Huu ni ushamba kwa serikali inayojinasibu kuwa ni ya watu kufichaficha vitu ambavyo havistahili kufichwa! Kwani serikali ingetangaza kuwa Makamu wa Rais Dr. Mpango amesafiri kwenda nje ya nchi kutibiwa, au kupima afya au kusoma ingepungukiwa nini? Badala yake Kigogo amepata ujiko kwa kusambaza...
Niwafungue macho wadau wa kukata mbuga angani hasa safari za Asia mahususi nchi maarufu kwa kila aina ya vituko vya shetani. Loveness Tarimo huyu wa kibongo ni ladyboy wa kitanzania na hao wapo wengi sana na wataongezeka sana tu.
Usiteseke soma zaidi visit google, and YouTube soma sikiliza...
Dar es salaam unakuta kijana ana coaster 10 na bado ukaonekana wa kawaida kabisa, ni tofauti na huko vijijini ama mikoani tayari umefika kipimo cha kuitwa tajiri.
Shida inakuja kwa hawa vijana wageni wa jiji wanatokea vijijini ama mikoani walikokuwa wanapata attention ya kuonekana ni matajiri...
Nipo Saudi Arabia. Nchi ya kiislamu ambayo ndipo ndugu zetu waislam wanakuja kutimiza moja ya nguzo kuu za uislamu.
Habari ya mji hapa ni mji wa kisasa wa kiteknolojia na starehe unaojengwa kutokana na mawazo ya Prince Mohammed Bin Salman ambaye hapa Saudi yeye ndo Crown Prince yaani Mkuu wa...
Sio Kila mzazi ni Mungu wako wa Duniani wengine wanaongozwa kwa sera na itikadi za kishamba sana, kwa upande wangu na ninayoyaona naenda kupotea nyumbani kwa miaka ya kutosha na kurudi huko sidhani.
Fikiria umempata mchumba umekaa nae miaka ya kutosha kuanzia minne, hajawai kukuletea shida Wala...
Naona watanzania kwasasa wengi wao wamekuwa na hulka ya kupiga picha na hela trna hela za kutosha. Je tabia hii wewe unaichukuliaje, ujanja au ushamba?
Kuna hii tabia ya baadhi ya watumiaji wa huu mtandao ukipost kitu wao wanakuja kudandia maraa ohh "Subiri waje" "Subiri muongozo" ili mradi tu waongeze scores na points kwenye akaunt zao. ACHENIII
Kuna mtindo wa kitoto, kijinga, kishamba na ulimbukeni unaokuwa kwa kasi miongoni mwa vijana wa sasa kujivunia kukimbiza magari ovyo ovyo mitaani, yaani kuanzisha ligi na mtu yoyote wanayemkuta barabarani hususani safarini maeneo ya high way, akiwa anaendesha gari yake, basi ghafla hupambana...
Yaani SA au Kenya tu hapa Africa na nchi nyingi zishaacha ushamba wa kuachishwa mabegi kuingia supermarkets au malls coz kuna machines that can read kama una tishio lolote au kama supermarket ukiiba kitu which hakijanunuliwa alarm itaita but Tanzania kila sehemu kama kawa begi kuacha au...
Kwa mujibu wa RIPOTI ya CAG ya mwaka 2020/2021, ni kwamba, MAGEREZA yote Tanzania, YAKIJAA, yanauwezo wa KUBEBA watu 35,000 tu. Uwanja wa MKAPA-DSM, UKIJAA, unaweza KUBEBA watu 60,000. Tanzania ina watu 60 MILIONI. Kwa hiyo, KUTISHIA watu MAGEREZA, ni USHAMBA na ULIMBUKENI.
Kwanza niwapongeze Tamisemi kwa kuja na hii huduma ya kupata leseni mtandaoni. Haya ni mapinduzi makubwa sana kwenye uwezeshaji wa biashara. Lakini nina kero moja amabyo kijuu juu inaweza kuonekana ndogo lakini ni kubwa sana. Kwa nini mmetumia jina na nembo ya ndege tausi.
Nilidhani TAUSI ni...
Ni vema tukaangalia tulijikwaa wapi na wala siyo tulipoangukia.
Siasa za matusi na dharau hazijaanza leo na hata kumkejeli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuna awamu aliitwa Dhaifu tena bungeni na watu wakakaa kimya. Shujaa Magufuli aliitwa Dikteta Uchwara na huyu huyu ni yeye CCM...
Kwanza poleni kwa misiba. Japo mpo kwenye huzuni lakini tuongee hili suala la kutangaza misiba barabarani.
Mbeya kama msiba unasafiri, basi msafara unakuwa na gari la matangazo ambalo linakuwa na MC akitangaza msiba. Utasikia, "Ni huzuni ni huzuni kwa wafanyakazi wa benki ya NMB kufiwa na...
Ameandika kupitia ukurasa wa mtandao wake wa Twitter mwanaharakati na mwanasheria maarufu nchini Fatma Karume
"Hao WAARABU msiowapenda wameweza kufanya MAPINDUZI ya Kiuchumu nchii zao kwenye kipindi kifupi sana. Dubai haitegemei mafuta.Badala ya kubaguwa basi ndugu zangu tujifunze.Acheni...
Hawa mabwana walianza kujiita QUEENS baadae ikaonekana kuwa siyo vyema timu yenye wachezaji wa kiume kuitwa QUEENS
Wakaja wakajiita SUNDERLAND jina la mji mmoja huko UINGEREZA baadae ikaonekana haileti uhalisia ndipo wakajiita SIMBA
DAR ES SALAAM YOUNG AFRICANS toka KITAMBO HICHO jina lao hilo...
Sabalkheri na msalkheri popote pale mlipo.
Imekuwa kitambo kidogo tokea tulonge.
Basi bana mi kwa ujinga wangu huu nikadhani kwamba ushamba ushamba uliondoka na Mwendazake!
Sasa Ngabu unazungumzia ushamba ushamba gani tena?
Ni ule ushamba ushamba wa kwenda kupokea ndege mpya.
Nilidhani Bi...
Ni kama miezi miwili sasa nlikutana naye Bank fulani town nikiwa naenda weka mkwanja. Akashoboka. Basi mi mlume ndago nikasema hamna noma kama vipi tuunge.
Basi ikawa hivyo. Sasa ana ushamba wa sijui wapi. Eti anaongea kiswahili kama Mkenya. So mara nyingi tunatumia Kiingereza coz anajidai yeye...
Jana niliishiwana umeme nyumbani kwangu. Kila nikijaribu kununua kwa simu kama nilivyosmzoea ilishindikana.
Leo nikaamua kwenda TANESCO kuulizia tatizo ni nini. Baada ya kuwapa namba ya mita yangu nikaambiwa kuwa sababu nyumba ni ya ghorofa natakiwa kulipia elfu tano kwa kila floor na deni...