550,000/= CALL/SMS/WHATSAPP 0683731404 MAWASILIANO BUS STAND
  4. Agiza Used SANY Min Excavator SY60C

    Used SANY Excavator SY60C Operating weight 6,100Kg Bucket: 0.22Cubic Meter Bei: 91,000,000/= pamoja na usajili. Malipo ya awali: 66,000,000/= Malipo ya pili: 25,000,000/= Mashine ipo China Inachukua wastani wa siku 45 kufika Tanzania Ofisi ipo Buhongwa, Mwanza Piga/What's up: 0757930069
  5. Ni kweli kununua usafiri kwa mtu (used) kunaweza kuwa na mikosi ya kupata ajali?

    Habarini Waungwana, kutokana na changamoto ya usafir, ivi Karibuni nilimshirikisha rafiki yangu kua nataka nijichange ninunue Pikipk used, TVS (angalau namba D). Yeye alishauri Bora ninunue MPYA. Aliniambia Used sio Nzuri, zinaweza kua ma mabaa ama mikosi, Hujui kwanini ameiuza huenda imegonga...
  6. Nauza tv used, inches 43, Moelectro ni smart tv bei 300,000

    Nauza tv used, inches 43, Moelectro ni smart tv bei 350,000 namba yangu ni 0684101707
  7. Je Biashara ya Simu used inalipa?

    Naomba Kupata Experience Ninatakiwa Kuwa na Shilingi Ngapi Kuuanzisha Biashara ya Simu Used From another Country? Faida Yake Ipoje? Na Changamoto Zake? Ahsante Sana!
  8. Used PS4 & PS5 Games - CDs - Bei kitonga

    1. Fifa 24 (FC 24) - PS5 => 45,000 tshs 2. The Last of Us Part II - PS4 => 49,000 tshs 3. Far Cry 6 - PS5 => 49,000 tshs 4. Assassin's Creed Valhalla - PS5 => 49,000 tshs 5. Fifa 23 - PS5 => 35,000 tshs Karibuni.
  9. Tv stand set used inauzwa

    Nauza TV stand set ambayo ina coffee table yake, ila cofee table yake imevunjika kioo cha juu tu, ni kukibadili tuu, kwahivyo nauza kwa bei nafuu, nitafte kama uko interested : 0684101707 Niko tabata kinyerezi.
  10. YALIYO NYUMA YA PANZIA APTITUDE TEST TEACHING POSITION USAILI KADA YA ELIMU , TYPE OF APTITUDE TEST USED TO FIND QUALIFED TEACHERS

    YALIYO NYUMA YA PANZIA APTITUDE TEST TEACHING POSITION FO MATERIALS Click the Link Below to Get the Complete Guide for Free in Your Email: 👇👇👇👇👇👇👇 https://docs.google.com/document/d/1foJQ2GghLGSldEkj3DjdTMNeHv4fbHST4Waw0yf6BdM/edit?usp=drivesdk JOIN OUR CHANEL 👇👇👇👇👇👇...
  11. Ushauri juu ya biashara ya kuuza na kununua vitu used (furniture na electronics)

    Habari wadau wa JF kama mada inayojieleza hapo.. Natamani kuanza huu biashara kwa wenye uzoefu nayo nipeni ushauri nini vya kuzingatia
  12. Naomba ushauri wa kununua gari used ndani ya nchi

    Habarini wana jukwaa. Kama kichwa cha habari kinavyoeleza. Nimejichanga changa, mungu kasaidia nimepata kitu kidogo, nimeamua ninunue usafiri kurahisisha shughuli zangu. Natamani nipate gari kama Spacio au Raum ila sina uzoefu kabisa na magari. Hivyo nimekuja kwenu kuomba ushauri wa ni vitu...
  13. D

    Nahitaji radio calls used

    Habari wadau . Kwa mwenye mali tajwa hapo juu naomba tuwasiliane. Iwe inafanya kazi au haifanyi bado Nina uhitaji nayo. Pia radio calls za kwenye magari nazo pia nahitaji pamoja na antena zake. Kama unazo karibu.
  14. Kabla ya kununua land cruiser used hapa bongo Nini chakuzingatia?

    Habari wakuu nimetembelea mtandaoni nimeona Wanauza magari bei chee used from hapa hapa Tanzania je kitu chakuzingatia kabla ya kununua?
  15. Anaehusika na kuset kodi za magari used TRA aangalie vizuri ushuru wa Nissan Leaf 2019 EV nataka ivuta Februari!

    Najua kwa namna moja au nyingine muhusika atapata huu ujumbe, na sio tu kwa hii chuma na kwa vyuma vingine. Kwa mfano Nissan Leaf 2019 naona kwenye kikokotoo chenu mme-estimate kwamba CIF yake ni $16,600 kitu ambacho sio kweli, market price sahivi ya hii gari kwa huo mwaka ni CIF ya $8,000...
  16. M

    Wapi nitapata jenereta nzuri ya 25kVA mpya au used

    Habari wakuu! Nahitaji kupata jenereta nzuri ya 25kVA – mpya au used. Kama kuna mtu anafahamu wapi naweza kupata na bei zake zinavyorange, tafadhali naomba ushauri wenu. Asante!
  17. S

    Wauzaji wa vifaa vya magari used kutoka Dubai

    Husika na mada tajwa hapo juu , naomba muuzaji wa spear za magari used au mpya kama ipo spear hii naomba uniambie bei yako hapa nahitaji rejeta full pamoja na caulling yake na reserve tank ya coolant ni shilingi ngapi ukiwa mpya au used ya Japan au Dubai ,gari aina ya Toyota Brevis 1JZ FSE
  18. INAUZWA Kuna Heavy duty balance scale tonnes 80 used na tonnes 60 new karibu sana

    Heavy Duty Scale Balance 1. 80 Tonnes (Used) - Tsh 76.3M 2. 60 Tonnes (New) - Tsh 81.75M Karibu
  19. Simu zinazodaiwa ni Used kutokea Dubai na Korea ni nzima au tunapigwa?

    Habari za Leo Wana jamvi. Hivi simu hizo wanazotuambia wanaagiza from Dubai Korea Japan n.k hivi Zina uhai wowote au tunapigwa tu. Nataka ninunue Samsung note 10 au Aquos R6 hiz wanazosema ni used from Dubai. Au kama Kuna link ya kununua Moja Kwa Moja kutoka Dubai mnipe hapa Naombeni mawazo yenu
  20. Container used ft 20 linahitajika

    Salaam, Nahitaji kontena la futi 20 lililotumika liwe Mkoa wa Dsm. Liwe katika hali nzuri (halivuji, halina kutu) Mwenye nalo njoo DM.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…