Napenda kuipongeza kamati ya ushindi Chadema kwa mkakati mzuri wa kuifanya Chadema kushinda uchaguzi huu, Mambo haya mmeyafanya kisayansi zaidi na kuibomoa kabisa ccm kiasi Cha kukosa Cha kuzungumza mbele ya watu, badala yake unaona mgombea wa ccm anasimama anasema, " Chadema wametumwa na...
Uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi ulianza mwaka 1995. Hivyo hadi leo tuna miaka 25 ya uzoefu uchaguzi.
Mwaka 1995 tulisema Mrema kaibiwa kura. Mwaka 2005 Freeman Mbowe aliyegomea urais alikuwepo hata wakati Kikwete anatangazwa kuwa mshindi. Mwaka 2010 tukasema Dr. Slaa kaibiwa kura. Mwaka 2015...
CCM wako "so desperate" kuhakikisha kuwa mgombea Urais wao John Pombe Magufuli anatetea kiti chake.
CCM wanatambua fika kuwa, kupitia sanduku la kura (Ballot Box), Magufuli hawezi kushinda iwe mvua ama jua.
Wanataka ashinde kwa "njia zingine haramu" ambazo Mimi na wewe msomaji tunazijua na...
Na David KAFULILA.
Septemba21,2020.
Awali sikutaka kuandika chochote kufuatia makubaliano yenye faida za pande mbili kati ya Serikali yetu chini ya Mhe.Rais. Dr John Pombe Magufuli na Kampuni ya Madini ya Barrick.
Hata hivyo, baada ya kusikiliza mahojiano ya BBC kuhusu tathimini ya...
Siasa ni Sayansi na uwekezaji kwa jamii.
Rais Magufuli na Chama Chake cha CCM wanaijua vyema Siasa na kwa uhakika waliweka mazingira tofautitofauti ya kuhakikisha makundi yote ya kijamii yanaiunga CCM.
Nitaanisha Makundi kadhaa ambayo CCM imeweza kuyapoka kutoka upinzani na Makundi...
Jana nilibahatika Kukutana na wana CHADEMA baadhi ambao nadhani ( nahisi ) walipewa 'Jukumu' la Kupitapita Kawe hasa katika 'Nyumba' za Watu na Kumuombea 'Kura' Mgombea Ubunge CHADEMA Halima Mdee. Sina tatizo na 'Mbinu' yao hii ila GENTAMYCINE nina tatizo Kubwa sana na 'Competence' ya hawa wana...
Hakika sijawahi kuona upendeleo kama huu kwenye mchezo huu wa ndondi popote, nimeangalia hili pambano nimeona aibu sana kwa matokeo ya uongo kama haya.
Kwa haya yanayofanyika, nchi hii haitoendelea kwenye michezo.
Kampeni za CCM 2020 tunazifanya kisayansi, tumegawanya viongozi waandamizi wa chama kwenye maeneo tofauti. Msafara mkuu unaongozwa na Dkt. Magufuli, msafara mwingine wa Mhe. Samia Suluhu, na mwingine unaongozwa na Kassim Majaliwa, sisi hatutumii chopa." - Humphrey Polepole.
Mzee Jakaya Kikwete...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.