Iwe krismasi au Eid au Pasaka na sikukuu zote za Waislamu au Wakristo. Jamani Watanzania tuache ushamba wa kuweka mafoleni barabarani au malls au beach kwa ushamba tu, si upike pilau home yaishe?
Kweli unatoka Gongo la Mboto kwenda Coco beach? Au kushangaa tu malls na mnaweka mafoleni na watoto...