utabiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Utabiri: Mbowe utaalikwa kwenda Magogoni, ila nakushauri ukienda kwa siku hizi za karibuni

    Kwa jinsi navyozijua siasa za nchi hii, Mbowe ataalikwa kwenda Magogoni either yeye kama yeye, au ataambatana na viongozi wengine wa CHADEMA. Watafanya yote ila target yao kubwa itakuwa ni kupata picha ya Mbowe na Mama lengo likiwa kuhadaa umma kuwa Mama hakuwa na ubaya na Mbowe wakati si...
  2. Expensive life

    Utabiri: Simba SC kuibuka na ushindi mnono Jumamosi

    Kesho Simba sc bingwa mtetezi ligi kuu Tanzania bara na mtegemewa pekee katika mechi za kimataifa, ataparurana na wanatamtam Mtibwa sugar kutoka Manungu mkoani morogoro katika muendekezo wa ligi kuu Tanzania bara. Mchezo wa kesho ni mgumu sana kwa Mtibwa licha ya kuwa nyumbani, kwa nini nasema...
  3. GUSSIE

    Je, ndoto za Godbless Lema ni utabiri au sayansi ya uchawi katika siasa?

    Kuna mambo siyo ya kuyaletea mzaha hata kidogo, Wengi yamewakuta na wengine wametwaliwa moja kwa moja kutokana na kile kinachoitwa ndoto anazooteshwa Godbless Lema iwe kwa kutamka hadharani au kutoa meseji kupitia akaunti yake ya twitter Mwanzoni nilifikiri Godbless Lema anaangalia afya za...
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    Sanamu ya Amani iliyowekwa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa ina maana gani? Je, inauhusiano gani na utabiri wa siku za mwisho?

    Ufunuo 13:2 BHN Mnyama huyo niliyemwona alikuwa kama chui; miguu yake kama ya dubu na kinywa chake kama cha simba. Lile joka likampa huyo mnyama nguvu yake, kiti chake cha enzi na uwezo mkuu DANIELI 7 Wanyama wanne wakubwa 1Mnamo mwaka wa kwanza wa utawala wa mfalme Belshaza wa Babuloni...
  5. Mr Dudumizi

    UTABIRI: Hawa ndio watakuwa wagombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

    Habari zenu wakuu, ama baada ya salam ningependa sasa kuelekea kwenye mada yetu husika. Ndugu zangu katika maono yang na uzoefu wang wa mambo ya kisiasa, natabiri kuwa hawa ndio watakuwa baadhi ya wagombea urais wa JMT wa mwaka 2025. Hapo chini ni majina yao na vyama vyao watakavyotumia...
  6. B

    Godbless Lema alipotoa Utabiri Mahsusi kwa Awamu #6

    Awaye yote atake au asitake Mola anayo namna yake ya kusema na waja wake: Ikumbukwe kuwa imeandikwa, (Mathayo 7:15-16) "manabii wa uongo mtawajua kwa matunda yao." Izingatiwe kuwa utabiri wa Lema unafungamanishwa moja kwa moja na umuhimu wa matendo ya haki kwa wengine, kuweza kuivuna...
  7. The Sunk Cost Fallacy

    Utabiri wangu: Fainali ya UEFA champions league ni Kati ya Liverpool vs Ajax Amsterdam

    Habari wakuu.. Kwa mwenendo huu wa Champions league Fainali ni baina ya Liverpool na Ajax .
  8. Action and Reaction

    Utabiri wangu kwa timu za Simba na Yanga kabla ya msimu kuisha

    Kwa muelekeo ninaouna ✓ Mechi zote alizoshinda Yanga, Simba anakwenda kushinda kwa magoli mengi... ✓ Mechi zote alizotoa sare Simba, Yanga wanakwenda kupigwa wakiambulia zaidi ni sare kama ya Namungo... ✓ Mechi zote Simba alizoshinda MOYA BILA ( according to Mwnyi Zahera), Yanga anakwenda...
  9. DustBin

    UTABIRI: Bernard Membe kumrithi Rais Samia S. Hassan

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri. Huu ni utabiri wangu wa kimaono. Mwenye Presidential Image ndani ya CCM kwa sasa sioni zaidi ya BCM a.k.a kachero mbobezi. Pamoja na uzoefu wake ktk siasa, wenyeji ktk chama, na weledi wa mambo ya kimataifa BCM ana ziada ya mvuto wa nafasi ya urais. Ni wazi...
  10. Dp800

    Utabiri wa kikosi Tanzania vs Congo DR

    Kwa kutambua umuhimu wa mechi ya leo na aina ya wachezaji walioitwa Taifa stars, ungekuwa nafasi ya kocha Poulsen ungekuja na kikosi gani? Mimi ningeanza na hawa hapa
  11. Labani og

