Mtandao wa X haupaswi kufungiwa kama Watanzania wanavyodai hii ni kwasababu zifuatazo
1:Mtandao wa X unatumia teknolojia ya Algorithm inamaana kwamba mtumiaji hawezi kuona maudhui ambayo hayafuati yeye au hayatazami au kuyatafuta yeye ndani ya mtandao huu ndio maana yapo makampuni, taasisi na...
Ken Macharia ni Mkenya anayezunguka nchi mbalimbali duniani kutalii yuko Tanzania na akaona apande train ya mwenfo kasi toka Dar hadi Morogoro Kwa mara ya kwanza. Kitu alicholalamika cha Kwanza ni ucheleweshaji kukata Tiketi pale dirishani inachukua karibu dakika 10 kukata Tiketi moja.
Pili...
Nangalia maisha ya baamedi hayana tofauti na mchezaji wa mpira. Natumia mfano wa mchezaji wa mpira kwa sababu ana maisha mafupi kwenye kazi kuliko msanii, au mwanamitindo au hata muigizaji.
Kama ilivyo hali ya ajira kila mtu anaijua, tufanye baada ya kukosa ajira ukaamua kujilipua kuuza baa...
Salaam, Shalom!!
Miaka mitano, ni muda unaotosha kabisa kutimiza kusudi na malengo na KAZI ambayo mbunge amepewa na wananchi.
Ikiwa miaka mitano pekee, ya Rais Magufuli, ilitosha kuonyesha matokeo makubwa kuliko waliokaa miaka kumi, iweje mbunge ashindwe kudeliver Kwa miaka mitano?
Kwa kuwa...
Habari Wakuu,
Nimeshawishika sana kuichukua Google pixel 8 pro mpya kutokana na features zake, na Shughuli zangu nnazozifanya naona itanifaa sana,
Nahofia kitu kimoja, mwaka jana nlinunua Google pixel 5a pale china plaza, iliku ni hizi refubished ,Ile simu nlikaa nayo miezi miwili tuu ghafla...
Mwanaume nina swali ndugu zangu ivi unaeza ukashare mtaji na mchumb wako kufungua biashara yoyote? Na kama ukiweza unaeza unatumia mikakati gani ili usichanganye mapenzi na biashara
Habari zenu wakuu, nina uhitaji wa flash disk.
Wala sina mpango wa kuagiza nje ni emergency hivyo itabidi ninunue madukani, nipo mkoani brand zinazotamba ni Kioxera, Toshiba, Imation, Sandisk, n.k. ama unaweza kuongeza zako unazoziaona madukani
Kwanza ndugu Kadogosa na ofisi yako ya Tanzania Railways Corp hadi hapo hongereni kwa hatua hiyo japo no kwa kuchelewa sana.
Nimepitia ratiba yenu kwa ajili ya kuanza kutoa huduma ya usafirishaji abilia, hadi mlipoamua kupachika hii banner ni mmejiridhisha sawasawa.
Mmetoa muda wa kutoka Dar...
Hajawahi kumiliki nyumba wala gari lake binafsi. Kwa zaidi ya miaka kumi aliyokuwa kwenye ajira alikuwa akiishi na kutumia gari la taasisi.
Sasa anataka kuachana na ajira ili asimamie kwa karibu miradi yake. Ametenga milioni 200 kwa ajili ya nyumba na magari mawili.
Anataka magari mawili kwa...
Wanabodi
Ibara ya 49 (5) ya Sheria Mpya ya Uchaguzi inasema (5) Endapo uchaguzi mdogo unatakiwakufanyika na tarehe ya kuvunjwa kwa Bunge imetangazwa au imejulikana kwa mujibu wa matukio yaliyo ainishwa katika Ibara ya 90(3) ya Katiba, uchaguzi mdogo hautafanyika katika muda wowote wakati wa...
Wakuu habari za wakati huu,
Naomba kujua kwa wenye uzoefu na wajuvi wa hizi gari zinaitwa Suzuki aerio kuhusu changamoto zake, upatikanaji wa spare na ulaji wa mafuta pia yale matatizo common ya hii gari
Natanguliza shukurani
Hakika vijana ndo taifa la kesho na nguvu kazi kwa taifa na jamii inayomzunguka, tusipowekeza kwa vijana tunaweza kuja kuwa na jamii na taifa la hovyo hapo mbeleni.
Ni upi ushauri wako ungeliwapa endapo ungepewa nafasi ya kuzungumza nao?
Hii ni fragile moment. CCM wanaangalia wapi chadema itadondoka na wameshaona kizuizi kikubwa ni Mbowe. Haongeki. Kwa kipindi hiki cha uchaguzi mkuu wa Rais na wabunge, nawashauri postpone uchaguzi wa Mwenyekiti na makamu wake mvuke salama kipindi hiki.
Mtakumbuka machawa walivyoshangilia...
Mpenzi nilienae Kila siku ana matatizo jamani Kila siku yeye hasara yeye, kikosa ajira yeye. Kila siku ananipa habari mbaya nahisi ana mikosi na najikuta Mimi ndo naumizwa na matatizo yake nimejaribu kumpeleka kwa watumishi wa Mungu apate huduma lkn wapi!
Nimeomba na kufunga lakini wapi
Mathayo 24:9-14
9 Wakati huo watawasaliti ninyi mpate dhiki, nao watawaua; nanyi mtakuwa watu wa kuchukiwa na mataifa yote kwa ajili ya jina langu.
11 Na manabii wengi wa uongo watatokea, na kudanganya wengi.
14 Tena habari njema ya ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda...
Habari wana Jukwaa,
Nataka kushiriki nanyi kisa changu. Mimi na mume wangu tulikuwa tunapendana sana, lakini kulikuwa na tatizo kubwa—hakuwa mwaminifu. Alikuwa akiendekeza wanawake wa nje ya ndoa yetu. Kwa kweli, nilijaribu kuvumilia hali hiyo, lakini mwisho wa siku, niliamua haiwezekani tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.