Wakuu Salam sana,
Nipo Moro town, nikaona siyo mbaya nikafungue mwaka wakati napata vyombo murua.
Kichwani mwangu nikafukiria Samaki Samaki, Star Park na Eli's Pub.
Sasa nimeenda Star park nakuta kingilio ni Bia 2 mlangoni, nikasepa, Samaki Samaki nakuta pamejaa afu pako wazi na Kuna manyunyu...