Jamani, kichwa cha Habari kinajieleza.
Mimi nilikuwa na mwanaume nimemzidi miaka 10, mwanzoni hata haikuwa serious maana tuko tofauti,
ila mi ni wale wanawake ambao nikiwa na mwanaume basi bahati hazimkauki (nna walinzi)
Baada tu ya miezi 3 nikapata kazi na kijana akapata kazi ya pili tena...