Kwan ma single mother wamewafanya nini, maana vita kila kona, ukiona masingle mother wengi ujue na masingle dad wengi.
Mtu kukosea mara moja asiadhibiwe milele, mtakuwa na watoto, angalien hao mabint zenu wasiwe masingle mother, na watakapo kataliwa sabb ya usingle mother mbele ya macho yako ee mzazi, utakumbuka maneno yako.
Tuwe na utu , Mungu angekuwa ana bebelea makosa , sijui tungekuwa tuna hali gani saa hii.
Ukiona wewe single mother hakufai, Kaa kimya waache wanao weza kukaa nao wawa oe.
Nb. Kama huna point Kaa kimya msiumize hao single mother