Wanamichezo wenzangu kuelekea robo fainal caf champions league na shirikisho na huu ndio utabiri wangu.
Simba sc vs mamelodi
Pyramid vs young Africans.
Mungu ulie chanzo cha Taifa la Tanzania watu wako tunakuja mbele yako kwa sala na maombi maalumu juu ya Taifa letu Tanzania.
Mungu Baba tunasema Asante kwa kila kiongozi ulie tupa ktk jamuhuri yetu ya Tanzania. Mungu Baba tuna sema Asante kwa kutupa Mashujaa walio lipigania Taifa hili kwa dam...
Karibuni wadau wote wa michezo kutabiri matokeo ya huu mchezo wa marudiano kati ya hizi timu mbili kubwa kabisa Barani Afrika; Raja Casablanca ya Morocco vs Simba ya Tanzania.
Ikumbukwe timu zote mbili tayari zimeshafuzu hatua inayofuata ya robo fainali, Kombe la Klabu Bingwa Afrika. Na katika...
Utabiri ambao umejificha ktk kifo cha Simba Bob Junior ama kwa hakika ni Utabiri wakutisha Kuna watu wanadhani may be unahusu serikali ya sita vile umetokea na mwezi ulio tokea.
Mimi nataka kuwaambia kile kimetokea ktk mbuga ya Serengeti ni Utabiri ambao ni very complex.
Ktk mbuga ya Serengeti...
Marehemu JPM hadi sasa ndiye kitisho kikubwa kwa mrithi wake ambapo Chawa Fc wanapambana bila kupumzika kuchafua kwa makusudi jina lake na legacy aliyoiasisi.
Eneo ambalo kwa haki kabisa marehemu hakulitendea haki ni Haki za Binadamu. Na eneo hilo alikuwa mkali kweli kweli kuanzia kwa watu wake...
Kwa kuangalia vigezo tofauti ikiwemo mbinu na history za timu hizi mbili wanapokutana Guinea, naiona mechi inaweza kuisha kwa ushindi mwembamba kwa Guinea.
Mpira una mambo mengi ukiachana na ubora wa wachezaji kuna swala la mbinu pia. Raja mpaka sasa kwenye kundi lao ndio timu pekee ambayo...
Kwa kuangalia upande wa madhaifu ya timu zote mbili katika mizani, naona Vipers wakiwa na safu butu mno ya ushambuliaji. Wamecheza michezo zaidi ya mitano pasipo kupachika goli hata moja, hivyo sioni namna wanayoweza kupata point tatu leo dhidi ya Simba. Mechi itaisha kwa Simba kushinda ama sare.
Team zetu kubwa mbili zinashuka dimbani weekend hii.
Naweza kusema tu team yenye jina la mnyama ambayo ndio itaanza kucheza inaenda kupata matokeo mazuri ila mchezo hautakuwa na zaidi ya goli 1. Lile kiza lililotanda kwa takribani mwezi mzima limetoweka naa kuanzia sasa makali ya mnyama huyu...
Simba na Yanga wote wana mechi za kimataifa mwishoni mwa wiki.
Utabiri wangu kwakuwa wote wapo ugenini, Simba atadroo na Vipers wakati Yanga atapigwa goli mbili kule Mali.
Baada ya kupatia utabiri wangu wa wiki iliyopita leo tena nawasogezea utabiri wa mechi za weekend hii kwa wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya kimataifa.
Simba ambayo inashuka dimbani leo, itatoa droo ya 1-1 dhidi ya Raja Casablanca. Kutakuwa na red card pia katika mchezo huo.
Yanga...
Simba atakufa 1-0 wakati Yanga atakufa 3-0.
Huu ndio utabiri wangu kuelekea ufunguzi wa mechi za ligi ya mabingwa pamoja na shirikisho Afrika kwa ngazi ya makundi. Simba na Yanga watapoteza mechi zao za ufunguzi wakiwa ugenini...
Tupia na wako...
Natoa utabiri huu nikiwa na akili zangu timamu na upeo wa kutosha kuhusu mpira wa miguu.
Mwaka huu 2023 ndiyo mwaka historia mpya inaenda kuandikwa kwa Simba kuchukua kombe la CAF Champions League.
Najua kuna wapenzi wa Simba bado wanalilia kuona usajili mpya ili kuboresha timu ila ngoja...
Huyu alijiita member wa Deep State na alileta uzi hapa akidai kuna rais ataibuka Tanzania na kutawala kuanzia 2022 Hadi 2032.
Utabiri huo uligonga mwamba. Happy New Year.
https://www.jamiiforums.com/threads/franklin-d-roosevelt-fdr-na-uongozi-wa-miaka-12-kujirudia-tanzania.1950132/
Ndio hivyo, 2023 Itakua ngumu sana kwa wanazi wa CCM! Kuna ambao watakubali kubadilika Ili waendelee kula, Kuna kundi litaibuka kimya kimya likijiandaa kuweka mizizi, Kuna Viongozi wa CCM watapandishwa Kwa Pilato.
Utakua mwaka wenye machungu sana kwa CCM na mara nyingi watajitokeza hadharani...
"Watu wangu wana angamia kwa kukosa maarifa na kwa kuwa umeyakataa maarifa na mimi nimekukataa."
Hili ndio neno lakutiongoza kama Taifa kuelekea mwaka 2023. Nikwanini Mungu analiambia Taifa juu ya maarifa majibu mnayo kwakuhisi au kwakuwa kile Manisha.
Mwaka 2023 ni mwaka wa maarifa ni mwaka...
Team Messi Kesho tunanyanyua makwapa kwa mara ya Kwanza kabisa tukisherekea kombe la Dunia.
Hapo Ufaransa kashaleta ufala wake, tumepita naye 3:1, dakika 6 za nyongeza zinaisha Mbappe haamini anachokiona anapiga goti anatubu.
Ebwanaa eh Messi kama staring wa picha , anamaliza operation yake na...
Mnamo Oktoba Julian Alvarez alipohojiwa na waandishi wa habari, alisema:
"Wachezaji wa Ureno na Rodri walikuwa wakizungumza kuhusu nani angeweza kushinda Kombe la Dunia. Walikuwa wakisema Ureno, Ufaransa, na mataifa mengine ya Ulaya. Kisha Pep [Guardiola] akasema, 'unajua nani ana nafasi nzuri...
Habari wadau wa jukwaa kubwa la JF, Nikiwa katika harakati zangu za kujiandaa na krismasi hapa canada nimejikuta nikisisimka na mwenendo wa mechi za kombe la dunia na baada ya kujiridhisha na hesabu zangu za kimwili pamoja na kupima ulimwengu wa roho nimejiridhisha pasi na shaka kwamba hili...
Huu ndio utabiri wangu kwa mechi baina ya Senagal na England inayoanza muda mfupi ujao.
Makartatasi yanaipa nafasi England, ila leo kibao kitageuka licha ya timu za Afrika mara nyingi kupoteza katika mashindano haya zinapocheza na timu kutoka mabara menginre.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.