Huko porini wanapokutana katika makabiliano ya silaha kati ya askari wa wanyama pori na majangili wa nyara za serikali hua hakuna mateka. Ama afe/wafe askari au afe/wafe majangili. Hua ni vita kamili, kubwa, kali na yakikatili sana.
Nimefanya mazungumzo na watu mbalimbali ikiwemo wazee wenye...