ushindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Buenos Aires

    Kila la heri Arab teams katika ushindi wa leo

    Nina matumaini makubwa na hawa majirani zetu na ndugu zetu waliopo ndani ya bara la Afrika, Algeria, Morocco, Tunisia na Egypt, naimani nao watafika mbali na kutukndolea machungu. I wish all the best to all four teams from North africa, tunawapenda pia.
  2. Msambichaka Mkinga

    Tanzania ya Maridhiano ni Ushindi wa Watanzania

    Tupo katika kipindi cha kuliponya Taifa, kutafuta maridhiano ya kitaifa, kuujenga na kuumirisha umoja wa kitaifa. Katika kufika hapo, wapo majemedari wa mstari wa mbele. Katika kufika hapo, wapo walioumia, walioteseka, waliotoa uhai, waliopotezwa, n.k. Lakini tukitaka kuwa washindi wa kweli...
  3. GENTAMYCINE

    Tunashukuru kwa Ushindi wa Goli 3 kwa 0, ila tungeacha Upuuzi, Utoto na kutokuwa Makini tungeshinda hata Goli 8 za uhakika

    Japo ni mwana Simba SC lia lia ila kwanini nawapenda Yanga SC ( hasa Kiuchezaji ) ni kwamba Wachezaji wao hata kama wameshinda lakini muda Wote wa Mchezo wanakuwa very committed kutaka Ushindi zaidi na Wanahamasishana muda wote na Umakini ukiwa ni wa hali ya juu na kamwe hawabweteki tofauti na...
  4. LIKUD

    Video: Mrusi akipiga mvinyo kusherehekea ushindi wa kivita (millitary victory) dhidi ya Ukraine

    Wanapiga mvinyo Kwa kwenda mbele. # Putin mbele Kwa mbele
  5. B

    Kwanini viongozi na wanachama wa CCM hawashangilii ushindi mkubwa wanaoupata Serikali katika kesi ya Mbowe? Ukimya wao unamaanisha nini kwa Serikali?

    Yapo Mambo ukiyaangalia Kwa macho ya ROHONI unatambua Yana fumbo kubwa Sana. Mbowe ni mhalifu aliyekamatwa na serikali ya makini ya awamu ya sita,akafikishwa mahakamani, akasomewa mashtaka, akakana, serikali ikawasilisha ushahidi, ikapata upinzani mara mbili nakupelekea mahakama itoe hukumu...
  6. Mohamed Said

    TANU Tanga wakati wa kudai uhuru wa Tanganyika: Dua ya ushindi wa kura tatu Nnyanjani 1958

    TANU TANGA WAKATI WA KUDAI UHURU WA TANGANYIKA: DUA YA USHINDI WA KURA TATU MNYANJANI 1958 Chanzo cha yote yanayokuja hapo chini ni marehemu Mama Ummy bint Anzwan moja ya nguzo za CUF siasa za ushindani zilipoanza mwaka wa 1992. Nimepitia faharasha (index) ya kitabu cha Abdul Sykes na nimekuta...
  7. M

    Baada ya Kufurahia Ushindi dhidi ya Asec Mimosa FC na nilivyowaona Gendamarie FC na Berkane FC sasa tuambiane tu Ukweli tuisaidie Simba SC yetu

    1. Bado Simba SC yetu haichezi Mpira wa Kuvutia na pia watuambie kwanini Kipa mzuri, mzoefu na makini namba Mbili Beno Kakolanya haonekani na badala yake mbadala wake anakuwa Kipa Kinda ambaye Mightier simkubali na simuamini pia Ally Salim? 2. Simba SC yetu upande wa Stamina hatuko 100% Fit...
  8. I

    Simba na ushindi tata

    Imekua kawaida sasa simba hii ya sasa yaani msimu huu kuwa na wakati mgumu kuliko pengine wakati wowote ndani ya miaka mitatu iliyopita. Simba sasa imekua inashindwa kutengeneza chance za kufunga. Mastraika hawafungi, timu imedorora. Uwezo wa Simba tuliouzoea haupo tena. Simba ya sasa ushindi...
  9. M

    Ni Mshabiki wa Simba SC Mwendawazimu pekee ndiyo atashingilia Ushindi wa Penati ya Kupewa na ya Kuonewa Prisons FC

    Naipenda sana Simba SC yangu na natamani tushinde ila siyo kwa Kubebwa ( Mbeleko ) kama hii ya Leo. Wana Simba SC mtakaonichukia kwa hili nichukieni na mkiweza nitukaneni mnavyoweza ila kwa 100% Ushindi wa leo tumebebwa na Mwamuzi. Tunapokuwa Kila Siku tunawasema Yanga SC na GSM kuwa Wanahonga...
  10. nyembela

    Wakati tunafurahia mawakili wanavyooneshana uwezo wakutafsiri sheria''

    kuna jambo la kutafakari kuna mshindi alieshinda kabla ya kushindwa kwake na endapo atashinda sasa atakuwa hana chakupoteza, na pili kuna alieshindwa kabla ya kushinda kwake endapo atashinda atakuwa amepoteza tangu mwanzo. Kama kanuni yamafanikio nimuda basi aliyeshinda mwanzo amefanikiwa na...
  11. Venus Star

