ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Ushauri katika miradi ni kama ushauri katika maeneo mengine ya kitaalamu

    Kuna wakati inatupasa kuendelea kujifunza na kuhimizana kuhusu USHAURI KITAALAMU. Katika jamii ya Watanzania na duniani kote, kuna watu wamejikita katika weledi na pia wenye vipaji fulani. Wengine wana elimu ndogo, za kati, na za juu. Ni wachache wasio na elimu rasmi, ila wana ujuzi na uzoefu...
  2. D

    Ushauri: Kamanda Faustine Mafwele mfungulie kesi Sativa

    Bandugu, mhanga wa utekaji, uteswaji na uuaji Sativa aliyeokotwa huko Katavi amemaliza ugomvi na kufungua sintofahamu kwa nani aliyemteka, kumtesa na kumtupa porini baada ya kumpiga risasi ya kichwa. Sativa amejitokeza hadharani na kumtaja kuwa Kamanda wa Polisi, ACP Faustine Mafwele wa...
  3. Influenza

    Pre GE2025 Tundu Lissu: Msimamo wetu upo pale pale, tutaandamana Septemba 23, 2024

    Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amesisitiza hatua za kisheria zichukuliwe juu ya wanaofanya utekaji pamoja na mauaji nchini. Pamoja na hayo Lissu amesisitiza kuwa msimamo wa chama chake juu ya kuandamana tarehe 23 Septemba bado uko pale pale kwani...
  4. bending moment

    USHAURI NATAKA KUCHUKUA SUBARU SJG 2014

    wakuu habari za muda huu, nmejichaga sasa nahitaji gari ya juu na katika pita pita zangu hii chuma nmeielewa sana sasa wataalamu naomba mnifahamishe vitu hivi upatikanaji wa spare ( nipo mbeya) changamoto zake ni zpi ulaji wa mafuta na ipo bora yenye turbo au isiyo na turbo( mizungiko yangu ni...
  5. Tlaatlaah

    Ni ushauri upi muafaka kwa kijana huyu graduate wa umri wa miaka 40 mtaani?

    Maana yupo bado anaishi nyumbani kwa wazazi wake. Mwingine yupo tu amekomaa kuishi kwa shemeji yake mjini, wakati chuo kaishamaliza miaka kadhaa ilopita, hana kazi wala biashara, na kakomaa town kubanabana familia za watu. Na mambo yalivyobadilika hususani utovu wa kimaadili kama vile ulawiti...
  6. nipo online

    Napenda pikipiki TVS lakini eneo nililopo wateja wanapenda BOXER. Naomba ushauri.

    Nimepita vijiwe kadhaa hapa nimechunguza kisha nikaona pikipiki nyingi ni boxer ikabidi niulize wadau hapa majibu yao ni kua TVS humpakii mtu haya maeneo TVS nenda mbeya au dsm. Lakini hakunitajia sababu kwa nini wateja wanapenda BOXER.
  7. J

    Ndugu naomba ushauri akili imestack

    Mimi Nina umri Miaka 38 sasa Nina mahusiano na mwanamke tangu mwaka 2014 na tumezaa watoto 4 kati ya hao 1 Mungu amemchukua na sasa Hivi tuna ambaye mwezi wa 10 atatimiza mwaka na wawili wapo shule darasa la 3 na 2. Sijawahi kufika kwao tangu 2014 mpaka mwaka 2022 pale aliponiibia vitu vya...
  8. milele amina

    Pre GE2025 Ushauri kwa Mwenyekiti wa CCM Taifa, Samia Suluhu Hassan kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Utangulizi Ndugu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Ninaandika ushauri huu kwa lengo la kuboresha mchakato wa uchaguzi wa wagombea kuanzia ngazi ya Wilaya, Mkoa, hadi Taifa. Ni wazi kwamba mfumo wa sasa una changamoto nyingi ambazo zinahitaji kutatuliwa ili kuhakikisha kuwa...
  9. John kirua

    Msaada: naomba ushauri.

    Mjumbe wa mtaa kaniletea barua ya wito naitajika kwa afisa mtendaji. Barua imeandikwa naitajika kwa 7bu ya kutolipa ela ya takaa Nimeshindwa kujua kwanza mm ni mtumish wa serikalini pia nipo single naishi mwenyewe nipo busy hata muda wa kushinda nyumbn sina mwez au wiki sirudi nyumbn kutokan...
  10. D

    Nipeni ushauri kuhusu printer

    Natafuta printer kwa ajili ya ofisi yangu ni ofisi ndogo inajitafuta lakini uwa tuna kazi za kuprint na kutoa copy kwa wastani wa karatasi 2000 za black and white na 100 za coloured kwa mwezi. Kuna mtu kanipa pendekezo la printer ya: HP LaserJet Pro MFPM 426 FDW anaiuza kwa laki 7 ila...
  11. M

