Mzee tumekuwa tukimuheshimu sana lakini katika siku zote leo ameharibu sana cv yake.
Mtoto wake wa kiume miaka kama 28 kaenda kumtembelea kwa lengo la kumpa habari njema anataka kuoa
Katika mazungumzo ya kumfafanua zaidi mwanamke, umri wake ni miaka 25, ana mtoto moja mdogo aliempata akiwa 23...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.