Kwa majina naitwa ramadhani selemani ramadhani ni kijana wa kitanzania. Leo nimependa kuzungumzia maswala ya imani ya kishirikina na uchawi zinavyo athiri maendeleo ya nchi kwa ujumla.
Katika mchi kuna makabila mbalimbali zaidi ya 150 kila kabila lina utamaduni wake na imani zake. Katika...
Mahakama ya Wilaya ya Ludewa imemhukumu kifungo cha miaka 5 jela John Chale(60) mkazi wa kata ya Ilela wilayani Ludewa mkoani Njombe kwa kosa la kumfanyia vitendo vya kishirikina mtoto wa mdogo wake Videana Chale(18) na kupelekea kupata ukichaa.
Akisomewa hukumu hiyo na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa...
Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma linawashikilia watu 13 kwa tuhuma za kumzika, akiwa hai, Mzee Frolence Komba (78) katika makaburi ya shamba la Mungu yaliyopo Kijiji cha Mahanje, Halmashauri ya Madaba mkoani Ruvuma.
Chanzo ni tuhuma za kumhusisha mzee huyo kumuua mtoto wake Severine Komba (34) kwa...
Bwa Uyoga alikua mfanyabiashara wa kawaida lakini huku Kwamtogole tulimuona wa mboga saba, alikua na usafiri wa IST na mke wake hakupanda basi kwenda sokoni. Watoto walisoma English Medium.
Katika kupambana na maisha alikutana na fundi aliyemuahidi utajiri wake utaongezeka akifuata masharti...
Wakuu igweee...
Imeibuka hali ya watu kutishia Kwa kuonesha miguu ya ngombe. Na inadaiwa wanaofanyiwa hivyo wametembea kufanya mapenzi na wake au waume wa watu. Kuna ukweli.
Siulizii hivi kutaka kujua Ili watu waendelee lkn kama ndivyo kwanini hawaweki wazi kabisa kuliko kama vile Kuna shimo...
Ahlan wa sahla
Kwa mujibu wa vitabu vitakatifu Torati, Zaburi, injili na Quran , Mungu amekemea sana kuhusu hii dhambi ya ushirikina.
Ama kwa hakika ndio amri ya kwanza aliyopewa Musa ktk zile amri kumi ili awaongoze wana wa izraeli.
Kwenye kitabu kitakatifu cha Quran vivyo hivyo imekemewa...
Ni huyu jirani yangu mama Sikujua hapa Kwamtogole. Alikwenda kwa mganga ili kumuweka sawa baba Sikujua asifurukute. Maganga alimpa mama Sikujua dawa ya kuweka kwenye maji ya kuoga.
Siku ya tukio mama sikujua aliamka alfajiri na kupasha maji moto. Aliyapeleka bafuni akitangulia na sabuni ya...
Jamii ya watanzania ilishatoka huko kwenye uchifu!
Na huu upuuzi ukiendekezwa utaturudisha nyuma sana hasa kwenye baadhi ya jamii kwa kuongeza ushirikina na uchawi hivyo kupelekea mauaji kila kona ya nchi!
Ukitizama nchi ya Nigeria ina matatizo mengi sana kwa kuwa inaruhusu uchifu kitu ambacho...
Mwenyekiti wa machifu wa Wasukuma Chifu Butale yuko mubashara Star tv akitolea ufafanuzi mjadala uliopamba moto nchini wa nafasi ya chifu katika taifa.
Chifu Butale anasema uchifu siyo ushirikina au uchawi bali uchifu ni uwakilishi wa mungu yaani ni utume na ukuhani.
Chifu Butale anasema yeye...
Kuna Mtu Mmoja kwa mbali anataka Kutuchezea Akili Watanzania akidhani ni 'hamnazo' wakati wenye Akili tumeshamshtukia kuwa ni Mdau wa Utamaduni wa Mwafrika ambao kwa uelewa wangu kwa 85% unahusisha mno Uchawi (Ushirikina) hivyo basi anataka Kulilazimisha hili Ubongoni mwetu ili awe Huru nalo na...
Jamani naombeni mniambie ukweli kwa wale wazoefu.
Hivi ni kweli huwezi kufanya biashara ya duka bila uchawi au biashara yeyote bila kuhusisha waganga wakienyeji?
Nasubiri majibu yenu juu ya nililouliza kwani nami GENTAMYCINE kama Mwanasiasa na Mgombea Urais mtarajiwa wa 2025 nataka kujua ili kama vipi nami niende kwa Machifu wa Unguja na Pemba 'wanitambikie' ili nianze kuwa na Mvuto kwa Watanzania na niwe Rais kwani Ikulu 'Kunanoga' mno.
Endeleeni tu kutufanya Watanzania wote ni hamnazo ( tuna Akili za Kipa Katoka ) hivyo mtatuzuga kwa kila namna wakati tuliobobea kwa Mambo hayo ( japo Juzi tulizidiwa na wa Yanga SC ) tumeshajua nini Kinaendelea.
Naona kabla hajaiacha Ardhi ya Tanzania kwenda kwa Joe Biden Wasukuma kupitia Zuga...
Dunia inavyozidi kuendelea kuna dhambi ambazo kila kona zinaongoza kwenye billboard za mbinguni.
Hizi dhambi huwezi kukosa kusikia kwenye habari hata siku moja.
1-uzinzi
2-mauaji
3-dhulma
4-ushirikina
miaka nenda rudi lazima ukutane nazo
Huyu mama Mdigo, several times weekly, anaamka usiku saa 10 anaanza kufagia uwanja, tena kwenye giza totoro bila taa, Je tafsiri yake ni nini? Nadhani ana imani na ushirikina fulani. Ebu wadigo please tufafanulie kufagia usiku, tena kwenye giza kuna maana gani? Mnaamini nini katika hilo?
Pili...
Niliachana kabisa na mambo yote ya kishirikina miezi kadhaa iliyopita, na kuthibitisha hilo niliweka uzi rasmi hapa JF na kumrudia Mola wangu mazima. Na kuna hili ambao sikuwahi kulisema hapa lakini wale ambao niliwaumiza na roho ikaniongoza tusawazishe nilifanya hivyo. Na nikapata amani kubwa...
Niliwahi kuja na andiko humu nikionesha huzuni yangu juu ya Kiongozi mmoja wa juu tena mwenye hadhi ya Udaktari aliyekuwa anaithibitishia Jamii kwamba kuna Mama kutoka eneo moja la nchi aliyekuwa na uwezo wa kushambulia Maadui zake akiwatumia Nyuki kwa njia ya nguvu za giza.
Kama haitoshi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.