wananchi walio wengi wanatamani kuiona CCM ikiwa imepoteza madaraka ,maana ni shangwe na furaha kwa nchi nzima watoto na vijana wazee na yaani CCM tumeichoka kuliko mahelezo,waende tu.Na nina hakika watakaoingia madarakani watataifisha mali zote za CCM hakibaki kiti wala meza.
Visasi vya kisiasa mara nyingi huzaa malicious prosecution. Malicious prosecution huharibu maisha ya watu kwa kuvuruga maisha yao na hata nyadhifa zao.
Mpaka sasa inaonekana prosecution walitumika vibaya ili wamharibie maisha yake ya kisiasa Sabaya. Yote hii ni kumpa furaha mwanasiasa Mbowe...
UTANGULIZI
Hakika katika msimu huu ukiondoa matokeo mbalimbali na mafaniko waliyo yapata Klubu ya Simba na mwenendo mzima wa ligi kuu bara basi moja ya jambo ambalo limeshika sana katika vichwa vya wapenda soka mashabiki wa Simba na Yanga basi bila shaka ni sakata la kesi ya Benard Morrison na...
Mzee wangu aliwahi nambia vipaumbele vya Mzungu na Mswahili ni tofauti sana. Mzungu anawaza kuwa mwaka huu nataka nivumbue kitu fulani kiisaidie jamii mswahili anasema mwaka huu nikizikamata tu naoa mtoto mbichii. halafu mswahili atakaa kijiweni akilalamika kuwa mzungu anamhujumu. mzungu atakaa...
Klabu ya Yanga imepigwa faini ya Sh3 milioni kwa makosa manne ikiwemo kutumia mageti ya uwanja wa Uhuru kuingia Uwanja wa Benjamin Mkapa badala ya mlango maalum.
Pia imetakiwa kulipa Sh850,000 ikiwa ni gharama ya ukarabati wa mageti yaliyovunjwa wakati wakiingia uwanjani pamoja na makufuli ya...
Ikitokea GENTAMYCINE nagombea Uchaguzi wowote ule halafu Matokeo yakitoka naambiwa nimeshinda kwa Kishindo ( 100% ) upesi sana nitayakataa na kutaka Uchaguzi urejewe upya.
Ila ikitokea GENTAMYCINE nagombea Uchaguzi wowote ule kisha Matokeo yakatangazwa nimeshinda kwa 65% nitayapokea kwa Furaha...
Simulizi : ZAWADI YA USHINDI
Mwandishi : BEN R. MTOBWA
Imeletwa kwenu na: BURE SERIES
Sehemu ya 1
SHANGWE na vigelegele ambavyo viliutoka umati huu mkubwa vilipaa hewani na kujaza anga lote. Sauti za kila aina zilitamkwa kwa kila rangi kiasi
kwamba zilitoa kelele, si kelele za shangwe tena...
Wakuu nipo mkoani Tanga nilikuja kwa shughuli maalum ya kushuhudia pambano Kali la kutafuta bingwa wa draft mkoa tanga fainali siku ya Jana jion ilitakiwa kupigwa Kati ya bwana Mtaleban dhidi ya dogo yassin.
Duru zote zilikua zinaonyesha kua bwana Mtaleban angeenda kuutema ubingwa wake wa mkoa...
00' Mwamuzi anapuliza kipenga kuashiria mwanzo wa mchezo
30' Luis Miquissone anapiga goli la kwanza kwa upande wa Simba
32' Goli la Simba halidumu baada ya Zemanja Soze wa AS Vita kusawazisha dakika mbili baada ya goli la kuongoza la Simba
45+1' Cloutas Chama anaifanya Simba kumaliza kipindi...
Badili mtazamo wako uanze kwa ushindi.
Kuna msemo wa kingereza unasema kuwa “if there is no enemy within outside enemy can do no harm” yaani kama hakuna adui ndani adui aliyeko nje hana madhara.
Unapanga kuanza kufanya nini, kwa njia gani, malengo yako ni nini na unapanga kuanza lini? Ni...
Raha ya ushindi ni kunoga kwake. Raha ya uchaguzi ni kushinda halafu kutamba kama mwenye magamba membamba. Kunyakua kiti cha Urais; viti vya Ubunge na Udiwani kufuatiwe na 'utamu' wa kidemokrasia.
Kati ya mihimili ya dola iliyopo: Serikali, Bunge na Mahakama, Bunge ndiyo uwanja wa kisiasa...
"WEAKNESS POINT NDIO TARGET YA MSHINDI" JE WAJUA?
Kwa Mkono wa, Robert Heriel
Maisha ni vita, kuna kushindwa na kushinda; Mshindi na mshindwa. Kila ulifanyalo lifanye kwa tahadhari, kila hatua uipigayo ipige kwa umakini na tahadhari kubwa mno. Hakuna jambo zuri linalopatikana pasipo mapigano...
Tarehe 9/10/2020 kupitia Jukwaa la Siasa hapa JamiiForums, nilitoa pendekezo /ushauri kwa serikali juu ya namna gani wanaweza kutumia simu za mkononi kuanzisha Bima ya Afya na hata kugharamia elimu ya juu.
Serikali kupitia simu za mkononi, inaweza kukusanya fedha na kuanzisha Mfuko(Fund) wa...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imemtangaza Dkt. John Magufuli, aliyekuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM kuwa mshindi wa Uchaguzi uliofanyika Oktoba 28. Pia imemtangaza Mama Samia Suluhu Hassan kuwa Makamu wa Rais Mteule.
Dkt. Magufuli ameshinda kwa kupata kura...
1. Amempongeza kwa ushindi.
2. Amempongeza kwa kukabiliana na Corona
3. Amempongeza kwa kazi nzuri aliyoifanya kwa miaka 5 iliyopita
4. Amesema anaiona Tanzania kuwa nchi itakayo ongoza kwa uchumi barani Africa
5. Amempongeza kwa utekelezaji wa miradi ya kimkakati ikiwemo mradi wa SGR, Nyerere...
Tujipe muda wakupitia clips za zamani wakati wa kampeni, baada ya kampeni, akiwa anakula kiapo Bungeni na katika uwasilishaji wake wa mada maeneo mbalimbali utabaini yupo vizuri na wala ababaiki.
Siamini nguvu za giza ila naamini shetani anaweza akajitutumua na kujipa utukufu pasipo stahili...
USHINDI WA KISHINDO NI KABURI LA MAENDELEO AFRIKA
Tumemaliza Uchaguzi. Walioshinda wamepata asilimia 84 (urais) na bunge asilimia 99. Huu ni ushindi wa kishindo au kishindo cha ushindi?
Tukubaliane: Tuna watu wengi ni waaminifu kwa sababu hawana cha kuiba au wanaogopa kukamatwa. Serikali...
Zaidi nasikia uchaguzi umeisha tufanye yajayo.
Miaka iliyopita watu walikuwa wanakwenda mahakamani kudai haki zao zilizopokonywa na wengine walishinda.
Je,
Hawana ushahidi?
Wamekubali yaishe?
Hawajaibiwa Bali wamepigwa kisawasawa?
Wanatishwa?
Wanatafakari kilichotokea?
Wanajiandaa kuunga Mkono...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.