usimamizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Trainee

    Barabara za TASAF ni kuwatesa wananchi halafu mbona hazina usimamizi mzuri kutoka kwa wataalamu wa barabara?

    Habari... Kuna ule utaratibu wa serikali kutoa fedha kwa kaya zisizojiweza maarufu kama fedha za TASAF. Sasa pesa hizo kuanzia mwaka jana nimeona serikali imekuja na utaratibu mzuri ila usimamizi wake utaratibu huu si mzuri kabisa Nimeona vijijini wananchi kuanzia mwaka jana waliambiwa wachimbe...
  2. L

    BRICS ina nafasi muhimu katika usimamizi wa dunia

    Watu wengi wamekuwa wakiifananisha BRICS na NATO, kitu ambacho si sahihi kabisa. Tofauti na NATO, BRICS haina makao makuu, na pia haina uhusiano na makubaliano ya kijeshi, badala yake, kundi hilo linajihusisha zaidi na masuala ya kiuchumi. Kundi hili la BRICS linaunganisha juhudi za nchi...
  3. jingalao

    LGE2024 Pendekezo mbadala kwa hoja ya CHADEMA kuhusu usimamizi wa uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wasalaamu wanaJF, Tunapozungumzia National reconcilliation tunamaanisha kuwa lazima kuwe na give and take. Ipo hoja iliyobakia kutoka kwa wanachadema ya kwamba marekebisho katika kanuni au uratibu na usimamizi wa chaguzi zinazohusi viongozi ngazi ya Serikali za mitaa ujikite kwenye kupoka na...
  4. Roving Journalist

    Rais Samia atunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu ya Usimamizi ya Utalii na Masoko ya Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA), leo Desemba 28, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu ya Usimamizi ya Utalii na Masoko ya Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA) leo tarehe 28 Desemba, 2023, Zanzibar. https://www.youtube.com/live/3ojgVNt8bpA?si=ipW9NnuOK_nJzT1c Mhe. Rais Samia...
  5. B

    Benki ya CRDB yapata Cheti cha Viwango vya Kimataifa cha Usimamizi wa Huduma za TEHAMA ISO 20000-1:2018

    Dar es Salaam 11 Desemba 2023 – Benki ya CRDB leo imekabidhiwa cheti cha viwango vya Usimamizi wa Huduma za TEHAMA cha ISO 20000-1:2018 kilichotolewa na Shirika la Viwango la Uingereza (BSI). Cheti hicho kimekabidhiwa katika hafla fupi iliyofanyika Makao Makuu ya Benki yaliyopo barabara ya Ali...
  6. tzhosts

    Mfumo wa Usimamizi wa Shule wa Open Source SMS

    Habari za wakati huu; Wamiliki wengi na wasimamizi wa shule wanatumia mifumo mbalimbali ya usimamizi wa shule.Leo ninataka nitambulishe kwenu mfumo wa usimamizi wa shule ambao ni wa kipekee wenye sifa zifuatazo: Mfumo huo ni open source kwa maana unaweza kufanyiwa maboresho na marekebisho...
  7. Roving Journalist

    Naibu Waziri Hamad Chande akumbushia usimamizi wa fedha zinazotolewa kwa ajili ya kusimamia Maadiliko ya Tabianchi

    Wataalamu wa mazingira kutoka Nchi 10 za Afrika na wenzao kutoka mataifa ya Ulaya wamekutana Jijini Arusha kujadili namna bora ya uwajibikaji kwenye matumizi ya fedha zinazotolewa na Wahisani kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya utunzaji mazingira ikiwemo mabadiliko ya Tabianchi. Mkutano huo...
  8. Stephano Mgendanyi

    TASAC Yapongezwa Kwa Usimamizi na Udhibiti Makini wa Vyombo vya Usafiri Majini

    Naibu Waziri Kihenzile aipongeza tasac kwa usimamizi na udhibiti makini wa vyombo usafiri majini Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi Mhe. David Kihenzile amelipongeza Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) kwa usimamizi na udhibiti makini wa vyombo vinavyotumia usafiri kwa njia ya maji na...
  9. Stephano Mgendanyi

    Chatanda awapongeza DC & DED Nyang'hwale kwa Usimamizi wa Miradi

    Mwenyekiti wa wa Umoja wa Wanawake Tanzania UWT Mary Chatanda amefurahishwa na Ushirikiano wa Mkuu wa wilaya na Mkurugenzi wa Wilaya ya Nyang'hwale kwa usimamizi mzuri wa Miradi ambayo Serikali ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imeweza kuleta fedha mbalimbali za Miradi ya Maendeleo. Akizungumza...
  10. Pinda Nhenagula

    Naomba kuelimishwa kuhusu kazi zote katika usimamizi wa karasha la kuponda mawe ya dhahabu na process zote za ku-make pesa

    Habari wana JF wenzangu, Jamani mimi mwenzenu mm ni kijana nimebahatika kupata elimu ya kidato cha sita. Na hapa sasa mzee wangu kaamua kunipeleka kwenye machimbo ya dhahabu kufanya kazi ya kusimamia karasha na kununua dhahabu kwa wachimbaji wadogo wadogo na ukiangalia mimi hapa ni mgeni na...
  11. gstar

    Australia wakamata ngozi halisi za Simba na Chui zilizotengenezwa kama mazulia kutoka Tanzania. TAWA yasema inafanya uchunguzi

    Ni nyara za Serikali zilizokamatwa kwenye makasha makubwa kwenye uwanja wa ndege nchini Australia, inasemekana zimepakiwa kutoka KIA nchini Tanzania, nani anahusika na uhujumu huu? Serikali itoe tamko. Tazama video. UPDATE TAWA kuchunguza Nyara za Serikali kukamatwa Australia
  12. Crocodiletooth

    Lengo ni kuongeza kasi ya usimamizi katika kila kona na si Vinginevyo!