    Naomba ushauri kati ya kozi hizo

    Habari wakuu, kwa heshma kubwa naomba, nahitaji muongozo wenu. Nimepata 1: Bachelor of Arts in Economics -Ardhi university 2: Bachelor of Economics and finance -IFM Nilisoma HGE ufaulu wangu ni 1.8 (History B, Geography C, Economics C,Bam D) Naomba ushauri wenu wakubwa zangu nichukue ipi...
  12. GENTAMYCINE

    Rais Samia tafadhali nakuomba chukua muda wako leo na uupokee huu Ushauri wangu GENTAMYCINE, nina uhakika utakusaidia sana na Kunishukuru pia

    Pole na Majukumu yako ya Kiutendaji na hongera kwa yale mazuri unayofanya kwa Tanzania japo kwa kawaida changamoto za Kiutawala / Kiuongozi kwa Rais yoyote hazikosekani na kama hutozimaliza Wewe basi atakuja Kuzimaliza ajaye. Tafadhali Rais Samia nakuomba fanya yafuatayo ikikupendeza....... 1...
  13. kruzostom

    Ushauri kuhusu kubadili kozi pale Kampala

    Nimepangiwa education pale Kampala lakini nataka kozi ya afya je, nikienda mapema naweza kufanikiwa labda kwa private? Naomba mtu mwenye uhakika hili ndo aweze kunifafanulia vizuri Kama vipi nifanye application upya yaan ushauri wa uhakika tuache kujibu kwa mazoea plz plz jamani
  14. J

    Ushauri: Mtaani kwetu kuna mama anashindwa kuwakanya watoto wake ambao wanafanya vitendo viovu

    Kaka shikamoo... Kuna MAMA huku MTAANI kwetu ni katili sana, WATOTO wake wanafanya mambo ya hovyo yakuumiza na yakumchukiza hadi MUNGU Cha ajabu haongei wala kukemea chochote yaani mpaka tunajiuliza au yeye ndo anawatuma? Na kuna wengine wanamsifia sana kwamba hakuna kama MAMA na wanataka...
  15. R

    Ushauri: Waziri Bashe awekwe pembeni ili amalizane na kesi zinazomkabili mahakamani

    Salaam, shalom!! Mh Bashe amegoma kujiuzulu Kwa hiari, ana tuhuma mahakamani ambazo anatuhumiwa Yeye kama waziri, Na Kwakuwa, waziri wa KILIMO ni mtumishi wa umma, kuacha ofisi mara Kwa mara Ili kuhudhuria au kushughulikia mashauri yaliyoko mahakamani akiwa na mawakili wa Serikali...
  16. jangos

    Nawaza nimekosea wapi au ni laana! Napitia msongo wa mawazo

    Habari Mimi sio muandishi mzuri lakini nitaelezea kama ilivyo. Umri wangu bdo 20s lakini napitia depression Yaani msongo wa mawazo. Sina mtoto na sijui kama nitakua nae maana hamna demu ananitaka maybe jinsi nilivyo and love is only thing make life worth living... Inafikia hatua nawaonea wivu...
  17. Z

    Naomba ushauri kuhusu kozi na vyuo hivi

    Wakuu nimekuja kuomba msaada wa kunisaidia nisome ipi kati ya kozi hizi na vyuo hivi 1.Bachelor of arts in Economics _Ardhi university 2.Bachelor of Economics and finance _IFM 3.Bachelor of Agriculture investment and banking _SUA Nahitaji sana mawazo na muongozo wenu wakuu wangu,niende ipi...
  18. didy muhenga

    Kuna madhara kufanya mapenzi kabla ya kumaliza dozi ya UTI?

    Wakuu hivi kuna madhara ntapata baada ya kufanya sex leo ikiwa asubuhi ndo mmemaliza doz ya sku tatu ya Azuma bahat mbaya nmejisahau nmefanya kavu.
  19. Z

    Naomba ushauri wa Kozi ya kuchagua

    Habari wakubwa, Kwa heshma kubwa naomba ushauri Kwa Binti /kijana wetu anahitaji ushauri wa ki confirm kozi ambayo itakuwa Bora Zaid kwake Kwa ambazo amechaguliwa. Kozi zenyewe ni kama ifuatavyo 1. Bachelor of arts in economics_Ardhi university. 2. Bachelor of accounting with Information...
  20. Joseph mwakabelele

    Niiliapply vyuo mwaka huu na nimechaguliwa diploma katika vyuo vifuatavyo

    Ndugu zangu, mimi ni kijana ninayetamani kusoma lakini hali ya kiuchumi sio shwari. Niiliapply vyuo mwaka huu na nimechaguliwa diploma katika vyuo vifuatavyo. Ninaombeni ufadhili nikasome, pia nikasome kozi gani kati ya hizi. 1. Medical laboratory science. Lugarawa na Rucu 2. Petroleum...
Back
Top Bottom