Mzee tunayemheshimu karopoka matusi mazito kisa mwanae anataka kuoa mwanamke mwenye mtoto

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Mzee tumekuwa tukimuheshimu sana lakini katika siku zote leo ameharibu sana cv yake.

Mtoto wake wa kiume miaka kama 28 kaenda kumtembelea kwa lengo la kumpa habari njema anataka kuoa

Katika mazungumzo ya kumfafanua zaidi mwanamke, umri wake ni miaka 25, ana mtoto moja mdogo aliempata akiwa 23 au 24, hata hivyo wameachana na baba mzazi wa mtoto.

Mzee kalipukwa na hasira kama mwehu hayo matusi aliyoanza kuyatoa kinywani yalikuwa ni mazito sana, mtoto wake hakutetereka bado alisimia msimamo wake hali iliyoleta taharuki zaidi, mzee utadhani alipandwa na mizimu.

Wazee wakubali hali tuliyo nayo sasa sio kama wao zamani, mamabo yamebadilika sana,

Na sisi kina baba wenye watoto wa kiume tunaojua kuwa muda utafika nao watahitaji kuoa, tunapaswa kuanza kujiandaa kisaikolojia kulingana na zama za sasa, kwani kuna uwezekano mkubwa mchumba atakayempata awe na mtoto. Lililo bora ni kumuelimisha juu ya mambo yanayoweza kutokea endapo atachukua uamuzi huo, hasa yanayohusu baba wa mtoto na mtoto asiye wake. Hali ya sasa inaonyesha kuna mabinti wengi kuanzia umri wa miaka 21 tayari wana watoto, na ukimkatalia au kuanza kumtukana kijana anaweza kujichukulia maamuzi ya kuoana kwa siri.
 
Baba ako unamuita mzee ila ana akili kukuzidi wewe.

Hivi unaakili timamu kweli mkuu? Unaoaje mwanamke mwenye mtoto?

Warembo kibao wamejaa hawajazaa, wewe unaangaika na mwanamke mwenye stress za kuzalishwa na kupigwa cha mbavu.

Unatuaibisha mkuu, badilika!
Mimi nusu muhenga naenda kufanya annivesary za miaka 10 ya ndoa mwaka ujao.

Lakini kwa hali ya sasa ilivyo mabinti kibao wenye 22 tayari wana watoto, tujipange sana kisaikolojia kwa watoto wetu wa kiume kutuletea wachumba wao wenye watoto lasivyo wataanza kuoana kwa siri.
 
Mzee tumekuwa tukimuheshimu sana lakini katika siku zote leo ameharibu sana cv yake.

Mtoto wake wa kiume miaka kama 28 kaenda kumtembelea kwa lengo la kumpa habari njema anataka kuoa

Katika mazungumzo ya kumfafanua zaidi mwanamke, umri wake ni miaka 24, ana mtoto moja, hata hivyo wameachana na baba mzazi wa mtoto.

Mzee kalipukwa na hasira kama mwehu hayo matusi aliyoanza kuyatoa kinywani yalikuwa ni mazito sana, mtoto wake hakutetereka bado alisimia msimamo wake hali iliyoleta taharuki zaidi, mzee utadhani alipandwa na mizimu.

Wazee wakubali hali tuliyo nayo sasa sio kama wao zamani, mamabo yamebadilika sana,
Kijana aache ujuaji, mzee anataka kumuokoa na matatizo ya mbeleni.

Kuishi na mwanamke ni changamoto, akiwa na mtoto, hizo ni changamoto mbili, ya tatu ni baba mtoto.
 
Mimi nusu muhenga naenda kufanya annivesary za miaka 10 ya ndoa mwaka ujao.

Lakini kwa hali ya sasa ilivyo mabinti kibao wenye 22 tayari wana watoto, tujipange sana kisaikolojia kwa watoto wetu wa kiume kutuletea wachumba wao wenye watoto lasivyo wataanza kuoana kwa siri.
Hamna bana ni uvivu tu wavijana kusaka warembo. Wengi tu hawana watoto.

Yaani ukikuta binti wa miaka 22 na ana mtoto, hapo maana yake ni nini sasa? Si ndo kama vile jamvi la wageni?

Hapana aiseee
 
Mzee tumekuwa tukimuheshimu sana lakini katika siku zote leo ameharibu sana cv yake.

Mtoto wake wa kiume miaka kama 28 kaenda kumtembelea kwa lengo la kumpa habari njema anataka kuoa

Katika mazungumzo ya kumfafanua zaidi mwanamke, umri wake ni miaka 24, ana mtoto moja, hata hivyo wameachana na baba mzazi wa mtoto.

Mzee kalipukwa na hasira kama mwehu hayo matusi aliyoanza kuyatoa kinywani yalikuwa ni mazito sana, mtoto wake hakutetereka bado alisimia msimamo wake hali iliyoleta taharuki zaidi, mzee utadhani alipandwa na mizimu.

