Ushindi huu wa Simba sports club uende na nderemo na vifijo week hii nzima, tubishane sana na watani zetu, tutukanane kama kawaida yetu, kisitokee kitu chochote cha kisiasa kututoa kwenye reli.
Yani week hii nzima ni week ya kifootball kama kawaida yetu watanzania tujikite humo, hayo mengine ya...