    Chiko Ushindi tumemuona ni mchezaji wa kawaida mno wakati tuliambiwa atasimamisha nchi

    Wahenga walisema la kuvunda halina ubani. Hata upambe vipi kwa matarumbeta na vifijo kama kibovu kibovu tu. Mazembe huwa hawawezi kutoa mchezaji kizembekizembe. Kuiona mchezaji anatoka mazembe anakuja timu ambayo haipo hata kwenye shindano hata la kuku kimataifa, ujue mchezaji huyo ni mzigo...
  12. Expensive life

    Utabiri: Simba SC kuibuka na ushindi mnono Jumamosi

    Kesho Simba sc bingwa mtetezi ligi kuu Tanzania bara na mtegemewa pekee katika mechi za kimataifa, ataparurana na wanatamtam Mtibwa sugar kutoka Manungu mkoani morogoro katika muendekezo wa ligi kuu Tanzania bara. Mchezo wa kesho ni mgumu sana kwa Mtibwa licha ya kuwa nyumbani, kwa nini nasema...
  13. chiembe

    Yanayompata Ndugai ni onyo kwa wengine "usimchezee chatu(taasisi ya Urais), gongo usimtupie, utaukosa ushindi"

    Wale waliodhani Wana deal na Samia, Sasa nadhani wanajua Wana deal na taasisi ya Urais moja kwa moja, taasisi hii ikifungua makucha yake, ni hatari sana. Pale Kuna full squad ambayo imeapa kumlinda Rais na Urais dhidi ya chochote, pale ndio chem chem ya ulinzi na usalama wa nchi. Ni angalizo...
  14. GENTAMYCINE

    Baada ya Ushindi wa 'Nibebe Nibebe' wa Jana 'Kwa Mkapa' Mchambuzi Mahiri wa EFM & TvE Oscar Oscar ana Ujumbe wenu huu mzuri

    "Hatimaye tumeshuhudia Ushindi wa Mchongo kwa mara ya kwanza tangu tusherekee Christmas" Oscar Oscar. Tafadhali namuombea Ulinzi mkubwa.
  15. Christopher Wallace

    Geita Gold waahidi kuibuka na Ushindi na kutoka na Clean Sheet dhidi ya Simba leo

    Friends of Geita Gold tupo tayari kuisapoti timu yetu leo maana wametuahidi ushindi na clean sheet juu!! Chonde chonde, Geita msituangushe tupo nyuma yenu asanteni sana
  16. S

    Vyama pinzani mkibarikiwa kutwaa ushindi uchaguzi mkuu mtatufanyia lipi Wananchi zaidi ya CCM?

    CCM wameshamaliza kila kitu na nchi inazidi kupaa katika ramani ya Dunia kwani chini ya CCM sasa Tanzania inavuma kama upepo wa kusi. Enyi msiosikia ambao mnatamani kukamata Uongozi wa Nchi hii mna lipi jipya la kuwashawishi wananchi ambalo CCM hawajalipitia,hawajalifanya lipi kubwa haswa...
  17. F

    Uchambuzi: Tunahitaji ushindi Taifa leo, kocha aanze na mfumo upi?

    Ushindi haupatikana bila mikakati thabiti, ukiwa kama mpenzi na shabiki wa soka je unafikiri kocha wetu aanze na mfumo upi? 1. Mfumo wa 5-4 -1 Kujilinda na kupeleka mashambulizi ya kushitukiza kupitia kwa Msuva kutumia zile mbio zake. 2. Mfumo wa 3-5-2 Huu ni kujilinda kama hamna mpira, zile...
  18. GENTAMYCINE

    Penati ya Simba SC leo dhidi ya Polisi Tanzania kwa 100% haikuwa halali na Simba SC tumebebwa kweupe, ninawashangaa wanaofurahia Ushindi

    Nipo tayari Kuchukiwa na Kutukanwa na Wana Simba SC wote wasiojua Mpira ila najua wale Wana Simba SC wasio Wanafiki na Werevu watakubaliana nami kuwa Penati iliyotupa Ushindi Usiku huu dhidi ya Polisi Tanzania ni kwamba kwa 100% Simba SC tumebebwa tena bila Aibu ya Mwamuzi. Uwazi wangu...
  19. M

    Kuna timu bila mchezaji wa upande mwingine kutolewa kwa kadi nyekundu akuna ushindi

    Hizi kadi nyekundu zimewanufaisha Sana mikia na kuvuna point 3 muhimu, mechi ya Dodoma jiji, mechi ya leo na polisi, pia mechi ya fainali kombe la shirikisho kigoma dhidi ya yanga, bila hizo kadi awa mabwana wangeondoka patupu kwenye izo mechi, kadi nyekundu zimekuwa mkombozi wao kwa sasa!
  20. Rebeca 83

    Wale tuliopata PM za ushindi wa shindano la story of changes na baadae tukaangukia pua njooni tujifariji humu

    Hello JF, Inauma kuwa close to the finishing line halafu usipate 😊😥 Hongereni washindi, sisi wengine tusubiri shindano lijalo, very sad.
Back
Top Bottom