usiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Athanas Myonga aibuka Mshindi wa kwanza wa Shindano la Stories of Change 2023

    Baada ya miezi mitano (5) tangu Msimu wa Tatu wa Stories of Change 2023 ulipotangazwa, kuanza na baadaye kufuatiwa mchakato wa Majaji kufanya uhakiki wa Vigezo vilivyowekwa, hatimaye usiku wa leo Oktoba 7, 2023, Washiriki waliofanikiwa kujishindia zawadi mbalimbali watafahamika/julikana. Kuhusu...
  2. Kwanini tumeamua kurejea Dar saa 7 za usiku kutokea tulikofungwa na Ihefu FC jana, wakati awali tulipanga kurejea 'Kimadaha' saa 4 asubuhi leo?

    Sasa na wale Waandishi wa Habari na Mashabiki wenu mliokuwa mmewaandaa (kwa Kuwalipa kama kawaida yenu) mkiamini kuwa Jana mngevunja mwiko pale Highland Estates Mbarali mmewapa au mtawapa majibu gani? Hatutakatai kuwa katika Mpira Kufungwa ni Jambo la Kawaida ila GENTAMYCINE na Wadau wengine wa...
  3. Kipindi cha Michezo cha EA Radio cha Usiku huu wana maana gani Kuanza Kipindi chao na Wimbo huu wa Christian Bella?

    Wimbo wenyewe ni ule usemao....Amerudi analia eeeeeehhh....Huruma....eeeeehh....Huruma...... Kuna nini labda Kimejitokeza Tanzania kwa leo ili nami nijue / nikijue? Kudadadeki.......Kimya leo Mitaani.
  4. N

    Nawezaje kumaliza tatizo la kukoroma usiku?

    Nimecopy comment ya mdau kama ilivyo kutoka hapahapa Jamii Forums. Moral of story: naomba mwenye kufahamu suluhisho serious la kumaliza kabisa tatizo hili. Asanteni sana "Likely una sleep apnea. Google sleep apnea na utapata maelezo mengi na ya kina na jinsi ya kupunguza kukoroma. Kuna mpaka...
  5. Kwanini ajali nyingi hutokea usiku?

    Wanajamvi salaam. Kwa utafiti wangu usio rasmi kwenye vyanzo mbali mbali vya habari ikiwemo JamiiForums, nimebaini kwamba ajali nyingi hasa zile mbaya hutokea mida ya usiku. Barabara maarufu kwa ajali kama maeneo ya Mikese imekua ikishuhudia ajali mbaya zinavypelekea vifo vya watu wengi na...
  6. M

    Hivi TANESCO kukata umeme usiku kucha si mnahatarisha maisha ya wananchi na usalama wa nchi?

    Nchi ambayo inaelewa umuhimu wa umeme nyakati za usiku haiwezi kukata umeme usiku sababu ya mgao. Mgao ni mchana na ndio umeme unatumika mwingi. Usiku umeme unatumika sana kwa ajili ya ulinzi ni kimaanisha taa, alarm na mawasiliano, lakini TANESCO wanakata umeme as if wanataka kumkomesha Waziri...
  7. Nyumba ninayoishi imeanza kuwa na vioja usiku

    1. Siku za karibuni nimekuwa mtu wa kushtuka saa tisa na nusu nikitoka katika ndoto ambayo huwa siikumbuki ilikuaje, nakuwa na hofu na woga sana wakati huo. 2. Kuna wakati unashtuka unahisi kabisa hauko peke yako katika chumba. 3. Leo nimeshtushwa na kishindo cha kwenye dirisha, yaani ni kama...
  8. Ukipita Chato usiku ni kama uko New York au Jerusalem ya kwenye biblia, zile taa sijawahi kuona mkoa wowote

    Mji umesimikwa taa za solar toka nyamirembe moaka buzirayombo kwa upande wa ziwani ni zaidi ya kilometa 20. Yaani kama unapita na basi ukitokea Mganza usiku kwenda Geita utasema ni New York au Jerusalem wanayoimba walokole,pita mchana sasa ni Chalinze copy copy kasoro airport. Yaani zile...
  9. Z

    Usiku wa deni haukawii kucha. Wananchi kumbukeni hili siyo kombe la loser

    Kumekucha! Mwisho wa kuucheza mpira mdomoni ilikuwa jana. Leo tunasubiri vitendo, zile 5 mlizokuwa mnafunga kwa mechi ya mdomon ubavu mnao wa kuzifunga kwenye dimba la ukweli?
  10. T

    Maisha ya bongo!

    Wazee waliposema usiku mrefu waliwaza vingi bwana, leo katika harakati nimejikuta nakosa msosi na kulala pakavu tumboni, sahizi nipo natapa tapa hapakuchi!! Nimeingia kitandani toka saa nne hadi sahizi saa tisa sipati usingizi nasinzia nikishtuka nakuta nimesinzia dakika kumi au kumi tano tu...
  11. R

    Kwa wanawake; uko huru kutembea peke yako mtaani wakati wa mchana au usiku?

