Habari,
Kuna watu wanajua ila wanajisahaulisha kuwa nchi za Magharibi ndizo zinazotusogeza mbele au kutusapoti kwenye sekta ya Afya na Elimu kwa kiasi kikubwa.
Hii iko wazi miaka na miaka.
Watu wa Magharibi hakuna kitu wanajali kama Demokrasia ambayo imeminywa kwa miaka 5 yote ya Magufuli...
Naamini kuwa Rais Magufuli anastahili kupewa nafasi nyingine ya kuliongoza Taifa letu kwa miaka mingine mitano. Hoja zinazotolewa bado hazijatosha kuwafanya Watanzania wengi kutokumuunga mkono. Ushindi wake utakaribia asilimia 80...
Lissu atapigiwa kura na watu wengi vilevile lakini ana kazi...
Kuna baadhi ya watu humu JF wamekuwa wakihoji idadi ya wapiga kura kuwa milioni 29 mwaka huu na kueneza dhana potofu ya kuwepo kwa wapiga kura hewa. Si kweli hata kidogo.
Idadi ya wapiga kura walioandishwa mwaka 2015 ilikuwa ni 23,161,440 (22,658247 kwa Tanzania bara na 503193 kwa Zanzibar)...
Nimeona Mfano wa karatasi ya kupigia kura za Urais inayosambaa mitandaoni na ambayo inadaiwa kutolewa na Tume ya Uchaguzi (NEC).
Nina swali dogo tu ambalo naomba nijibiwe. Huu mpangilio wa Majina ya vyama uliowekwa kwa namba ulitokana na vigezo gani, yaani ni kigezo gani kilizingatiwa ili huyu...
Suala la kusafirisha mawakala kwenda kula kiapo wasiachiwe wagombea.
Kuna majimbo yana jiografia mbaya sana na hayana mgombea ubunge. Na hata kama yupo hana fedha.
Sasa unakuta safari ya kwenda kula kiapo kwa mkurugenzi na kurudi ni ya kutwa nzima. Na gharama ya kukodi usafiri ni kubwa mno...
CCM Kuna mahali nimekosea, target mbaya, maandalizi mabaya na mipango pia imekaa vibaya. Mzee Warioba alisema kwa Tundu ni mtu ambaye anazijua sana sheria kupambana naye penye haki itakuletea matatizo makubwa.
Kwa hali ilivyo sasa kuna uwezekano ulio wazi ni kwamba CCM wajiweke kisaikolojia...
Mtoto wa Baba wa Taifa ndugu Madaraka Nyerere amesema atastaafu siasa siku chache zijazo.
Ikumbukwe kuwa Madaraka alikuwa mwenyeji wa mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu alipotembelea Butiama na kulala nyumbani kwa Mwalimu Nyerere.
Source: Radio One
Maendeleo hayana vyama!
Katibu mkuu wa CCM Dkt. Bashiru amesema CCM itapata ushindi mkubwa na wa kihistoria ambao haijawahi kuupata tangu mfumo wa vyama vingi uanze.
Bashiru amesema mwaka huu CCM iliyoshikamana bila uwepo wa makundi inashindana na vyama dhaifu sana vya upinzani.
Chanzo: ITV habari
------
MWANDISHI...
Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, (CCM), Mh. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 15/10/2020 amewambia wakazi wa Chunya mkoani Mbeya kuwa wasipige kura kwa Chama Kingine kwa sababu hata wakipiga kwingine Chama Cha Mapinduzi kinaenda kuunda serikali.
Amesisitiza kuwa...
Tangu chaguzi za vyama vingi zianze tumezoea kuona wagombea urais wa upinzani ambao wamewahi kuwa wanachama wa CCM au TANU huko nyuma.
Sina hakika kama huyu Tundu Lissu aliwahi kupitia chipukizi au UVCCM wakati akiwa mwanafunzi ila siasa za " ukubwani" amezianzia NCCR mageuzi.
Ndio kusema kwa...
USHINDI MWINGINE WA TANZANIA KWENYE VITA YA UCHUMI
Na Bwanku M Bwanku
Jana Oktoba 13, 2020 Tanzania na dunia kwa ujumla ilishuhudia tukio kubwa la kihistoria na la ushindi kwa nchi ya Tanzania kwenye vita nzito ya kiuchumi. Kwenye tukio hilo, Rais wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli...
Uchaguzi huu unaenda kuwasha moto nchini..
Tangu Mwanzo watu wamekuwa wakihoji Wapiga kura milioni 29 Tume iliwatoa wapi? Kwa sababu Kwanza muda wa kujiandikisha ulikuwa mfupi sana na Zoezi lenyewe lilifanyika kiholela holela tu...watu wengi, Hasa Wafanyakazi hawakuweza kujiandikisha.
Halafu...
Mungu wa Israeli amesikia kilio cha Watanzania cha miaka mingi.
Mungu wa Israel ameona mateso ya watu wake na sasa ameshuka mwenyewe kuja kutukomboa.
Mungu kampiga upofu wa fikra na ufahamu adui. Nguvu na manlaka yao siyo kitu tena. Havina msaada kwao. Haviwezi kuwaokoa na anguko kuu la...
CCM wamekuwa wakijinasibu kwamba watashinda kwa kishindo,lakini mbinu pekee wanayofikiria kuitumia ni hii ya mawakala.
Zipo namna mbili za kutumia, mosi ni kuwatimua mawakala wote na vituoni wabaki mawakala wa ccm tu kwa kila kituo, hii mbinu ikifanikiwa matokeo yake hayatakuwa tofauti na yale...
Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho.
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
ajira
asante
basi
body
care
ccm
chadema
chato
haki
haki za binadamu
hana
hotuba
jpm
kagera
kampeni
kanda ya ziwa
kazi
kununua
kuomba
leader
lissu
lisu
maadili
mabeberu
madaraka
maendeleo
matokeo
mbunge
media
mji
morogoro
mpango
mwanza
nchi
ndege
nyumbani
party
picha
polisi
reggae
sayansi
serikali
sgr
sheria
siasa
siku
siri
song
tanga
tanganyika
tanzania
tarime
tundu lissu
ubunge
uchaguzi
uchaguzi mkuu
ukweli
ulinzi
upinzani
urais
ushindi
video
vijana
vitu
wananchi
wasanii
watanzania
wote
Kabla ya kuanza kampeni za uchaguzi Tanzania, Comrade Bashiru Ali a.k.a Mchuuzi wa ndizi aliwaonya wapinzani wao kwamba tayari alikuwa katika harakati za kisayansi ya siasa za kusimika MITAMBO ya ushindi wa kishindo. Inaonekana wapinzani wa ccm hawakumuelewa, sasa kwa kilichotokea Tunduma...
Historia ni mwalimu mzuri sana. History is good predictor of the future.
Kuna mgombea historia yake ni ya kushindwa tuu. Ushindi wake mara nyingi ni wa kufosi na kutumia nguvu nyingi. Huyu mgombea pia anaonekana kuogopa sana umauti kwani kila anapoenda ana ulinzi mkali ambao haujawahi...
Kama bado hamjaelewa basi mfano hai ndio huo Lisu anashinda na ameshapita vibaya sana,pangeni mkipangua ,yaani kubalini tu ,msitake kufanya mizengwe,huu wakati sio,kuna maisha baada ya uchaguzi,japo hamna hamu nayo,lakini yanini yote,sisi sote wamoja hakuna mlete sababu ya kulinda kisicho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.