Wazee wakubali hali tuliyo nayo sasa sio kama wao zamani, mamabo yamebadilika sana,
Unaoaje singo Maza asee, mzee Yuko sahihi kabisa, ushauri wa wazee uskilizeni msipuuze

Yani unaoaje mtu alishampenda mtu wake mpaka akakubali kuzalishwa nae, Yani ni sawa uoe mke wa mtu.

Siku ya siku jamaa lake la zamani linasema niletee mtoto nimsalimie au njoo usalimie mtoto wako, kumbe wanaenda kukumbushia shoo maaaamae wanaenda kutiana

Na kwanini kijana huna mtoto uoe singo Maza???? Hata kama una mtoto kwanini uoe singo Maza

Mbona wanawake wa kuoa wapo wengi tuu aseeeee

Aliezalishwa acha wamalizane na aliemzalisha, maana mpaka mwanamke akubali kupanua miguu akatiwa mimba tyari alishampenda sana mtiaji acha wamalizane nae watajuana wenyewe huko, tafuta mwanamke ambaye hajawahi zalishwa
 
Hamna bana ni uvivu tu wavijana kusaka warembo. Wengi tu hawana watoto.

Yaani ukikuta binti wa miaka 22 na ana mtoto, hapo maana yake ni nini sasa? Si ndo kama vile jamvi la wageni?

Hapana aiseee
wapo wanadanganya hawana watoto mnakuja kujua mbele, wapo waliotoa mimba na watumiaji sugu wa dawa za kuzuia mimba jambo linaloweza kuhatarisha afya ya uzazi
 
Mwanamke asiye na mtoto ukilala naye utamjua tu. Na aliyezaa ukilala naye utamjua tu.

Akinidanganya nikija kujua baadae namuacha straight away.
 
Unaoaje singo Maza asee, mzee Yuko sahihi kabisa, ushauri wa wazee uskilizeni msipuuze

Yani unaoaje mtu alishampenda mtu wake mpaka akakubali kuzalishwa nae, Yani ni sawa uoe mke wa mtu.

Siku ya siku jamaa lake la zamani linasema niletee mtoto nimsalimie au njoo usalimie mtoto wako, kumbe wanaenda kukumbushia shoo maaaamae wanaenda kutiana

Na kwanini kijana huna mtoto uoe singo Maza???? Hata kama una mtoto kwanini uoe singo Maza

Mbona wanawake wa kuoa wapo wengi tuu aseeeee

Aliezalishwa acha wamalizane na aliemzalisha, maana mpaka mwanamke akubali kupanua miguu akatiwa mimba tyari alishampenda sana mtiaji acha wamalizane nae watajuana wenyewe huko, tafuta mwanamke ambaye hajawahi zalishwa
Mpe vidonge vyake! Mwanaume utakulaje makombo ya mwanaume mwingine?
 
Ni rahisi kufikiria hivyo kwa akili ya mvulana ambae bado hujaoa.

Ndoa ni taasisi nzito, sio watu wawili tu, kuna watoto, mali, vyombo vya sheria, n.k.
Mwaka wa 9 huu na nina watoto wawili. Ila misimamo yangu kuhusu kuoa mwanamke aliyezalishwa, haiyumbi.

Kuoa mwanamke aliyezalishwa ni kama kuingiza jamvi chafu ndani lililokanyagwa na watu wengi.
 
Nusu mhenga mwenzangu, elewa kwamba zama zimebadilika. Sisi wengi tuliozaliwa miaka ya 80 na 90 tuliwakuta mababu na baba zetu wakiwa na misimamo ya kuoa mabikira tu, lakini enzi zetu tukiwa vijana hizo bikra zikaanza kuwa adimu, tukaanza kuzoea kuoa hata bila bikra lakini hata hivyo mabinti walikuwa angalau wana maadili, vijana waliopewa nafasi tulijitahidi kuzingatoa condom na hata walipowapa mimba walijitahidi kuoa. Kwa zama za sasa Gen Z hali imekuwa tofauti zaidi, mabinti wamejiachi sana, vijana hawataki condom na wamekuwa wakikimbia wanawake wanaowapa mimba, jambo lililosababisha kuongezeka kwa idadi ya akina mama wasio na waume. Hivyo basi, hawa watoto wetu wa kiume siku zao zikifika za kuoa, ni wazi wenzao wengi watakuwa ni single mothers.
 
Yaani binti ana miaka 24 kazalishwa nje ya ndoa, alimzalisha hajamuoa.. kuoa wewe ni ngumu kumeza, afadhali iwe aliolewa, kwa mbaali utamfikiria.

Dingi yupo sahihi, japo kazidisha hasira, ni kumshauri tu kijana akikaza kichwa unamuacha aone ya dunia
 
Back
Top Bottom