Habari za wakati huu ndugu zangu wa JF, tukiendelea na mapambano ya kila siku
Kwenye harakati za mapambano nimefikiria kutafuta eneo kwa ajili ya kuuza maziwa ikibidi kuongeza na bites na vitu vingine.
Nimefikiria kupata maziwa fresh, maziwa mtindi, Asas (pamoja na yogurt), Tanga Fresh na...
Baada ya mechi ya Azam nilisema wazi kuna wachezaji hawastahili kuchezea Simba na wengine nilisema wakalishwe kitako (Naskitika sana ushauri wangu ni kama wanautekeleza taratibu kwa kuanza na yule m Zambia alikuwa anacheza kama ana degedege)
Baada ya hii mechi ya Dodoma leo, conclusion yangu...
Nimepita daraja la Wami Dakawa, nikapita daraja la Ferry Dumila, nikapita madaraja ya Kitete, Msowero, Mvumi na Rudewa barabara ya Dumila Kilosa nikajifunza kuwa madaraja ya njia hiyo yaliinuliwa juu sana kiasi kwamba siyo rahisi kuathiriwa na mafuriko ikiwa mvua kubwa zitanyesha Kiteto, Gairo...
Ikitokea sijafanya mazoezi (mfano ya jogging) angalau mara mbili kwa wiki, mwili huniwasha unapokumbwa na mtikisiko.
Mfano: kama sijafanya mazoezi angalau mara mbili kwa wiki, siku nkifanya mazoezi tena, mwili huanza kuwasha, then huacha baada ya kutokwa jasho jingi wakati naendelea na...
Habari wana bodi!
Tazama huu mchoro kisha uniambie umeona mapungufu gani na nini kipunguzwe au nini kiongezwe ili kuleta kitu kizuri zaidi.
Eneo: 40m x 20m = 800sqm
Ninatanguliza shukrani.
Tunataka jeshi la wasomi wenye GPA kubwa ili wakifanya mambo ya hovyo tuwe na haki zote za kuwanyooshea kidole.
Mtu aliyeishia form 4 na kupata division 4 hawezi kulaumiwa kwani upeo wake hauwezi kuwa wa juu. Muda wote atahitaji kutumia nguvu kuliko akili katika utatuzi wa changamoto...
Habari za wakati huu!! Mimi ni mhitimu wa Bachelor of Engineering in Civil (uhandisi wa ujenzi) mwaka huu kutoka chuo cha DIT. Miaka kadhaa nyuma nilipomaliza elimu ya diploma (2017) nilifanya kazi katika kampuni tofaufi tofauti za ujenzi.
Kwa sasa mara baada ya kutoka chuo nimefikiria kufanya...
Nimechaguliwa kusoma Bsc of science in human nutrition ,naomba nishaurini chochote kuhusu hii course kama ni nzuri
# Natanguliza shukrani zangu za dhati wakuu#
Wadau mimi ni mwanachuo nasom bachelor of science in chemistry mwaka wa pili lakini sioni future katika hii kozi kutokana na uhaba wa ajira na msoto wa waliomaliza naombeni ushauri
Salaam JF.
Nimekuja hapa nikiwa na imani ya kuwa jf ni uwanja mpana uliosheheni watu wenye ujuzi tofauti.
Nimeanzisha huu uzi kwa malengo ya kupeana elimu na uzoefu katika masuala mazima ya kumiliki pamoja na uendeshaji kupitia kampuni inayohusia na Transportation and logistics.
Nakarabisha...
Baada ya kuona tunaitwa kuwekeza kwa UBIA kwenye VIVUKO; nikaingia kwenye TOVUTI yao kuona hawa jamaa wanafanya nini katika Huduma ya VIVUKO Home | TEMESA
Kwa haraka haraka naona kama kazi za hawa watu nyingi ni za administration / Usimamizi (Hivyo wanaweza wakasimamia kwa uchache au...
Heshima yenu! Wanajamii Jf!
Ushauri kwa kijana wenu Nina miaka 24 tu na ndio nimemaliza Chuo miezi miwili Sasa!
Katika harakati za kuona nisikae kinyonge Daslamu niliamua kurudi nyumbani bwana! Geita
Basi dada yangu akawa amenipa 260000/=, nilimwambia nitafanya biashara ya kutembeza mayai...
Poleni na majukumu wana-JamiiForum. Ni imani yangu wote mpo salama. Kama kuna anayepitia changamoto Mungu awe faraja kwako.
Nimekuwa mfatiliaji wa kipindi cha 'Ushauri wako' kinachorushwa saa 2-3 asubuhi siku ya Jumapili Radio Free Africa. Kwenye hiki kipindi huwa wanahojiwa wahitaji...
Samahani viongoz wangu!Nilikuwa naomba mnisaidie je naweza kuhama kozi katika chuo cha udom kutoka nursing kwenda pharmacy au md nanabidi nifuate hatua zp? Na itakuaje kuhusu mkopo? Naomben
msaada wenu nilikuwa pcb ufaul wa CBC
yan points 8
Nashauri Chadema isogeze mbele halafu itoe location mpya watu wasafiri wakaungane huko wawaache askari na farasi na magari yao Dar waendelee na mkutano na maadhimisho ya Amani
Wakuu naombeni mnipe mawazo ya kiushauri niweze kumshauri huyu ndugu yangu, Nahisi hayupo sawa kisaikolojia.
Ni mtoto wa mjomba wangu alimaliza diploma ya clinical officer mwaka 2020 akiwa na G.P.A ya 3.1, Kwa wakati wote tokea amalize hakuwahi bahatika kupata ajira ya kudumu zaidi ya kazi za...
Katika umri wa miaka 30 ndipo maisha ya mwanaume yanaanza kujibu au kuonyesha muelekeo. Hapa ndipo huwa tunagundua wapi tulikosea wapi tulipatia.
Kwa mabroo, wakina baba na wazee ambao mpo 30+ una ushauri gani kwa madogo sana sana kwenye suala la mahusiano na uchumi.
Mwaga sumu kwenye...
Rais mstaafu Jakaya Kikwete aliwahi kutoa ushauri kwa uongozi wa awamu ya 5 kuhusu namna ya kuendesha siasa na wapinzani. Alisema wapinzani waachwe watoe hoja zao tutawajibu kwa hoja, kama ni kuandama waachwe waandamane mwisho watatulia.
Katika uongozi wa Kikwete demokrasia ilionekana kukomaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.