Nimehudhuria ibada za Wasabato mara kadhaa. Mara zote nimeona msisitizo mkuu wa mahubiri yao ni kuhusu siku ya Sabato.
Lakini pia niliona kuwa mahubiri yao kwa sehemu kubwa yanatoka kwenye vitabu vya Agano la Kale.
Hakuna ubaya kwa mahubiri kutoka kwenye Agano la Kale, lakini endapo hawasomi...
Tunatakiwa kutambua kuwa viumbe KE hata wafanyiwe kitu gani hawaridhiki.
Jambo la kufanya ni ku-focus na maisha yako, jipende, kula bata, jali watoto wako (kama unao).
Wanaume tunakufa mapema kutokana na stress za wake zetu, kelele nyingi, kuchapiwa n.k Ili tuishi maisha marefu tu-focus na...
Huku mmenishauri nitumie dish la DSTV, kwakweli mwana kafurahia sana nasi tumefurahia . Inavipindi vya kidhungu dhungu, unajiona wewe ni wewe tu kati ya majirani wenye azam na startimes.
Startimes ni kama simu za techno au itel , na azam kama infinix , na vitu visivyo na mvuto .
ILa dstv ni...
Every body is entitled to freedom of expression, this is a constitutional rights.Ipo kwenye Bill of Rights.
Kutoa maoni ni haki ambayo nobody huwezi kuichukua, ndio maana Rais anavumilia watu wakimkosoa na wengine wakimkejeli.
Mtu anapotoa mawazo yake sio lazima ww uyakubali au uyapende...
Ushauri kati ya Toyota landcruiser yenye engine ya 1HZ au 1GD-FTV
Habari wana JF
Naombeni ushauri wenu je kati ya Toyota landcruiser yenye engine ya
1. 1HZ-manual cc 4,164 CC
au
2. 1GD-FTV automatic 2755 CC
ni ipi bora kwa maana ya
1. matumizi ya barabara ambazo sio za lami kwa...
Wakuu kwema
Kijana niko na 350k , kuna jamaa yangu kaniambia anauza saluni yake kwa hio bei.
Vinyozi wanampa 4k per day, na kodi wanalipa wao, nataka kuinunua .
Naombeni ushauri pia kama mna idea nyingine.
Asanteni.
Mh Nape Nnauye Waziri wa Habari na Mawasiliano vijana wengi tunakupenda sana kwasababu wewe ni msikivu sana.
Kuna haja ya kuwakaribisha Starlink Tanzania kwasababu zifuatazo
1: Starlink wanatoa huduma nzuri lakini ni ghali sana kulinganisha na makampuni yetu ya simu hapa Tanzania kwahiyo wao...
UTANGULIZI
Mnamo tarehe 30 Juni 2024, Bingwa wa Masuala ya Umma alitoa ushauri muhimu kuhusu njia za kuongeza matumizi ya Akili Mnemba katika kuchochea uandishi wenye tija kwa maslahi ya umma katika miaka 5-25 ijayo na kujenga 'Tanzania Tuitakayo'.
Mtaalamu alisisitiza kuwa kwa kufuata mikakati...
Leo tena nimekuja kulalamika,
Hivi mwaka 2019 serikali iliona nini?
Ilijisikiaje au kwakuwa head alikuwa mwalimu wa science akaona awabebe wenzake?
Najua lengo ni kuwatia motisha walimu wa science,
Sawa.
Lakini je ili iweje? Kwa faida ipi?
Shule ni zile zile,
Wanafunzi wale wale,
Tena wakifika...
Ndugu zangu hongereni kwa majukumu ya kujenga uchumi wenu kwa manufaa ya familia zenu bora.
Mimi naomba mnipe USHAURI wa sehemu gani nzuri na affordable ya kweza kupata eneo zuri la kujenga makazi kwa ajili ya kuishi mimi na familia yangu ambayo Mungu atanibariki hapo baadae.
KUSUDIO: Ni...
Wakuu nianze kwa kutoa salamu kwa wote ikiwa ni pamoja na pole kwa mihangaiko ya siku. Tukirudi kwenye kwenye kichwa cha habari, nimekiwa nikiishi kwenye nyumba za kupanga karibia miaka mitano hapa dar ila kwa sasa nafikiria nitafute kiwanja nijenge.
Wazo la kwanza nafikiria nitafute kiwanja...
Habari wanajamvi,
Nikiwa na passion, uzoefu kiasi ktk mchakato wa kuagiza magari Japan hadi mkononi. Nimedhamiria kama fursa kuleta wazo hapa namna navyoweza kuwasaidia wale wahitaji wa kuagiza magari kutoka nje..ambao pengine wanahitaji usaidizi. Mchakato uko hivi;
1)Tuwasiliane tujadili gari...
Mheshimiwa rais, natumaini unaendelea vema na majukumu yako ya kuongoza serikali.
Niende moja kwa moja kwenye ushauri wangu.
Tengeneza sera ya kubadili mfumo wa manunuzi nchini kuondoka kutoka kwenye matumizi ya cash na kuwa wa kieletroniki.
Na jambo hili lisifanyike kwa kutunga sheria ya...
Asasnte kwa kufungua uzi huu.
Mimi binafsi, napenda comedy na nafanya comedy pia (stand up comedy). Japo sijafika stage kubwa mpaka watz wakanijua.
Lakini huwa naona stand up comedians kadhaa kutoka #chekatu na maeneo mengine pia. Sijawahi jua ni namna gani mtu anaweza fika cheka tu au eneo...
Triple C bado ni mchezaji mzuri sana na kwa timu inayohitaji makombe ama kuwa na kiu ya mafanikio haiwezi kumtema mchezaji kama Chama.
Maneno ya mashabiki kuwa Simba iachane na Chama akaangalie maisha mahali pengine ni maneno ya watu ambao wamejiunga kwenye tasnia ya soka miaka ya hivi karibuni...
Jambo ndugu zangu
Naomba ushauri wa mawazo kutoka kwenu
Mwezi wa kwanza mwaka kesho nilichukuwa mke
Lakini baada ya miaka Kazaa Kupita
Yule mwanamke nilianza kuona tabia zake baba yake na mjomba wakashauri familia juu mke wake na mama
Sasa ilo jambo linanitatiza
Sijui nyinyi mnanishauri nini
MATARAJIO YA WAASISI WA CCM vs. KINACHOENDELEA
________________________
"Tunataka kuona katika Taifa hili, vijana jeuri na wenye kujiamini, si vijana waoga, akina "ndiyo bwana mkubwa", vijana wanaohoji na kupiga vita mifumo ya jamii isiyoshabihiana na matakwa na matarajio ya jamii ya kitanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.