Katika jamii zetu, kumekuwa na mijadala ya hapa na pale, kuhusu vifo vya binadamu.
Kuna wengine watasema, huyu amekufa kutokana na mpango wa Mungu, na wengine watasema yule amekufa pasipo mpango wa Mungu (kishirikina).
Sasa wakuu, nataka kujua; Utajuaje kama huyu amefariki kwa mpango wa Mungu...