    Utabiri wako kwa mechi ya Taifa Stars dhidi ya Democratic Republic of Congo

    Magwiji wa footbal tukutane hapa leta utabiri wako dhidi ya mechi la kimataifa baina ya Taifa stars vs DRC nikianza mm utabiri wangu ni kama ifuatavyo. Taifa stars anashinda 3.1DRC Wafungaji 1 Fei toto wa yanga 2 Saimon msuva 3 Fei toto anafunga tena CONCLUSION ; DRC anakufa goli tatu...
  12. onjwayo

    Kwenye utabiri wa Lema bado Spika Ndugai tu

    Wanabodi I declare my option sishangilii matokeo ya matukio yaliyotokea kwenye utabiri wa God bless Lema. Lema aliota ndoto nayo kweli ikaja kutokea JPM akafariki kweli. Mwaka haujaisha alimpigia Sabaya simu akamuonya aache ubabe.....Sabaya akaendeleza leo hii amebakiza miaka 29 na siku 263...
  13. J

    Kutokana na utabiri wa TMA kuhusu uhaba wa mvua; je, bwawa la Mwalimu Nyerere litajaa na kuanza kuzalisha umeme mwakani?

    Nauliza tu kwa wataalamu wa Hydro power je tuendelee kutumaini umeme mpya kutoka Bwawa la Nyerere katikati ya mwaka ujao kama tulivyoahidiwa? TMA wametabiri mvua chache sana mwishoni mwa mwaka.
  14. Dead Man

    Natabiri yafuatayo yatatokea

    Mimi siyo mganga kama MziziMkavu au Mshana Jr , mimi sina kinyongo kama Kitimoto pia mimi nipo timamu kabisa sina mizengwe kama Dj DON NALIMISON wala mimi siyo intelijensia kama Infantry Soldier Natabiri yafuatayo; Kwenye hii miezi mitatu yaani watisa, kumi na kumi na moja yafuatayo yatatokea...
  15. T

    Utabiri wa Mbowe kuachiwa na siasa za Tanzania kuelekea 2025

    Mh Mbowe ata achiwa ila moto wa siasa utapamba moto mara saba sabini ya sasa ikumbukwe ana achiwa kwa mashinikizo yanaendelea na hali inayo endelea kwa sasa hasa ule mgomo unao taka gawanya watanzania kwa udini na vyama. Nashukuru watu waidara za serikali walio shauri na wanao zidi shauri...
  16. Mtini

    Utabiri wangu: Rais Samia awe makini na sakata la Mbowe, litamaliza kabisa kibali kidogo alichobakiwa nacho kwa Watanzania

    Mwaka 2017 niliandika mada hii Viongozi wa kisiasa kumbeukeni maneno haya; Mene, mene, tekeli, na peresi baada ya kuona kinachoendelea nchini. Ujio wa Mama uliamsha matumaini makubwa sana ndani ya mioyo ya watanzania, na matamanio makubwa yalikuwa si kuona uchumi unakuwa kwa asilimia 7 wala si...
  17. Ben Zen Tarot

    Fahamu utabiri na utata uliomzunguka TB Joshua

    Licha ya kuwa na wafuasi chungu nzima kutoka mataifa tofauti duniani, pia alikuwa na wakosoaji wengi vilevile kutokana na mafunzo ya kanisa lake. Hii leo tunakuangazia kuhusu utabiri aliotoa na utata uliomzunguka. Maji ya Upako Mwaka 2013 hamu ya maji ya upako {Maji matakatifu} ya TB Joshua...
  18. N

    Godbless Lema ana utabiri wa Mungu au ni Mpiga Ramli?

    Huyu bwana anayoyaongea ni kama vile yanatokea kuwa kweli. Aliongea kuhusu Mwendazake na kweli ikawa hivyo ingawa muda aliousema haukuwa ule Kuna recorded audio call kati yake na Ole Sabaya na akamuonya kwamba Mwendazake sio Sir God na kweli ikawa na tayari Sabaya yupo kwenye uchunguzi ambao ni...
  19. W

    Utabiri: UEFA Champions League Final itakuwa Chelsea 0-3 Man City

    Game itapigwa siku ya jumamosi tarehe 29/05/2021 ndani ya dimba la Estadio Do Dragao ndani ya nchi Ureno. Tupia utabiri wako hapa. Utabiri wangu. Chelsea 0 vs Man City 3 Either Players to Score. 1. Riyad Mahrez 2. Reuben Diaz Hapo vipi?
Back
Top Bottom