    Waota njozi wamekuwa na tafsiri 1001,lakini lengo kuu ni usimamizi thabiti, wakati mwingine ngombe bila bakora haendi.
  13. Dr Msaka Habari

    Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za ghala (WRRB), yatoa mafunzo ya utekelezaji wa mfumo wa stakabadhi wa ghala

    Mafunzo hayo yanayofanyika kila mwaka nchini yenye lengo la kuwajenga uwezo Watendaji wa Kampuni za waendesha ghala, Wasimamizi wa Ghala, Meneja Dhamana pamoja na washiriki binafsi yamefunguliwa na Mkuu wa wilaya ya Ubungo Hashim Komba leo Tarehe 28 Agosti 2023, katika ukumbi wa...
  14. tutafikatu

    Huu si upotevu wa fedha - Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kuweka tangazo DSTV

    Kama Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inadai tumeshindwa kuendesha bandari, na hivyo DP World wanapewa waendeshe, kuna umuhimu gani wa TPA kuwa na tangazo DSTV, wakati hawana ufanisi na wanakwenda kuwaachia waarabu waendeshe? Naona tangazo lake likiunguruma Dstv channel 223.
  15. N

    SoC03 Usimamizi Bora ni Ufunguo wa Maisha

    Usimamizi ni kitendo cha kuweka watu pamoja ili kutimiza malengo na madhumuni yatakakinayo. Usimamizi unajumuisha Mipango, Maandalizi, Mahusiano, Majukumu n.k baina ya mtu mmoja au kikundi cha watu au zaidi. Usimamizi bora ni uwezo wa kuyatenda Mambo yote haya katika Hali ya ubora. Mary Parker...
  16. Mwl.RCT

    SoC03 Ushirikiano wa Serikali na Jamii katika Usimamizi Bora wa Maliasili za Nchi

    Mada: Ushirikiano wa Serikali na Jamii katika Usimamizi Bora wa Maliasili za Nchi Imeandikwa na: MwlRCT 1. Utangulizi Tanzania ina utajiri mkubwa wa maliasili za nchi, kama vile madini, mafuta, gesi, misitu na wanyamapori. Maliasili hizi zina faida nyingi kwa uchumi, maisha, utalii, tiba...
  17. Tonytz

    SoC03 Kuwepo na juhudi endelevu za usimamizi wa maafa ili kutekeleza mkakati wa taifa wa usimamizi wa maafa

    UTANGULIZI. Maafa ni madhara yanayotokana na janga ambayo yanajumuisha uharibifu wa mfumo wa kawaida katika jamii ambao husababisha vifo, majeraha, madhara ya kisaikolojia,, upotevu au uharibifu wa mali, mifumo mbalimbali ya kiteknolojia na huduma za kiuchumi na kijamii au mazingira, ambapo...
  18. R

    Mamlaka za maji za Tanzania zina dharau kubwa sana kwa wananchi, hakuna usimamizi wa watendaji

    Mamlaka za maji nchini zina kiburi sana, hakuna nidhamu ya watendaji. Miradi ya maji wanapiga, kuunganisha watu maji awataki, wanabambikia wenye maji bili, ukienda ofisini kwao hakuna anayekuchukulia kama mteja kila mtu yupo busy na masuala yake, wengi wana elimu ndogo ya uchumi na hivyo...
  19. sky soldier

    Uwepo wa UAE kwenye Mbuga, Bandari, Misitu, Tanesco: Nini kingine hatukijui?

    Tatizo sio Kuwakaribisha wawekezaji bali ni aina ya mikataba, mfano hii mikataba ya waarabu kama wa bandari hauvunjiki hadi wao watake uvunjike ndio maana unaitwa wa milele. 1. BANDARI - Na sasa kuna mkataba huu wa bandari ambao ndio unazungumziwa zaidi sababu kipengere cha kuuvunja ni mpaka...
  20. Carlos The Jackal

    Rais Samia alimtumbua DED Msongela Nitu Palela kwa utendaji na usimamizi mbovu na Ufisadi, leo amemteua Palela Msongela Nitu

    Mimi Huwa nikiwaambia, tuna Rais Kazi yake ni KUSAINI TU muwe mnanielewa, yaan tuna Rais akiletewa makaratasi hajishughulishi kwenda Ndani zaidi, ajiridhishe Kisha atoe ruksa. Ebwana eeh Leo katika Kupitia majina ya UDED japo nione jina langu, kijana Mzalendo kama Mimi, nikakutana na hili jina...
Back
Top Bottom