Watu wengi wamekuwa wakiifananisha BRICS na NATO, kitu ambacho si sahihi kabisa. Tofauti na NATO, BRICS haina makao makuu, na pia haina uhusiano na makubaliano ya kijeshi, badala yake, kundi hilo linajihusisha zaidi na masuala ya kiuchumi. Kundi hili la BRICS linaunganisha juhudi za nchi...