    Wakuu, Kila mtu anapenda akitoka kwenda mahali fulani ajisikie salama na awe huru kutoka sehemu moja au nyingine bila bugudha yoyote. Hii ni changamoto kidogo kwa wasichana/wanawake wanapotoka kwenda sehemu mbalimbali iwe ni kwaajili ya kutafuta riziki au mtoko wa sherehe, huku wakati wa usiku...
  12. O

    Rais Samia awataka majaji, viongozi kuwa waadilifu ili Zuhura asiwahusu saa nane usiku

    Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewataka majaji wapya aliyowateua hivi karibuni na viongozi wengine wa kiserekali kisha kuwaapisha leo kufanya kazi kwa uadilifu, weledi na uaminifu. Rais Samia ametoa kauli hiyo leo Ikulu jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwaapisha majaji wapya wa...
  13. Naanza kuamini Bundi kulia usiku Mahali palipo na mgonjwa ni ishara mbaya

    Ni wiki 2 mfululizo maeneo nayoishi kuna jamaa alimleta mkewe kwao ambaye alitoka kujifungua mtoto wa kike. Ndani ya hizo wiki mbili katoto hako kachanga hakakua na afya nzuri usiku kalikua kanalia sana. Cha kushangaza Kanapolia au anamaliza tu bundi naye akawa analia sana hasa mida ya kuanzia...
  14. Kumbe ni mchawi amechukua nguvu zangu za kiume kuendeshea ungo usiku...

    Kuna mwamba hapa amekamatwa, ni mchawi Anasema kuwa yeye hutumia mguu WA kiume kuendeshea ndege yake ya usiku ya ungo kwenda kuwanga Dah ila wanaume jamaan poleni Sana Mnalia Lia hamna nguvu za kiume kumbe mchawi anazitumia kuendeshea ndege yake usiku kama usukani, kusafiri kwenda ulaya So...
  15. Simuungi tena mkono Rais Samia kwa haya yanayoendelea na kadhia ya Mafuta

    Nimekuwa nikimtetea Sana Rais Samia kwenye mambo mbalimbali. Hata kwenye issue ya DP world nilikuwa naona wanamuonea, nimesimama Daima kuona alifanya uamuzi sahihi Kwa hakika alikuwa na Kura yangu ya kumsogeza mpaka 2030, lakini leo rasmi natangaza simuungi mkono tena na nimeona udhaifu wake...
  16. Rais Samia akishiriki katika Usiku wa Samia na Kizimkazi - Paje

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki usiku wa Samia na Kizimkazi - Paje tarehe 30 Agosti, 2023 visiwani Zanzibar. https://www.youtube.com/watch?v=CU8Y0ALcmVw Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiangalia vikundi mbalimbali vya Sanaa...
  17. Moscow hakulaliki, drones za Ukraine zimeshambulia majengo usiku

    Supapawa anaendelea kupokea mapigo.... The Russian capital was once again attacked by drones on the night of 21-22 August, with a high-rise building and cars damaged in the city of Krasnogorsk, Moscow Oblast. Russian news agency Astra on Telegram; Russian Telegram channel Baza; Russian...
  18. K

    Usilolijua ni kama usiku wa Giza, mdau huyu kapotoka tumsamehe

    Kuna Uzi umepandishwa na mdau wa kuitwa Sexless wenye kichwa kinachosomeka Watanzania wanafiki sana. Tazama sasa wamewatelekeza Mwabukusi na Dkt. Slaa. Kinachonisikitisha juu ya mdau huyu na Uzi wake ni kuwalaumu watanzania na kwa kupima uzito wa lawama zake anawalalamikia watanzania wote kwa...
  19. DOKEZO Mabomu ya machozi yanarindima Magu mjini

    Habarini wanajamvi, Leo kuna gari Moja ndogo ya abiria (hiace)imegonga watoto wawili wa shule na kuwaua karibu na sheli moja hivi. Sasa kuanzia asubuhi wananzengo wamefunga Barabara zote kuu hasa Ile ya Mwanza-Musoma. Gari linalolazimisha kupita linapigwa mawe balaa. Magari mengi yashaharibiwa...
  20. DOKEZO Kwa mara nyingine tena Kituo cha Daladala Mwisho Mbezi Luis hakuna mwanga, taa zimezima usiku

    Kama kawaida Kituo cha Mbezi Luis maarufu kwa jina la Mbezi Mwisho, leo tena Agosti 11, 2023 hakuna mwanga, giza limetawala na kusababisha usumbufu mkubwa wa watumiaji. Hii sio mara ya kwanza wala ya pili kwa hali hii kutolea katika Kituo hiki kilichopo karibu na Stendi Kuu ya Mabasi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…