Wakuu, najua kuna wengine mtakua mnajua.
Ukiwa unacheki utabiri wa hali ya hewa kwenye App au Google eneo flani, utaona wameandika Precipitation hafu wanaweka asilimia flani, mfano 50%.
Sasa hiyo Precipitation 50% inamaanisha nini?
Ni probability ya mvua kunyesha Dar es Salaam ipo...
Baada ya CHADEMA kupitia Mwenyekiti wao, Freeman Mbowe kutangaza maandamano, wazo lilionijia ni CCM kutafu mbinu ya kuzuia haya maandamano yasifanyike na mojawapo ni kuwatumia viongozi wa dini.
Alichofanya leo Padri Kitine ni hatua tu ya awali ila mipango itakuwa teyari imeandaliwa au...
Kutoka ligi yoyote duniani.
Mi nadhani Hawa hapa hawatomaliza msimu na pengine hawatafika hata Christmas.
i)Eric Ten Haag
ii)Fadlu Davies
iii)Mourinho
iv)Vincent Kompany
Wewe mwanamichezo unahisi kocha gani atafukuzwa mapema?
Katika dunia ya leo kuna technolojia ya "Akili Bandia" au "Inteligensia ya Bandia." Hii inafanya utabiri baada ya Researcher kukusanya Data. (secondary data au Primary data) Researcher anaweza kutumia aina ya Machine learning moja, 2 au 3 ili kuweza kutabiri (Predection) kwa jambo litatokea...
Katika Kiswahili sanifu, "utabiri" na "ubashiri" ni maneno mawili ambayo yana maana zinazokaribiana, lakini kuna tofauti ndogo katika muktadha wa matumizi yao, hasa linapokuja suala la michezo ya mpira wa miguu.
1. Utabiri:
- Maana: Utabiri unahusisha kutumia data, takwimu, na uchambuzi wa...
Kwa miaka ya hivi karibuni nimekuwa na utamaduni wa kutoa utabiri wangu kuhusu mafanikio ya Simba na Yanga mwanzoni mwa msimu. Kwa kiasi kikubwa nakuwaga on target.
Kwa msimu unaoenda kuanza wa 2024-25, natabiri kuwa timu ya Simba itafika fainali ya CAFCC na Yanga pia itafika fainali ya CAFCL...
Ndugu wanajukwaa, katika pita pita zangu Leo nimeona utabiri mzito sana uliofanywa na prophet aliyeitwa Brandon Biggs miezi minne iliyopita, nae ni mmoja kati ya manabii watatu walioelezea juu ya mambo ambayo Yanaweza kuikumba Marekani, na katika tabiri hizo Bw. Brandon Biggs alitoa ushuhuda...
Nimesoma hii article pale kwenya magazeti ya Shigongo, ikanishtua kwa vile inaoneka utabiri wake ulikuwa kweli kabisa. je ni coincidence tu au ni kweli alikuwa anajua kupiga mahesabu ya kuona mbele? Najua kuwa aliwahi kutabiri kuwa mtu yeyote atakayechukua formu kumpiga Kikwete mwaka 2010...
Sio kwamba tunaongea au kuombea mabaya la hasha. Tunajaribu kuangalia hali halisi!
Mpaka kufikia leo katika bureu de change dola moja inanunuliwa kwa 2660Tsh. Hii rate inapanda kila siku kwa kasi ya ajabu!
Nikijaribu kuangalia uwezo wa viongozi tulionao (Samia, Mwigulu, Majalia nk nk) na...
Mtasikia kuhusu vita vinanavyopiganwa na pia matetesi ya kuwapo vita vingine. Lakini msiogope. Mambo haya lazima yatokee na mwisho wenyewe hautafuata palepale. Mataifa yatapigana na mataifa mengine. Falme zitapigana na falme zingine. Utakuwepo wakati wa njaa ambapo watu watakosa chakula. Na...
Hili ni bandiko la utabiri,
Hii tume haina maisha marefu, serikali itaibomoa kabla ya mwaka 2030.
Ujio wa NIDA umeleta changamoto kwa NEC sababu kitambulisho cha mpiga kura hakina matumizi mengine ya muhimu tofauti na kupiga kura, lakini NIDA ndio habari ya mjini yaani ni kama maji lazima...
Kesho ndiyo kesho, wale watani na waasimu wawili, Simba na Yanga wanakipiga kunako Dimba la Benjamini Mkapa, majira ya saa 11:00 jioni.
Derby hii sio ya kitoto hata kidogo kwani pamoja na tambo toka kwa pande zote mbili za mashabiki, derby huu imekuwa na ulivuta hisia hata kwa watu wenye Karama...
2nd Leg Match
CAF CHAMPION LEAGUE
QUARTER FINAL.
Mamelodi Sundowns vs Yanga Sc
Time: 9:00Pm
Stadium: Loftus Versfeld Stadium
More Updates following...
Kikosi Cha Yanga Kinachoanza
Kazini kwetu kuna Kazi.
Kikosi Cha Mamelodi Sundowns Kinachoanza.
Mpira unaendelea kwa kasi .
Timu...
africa
bao
caf
caf champions league
dakika
final
goal
goli
halali
kunyimwa
mamelodi sundows
mechi
nbc
nbc premier league
premier
premier league
sare
ushindi
utabiri
yanga
yanga sc
Kiukweli watanzania tumekuwa na hamu sana ya kuona timu zetu zinafanya vizuri sana kimataifa.
Lakini inatakiwa juhudi kubwa sana ya nje ya uwanja na ndani ya uwanja.Tena tunatakiwa tuwe na uwezo wa kushinda kuanzia goli mbili kwa sifuri.
Sasa utabili wangu mimi shuka chini ni huu Simba hapa...
Baada ya kuona Matokeo ya droo ya Timu zitakazocheza Robo Fainali hapa ni Utabiri wangu wa mechi za robo fainali..
kwa timu za Tanzania Yanga atajitutumua atatoa Droo Nyumbani ila Atafungwa Ugenini hivyo kuyaaga mashindano hayo..
Wakati huo Simba atafunga goal nyingi Nyumbani,Ila atafungwa...
Habari wanajamvi ,Leo bila kupapasa wala kubipu game la simba na coastal union litsaisha kwa safe au simba kufungwa
Kubali au ukatae ila huo ndo ukweli maana Kyle mkwakwani kuna kazi si ya kitoto
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.