Kama ulikuwa unawaza nahodha wa Simba, Mohamed Hussein 'Tshabalala' anaweza akatundiga daruga hivi karibuni, basi sikia majibu yake.
Tshabalala amejibu swali aliloulizwa na Mwananchi kutokana na kucheza kwa kiwango bora ndani ya misimu 10 katika kikosi cha Simba hawazi kustaafu?
Na haya ndiyo...
Historia ya upashanaji habari ni ndefu sana. Sitaki nianzie mbali sana. Kutokana na kasi ya maendeleo ya kielimu na ukuaji wa teknolojia tumeshuhudia kupungua kasi ya usomaji magazeti mpaka magazeti makubwa duniani ikabidi yapotee au kujibadili kuwa ya kielektonik.
Miaka si mingi sana na redio...
Wakuu juzi kati katika harakati zangu nikakuta tangazo. "Are you single and ready to mingle" kwa akili yangu ya kibongo nikaogopa kulisoma kwa ukaribu, ila kwa kuwa nilikuwa kwenye traffic lights nikawa nasoma kwa kuibia kabla taa hazijaruhusu kuvuka. Tangazo lilisema watu wahudhurie wakapate...
Baadhi wanasema kuchomekea T-shirt sio sawa lakini mimi nafanya hivyo mara kwa mara na sioni kama ni tatzo.
Wadau wa mitindo, je ni sawa kufanya hivyo au ni ushamba?
Salaam ,Shalom!!
Umeshawahi kujiuliza nini kinaweza kukutokea ikiwa utajifunga kitambaa cheusi machoni na kutembea barabara ya mwendokasi?
Katika nyakati hizi tunazoishi, simu ya mikononi inachukua muda, nafasi kubwa sana katika maisha ya Kila siku, ni device ambayo muda wote uko nayo, sisemi...
Kuna mzungu ana channel yake youtube anatalii Afrika kwa baiskeli na hivi karibuni anaingia Tanzania, kwa sasa yupo Burundi.
Waafrika wanapenda sana attention kutoka kwa Wazungu, kuwaita ita, kuwasumbua, kuomba hela, n.k.
Huku ni kujishusha thamani.
''Kwa experience yangu mimi naweza kusema niliolewa na mtoto wa Mama, Mume wangu alikuwa mama anachosema ndiyo kinaendesha ndoa yetu, sisi tunaishi Dar lakini maelekezo tuishije yanatokea mkoani. uko na mwenzio kwenye ndoa lakini hakui kila kitu ni Mama aamue'' - Editha Emmanuel mratibu mwanamke...
Mimi vitu vya kishamba ambavyo nimewahi kuviona ni kama ifuatavyo.
1. Hii ilikua kipindi Cha redio za cassette msukuma ameweka Kanda na amenyanyua antenna kana kwamba anasikiliza radio stations.
2. Mzee mmoja alipeleka radio kwa fundi ili apate radio taifa (tbc) maana zilikua zinasikika radio...
Arusha imebarikiwa sana katika maliasili, mazingira na hali ya hewa. Bahati mbaya INA WATU WASHAMBA SANA.
Nimewaona hata hawa vijana wanaojiita wadudu nikajisemea tu kuwa hiki ni kielelezo kimojawapo cha TABIA ZA KISHAMBA ZA WATU WA ARUSHA.
Mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kuvutiwa na...
Hivi mtu unatokaje huna hata mia? Aibu nyingine zinaepukika kuwa na akiba ya hela yako binafsi ni muhimu sana. Hii inawakumba sana Ke wengi.
Back up plan ni muhimu sana.
Habari za jioni Wana JF,
Nimegundua watumiaji wa iPhone asilimia kubwa Wana ushamba na ulimbukeni.
Yani akiwa nayo atataka watu waione wajue kama ana iPhone, ulimbukeni wenyewe ni huu huwa wanaona iPhone ndo simu Bora kuliko simu zingine na kuzidharau hizi brand nyingine za simu.
Mimi si...
Katika siku mbili hizi kumekuwa na mjadara na gunzo kubwa kutokana na Yanga kunyimwa goli dhidi ya Mamelod ambalo wenda lingeweza kuivusha kwenda nusu fainal ya club bingwa Africa.
Kwanza mm mwenyewe ni kili kuwa lile lilikuwa goli halali kwa uono wangu na Yanga walinyimwa goli, lakini hili...
Msafara wa magari ya serikali, kuna ushamba wa maspidi kupindukia.
Ajali msafara wa wabunge, watu 6 walifariki
Polisi watatu walifariki ajali msafara wa Magufuli
Ajali msafara wa Mkonda huko kusini
Tuibue hoja moja inayomuelezea mwanasiasa au kiongozi anayejitutumua hadharani bila aibu...
Nimeona post ya mwanasheria wa Yanga nae anashadadia eti Azam kuwa walichokifanya kwa Fei ndio wanachofanyiwa hivyo wajifunze
Sasa kwa Prince Dube Azam wamesema hela ya kuvunja mkataba wake ni milioni 765, Dube alipe hiyo hela aondoke, hawajamzuia kuondoka kwenda popote
Lakini kwa Feisal...
UKIFUATILIA KILE KINACHOITWA UJANJA WA MJINI NDIO USHAMBA WENYEWE
Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli
Hakuna Watu Washamba na wajinga kama vijana wa mjini wale wanaojiita na kujiona wajanja. Ninawaita Washamba na wajinga kwa sababu ya mambo wanayoyafanya na yale wanaojivunia nayo.
Taikon ni mtu...
Kupitia ukurasa wake wa "X" msanii Madee ameibuka na kutoa mtazamo wake kuhusu hukumu wanayoipata wezi wanapokamatwa na wananchi.
“Sijawahi kumpiga mwizi na sitakuja kumpiga mwizi. Enhee unampiga huyo mwizi then mnamchoma moto baada ya hapo unakua umefaidika na nini”.
“Wote wanaompiga mwizi...
Nikiwa katika pitapita zangu za kusafiri mwishoni mwa mwaka huu wa 2023 nikajikuta mikoa ya kaskazini, nikatua Stendi kuu ya mabasi ya mikoani pale Moshi mjini na hapo nikakutana na mambo ya ajabu, yaani uchafu, ushamba na ujinga wa kiwango cha juu kupitiliza tena mamlaka za serikali...
Biashara nilizonazo nilizianza huku nipo kazini, hadi hapa nilipo biashara zinanilipa lakini haikuwa rahisi, uzoefu nimeupata kwa maumivu kadhaa ikiwemo kuambulia maumivu ya biashara kufilisika, kupigwa na vijana wa dukani, kupigwa faini na tra kwa kuchukulia poa mambo ya kodi, n.k. kupitia haya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.