Tumeshuhudia kwa macho na masikio. Viongozi wetu wamenyanyaswa na kuteswa.
Ni wazi wanahitaji ulinzi. Na kwa mantiki hii basi Red brigade wapatiwe mafunzo ikibidi wapelekwe nchi kama Korea na Cuba.
Lazimq tupinge uonevu na kujilinda.
According to Tony Brair akimzungumzia Raisi aliyekuwa Kiongozi wa nchi masikini ya Singapore... Lee Kuan Yew.
Nadhni Tanzania na Africa we need Raisi mwenye maono kama huyu Lee. hebu msikilize.
Piga chini kiswahili kimetuletea umasikini tu na kutufanya zaidi tuwe houseboy n.k hatukubaliki...
Natoa ushauri kwenu kwa nia nzuri tu, mkitaka chukueni msipotaka endeleeni na harakati zenu, mimi nimeanza kufuatilia siasa za nchi hii wakati nikiwa form 2 mwaka 1992, enzi hizo ndio kumepamba moto siasa za vyama vingi yaani democratization process.
Hali ilikuwa moto kipindi kile, chama chenye...
"Kabla ya kufanya uamuzi wa kuoa, fikiria kwa makini kuhusu mpenzi unayemchagua. Usioe mwanamke amehamia na kupanga nyumba kwa maisha yake mwenyewe. Badala yake, tafuta mwanamke ambaye bado yupo kwa wazazi wake au nyumbani kwao.
Ninasema haya kutokana na uzoefu; utakuja kunishukuru baadaye."
Wakuu Habari za weekend.
Hivi unakuta Baba na mama walizaa ila kila mmoja akaenda na ndoa yake.
Sasa kijana anataka kuoa, na yeye hajaishi kwa Mama yake wala kwa Baba yake. Kaishi na shangazi yake.
Sasa anajiuliza kuhusu situation itakuwaje kuhusu mama yake kuudhulia kwenye shughuli kama...
Habari wanajamvi nataka kufungua biashara eneo la wazi biashara itahusisha chips,mihogo yakukaanga,nyama choma,supu nk nafikiria kununua projector itakayo nipa nch 100 ama zaid iwe moja ya kivutio hasa kipind cha mipira na movie kali
Kama kuna wadau wanaozielewa projector kali inayoonesha 4k...
Wakuu habari za leo!
Natumai mu wazima wa afya.
Wapendwa naomba niwashirikishe jambo kidogo kwa ufupi mimi ni IT Professional nafanya kazi moja ya kampuni za private hapa mjini Dar, nimekua nikipitia changamoto sana katika kazi yangu ya IT yaani natumia nguvu kubwa sana kufanikisha majukumu...
Habarini Ndugu
Nyumba Ninayoishi haina miundombinu rafiki ya kutumia washing mashine , ingawa nyumba ina choo ndani na jiko na maji yanaflow ndani
Naomba nijue mashine ipi itakua rafiki kwa matumizi ya familia kwa bajeti Isiyozidi laki 7
Pia nakaribisha mawazo mbadala mmefanyaje wadau
Asante
Salam WanaJF!
Kama kichwa cha Habari hapo juu. Nimehitimu First Degree ya ICT miaka michache ilopita. Tayari nilifanikiwa kuajiriwa. Sasa nimeamua kwenda kuongeza kitabu kwa ngazi ya Masters Degree.
Hata hivyo nina Interest na fani mbili;-
1.Masters of Science in Project Planning and...
Wadau hamjamboni nyote?
Nimeona ni vema tukawajua angalao kwa ufupi tu Viongozi wakuu wa magaidi wa hamas wakiosalia hai hadi leo Agosti 1/2024
Hawa ndiyo Viongozi wakuu wa magaidi wa hamas waliopo hai leo hii huku msako mkali ukiendelea dhidi yao
Wengi wao wamenusurika kimaajabu majaribio...
Mimi ni kijana wa miaka 30 nina elimu ya diploma ya clinical medicine nilimaliza chuo miaka 4 iliyopita.naomba kufahamishwa hasa namna rahisi ya kumudu biashara tajwa hapo juu.
Siwezi kukaa mwenyewe kutokanq na majukumu yangu kwahiyo nimepangq nimuweke mtu kwa ajili ya kuuza.
Naomba...
Iko hivi mimi niko na mdada kwenye mahusiano ni mdogo tu ako na 21 saivi.
Sasa kilichonileta ni kwamba huyu mdada kweli haniombi pesa na anakuja geto kwa wakati na tunafanya yetu vizuri sana.
Sasa huyu mdada ana watoto wawili ambao amezaaa na jamaaa sasa huyu demu anapenda sana mimi na yeye...
as young Africans fans we did our work. the management shouldn't come forward we did advice them or sent letter of concern. if chaos happens. it's Hersi and management fault.
Wadau hamjamboni nyote?
Usumbufu niliopata Leo nikienda Morogoro nimejuta kupanda bus
Sitarajii kutumia tena usafiri huo nikienda Morogoro au Dodoma
Panda treni usipoteze muda wako kupanda bus labda kama unao muda wa kupoteza.
Mchana mwema
Basi jitahidini mkijua kuwa fulani mnaenda kuwala Vichwa ( Kuwatumbua ) muwe mnawaambia kabla ili wawe wanajiandaa Kisaikolojia pamoja na Familia zao halafu na hata wasiwe wanapoteza muda Wao kwenda Kuwajibika kwa Siku hiyo kwani kuna Watu mmewaumbua vibaya sana hivi karibuni kwa Kuwatumbua huku...
Leo napenda kuwasiliana na wewe mchakalikaji popote Tz na nje ya nchi .Kama unajengaKujenga nyumba katika eneo lenye chemchemi ya maji au eneo lenye asili ya maji kunahitaji tahadhari maalum kutokana na hatari za kimaumbile na za kimuundo. Hapa kuna mambo kadhaa muhimu ya kuzingatia:
1...
Huyu kaka ni jirani yangu, wakati namaliza chuo ndiyo walihamia hapa karibu na kwetu wakiwa na nyumba kubwa kuliko sisi. Mwanzo mke wake alikuwa ni rafiki yangu na katika kuongea niligundua kuwa kumbe wana miaka 7 kwenye ndoa yao lakini hawana mtoto. Nikimuangalia kaka ana kazi nzuri TRA na...
Shalom shalom. Mwanamke aliyenizidi umri ananitaka mana nilikuwa nikimsalimia shikamoo anakwepa, ni limwalim wa secondary kanizidi kama miaka 15 hivi. muda wote anataka kuchat usipochat ananuna.
Ushauri wenu wanazengo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.