Simba na Yanga zote ziko nje ya nchi katika majukumu ya michuano ya vilabu Afrika.
Simba watashuka dimbani pale Levy Mwanawasa Stadium kuwakabili Power Dynamos huku watani zao wakishuka dimbani pale Pele Stadium kuwavaa El Merreikh ya Sudan.
Weka utabiri wako timu ipi itapata matokeo yapi?
Ni siku kadhaa sasa tangu Kesi ya kubatilisha mkataba wa Bandari ipelekwa mahakamani ,na Tarehe 7/8 tulitegemea kusikia maamuzi ya mahakama juu ya .mkataba huo(Judgment) kwa bahati mbaya Judgment imesogezwa mbele. Siko hapa kutabiri judgment jamani bali natamani ni wajuze vitu vichache kuhusu...
Je hili ndio Taifa la wajinga lililotabiriwa mwaka 1977 wakati walipoanzisha sera ya Elimu ya Universal Primary Education UPE?
Katika sera ya nchi ya kutoa elimu kwa wote. Serikali ilipanga kutoa elimu kwa watanzania wote bila ubaguzi wowote. Serikali ilikuja na mpango elimu ya msingi iwe ni...
Ikiwa imebaki wiki moja kabla ya mechi ya Yanga Vs Azam katika mchezo wa ngao ya jamii, ubashiri wangu unaonesha Yanga atatolewa na Azam katika mtanange huo.
Azam Fc iliyosajili vizuri itacheza na Yanga iliyoondokewa na mastaa wake tegemezi.
Baada ya dakika 90’ ubao utakuwa unasoma hivi Yanga...
Kazi ya utabiri wa hali ya hewa ni muhimu kwa maendeleo ya taifa ndio maana serikali ikaanzisha idara maalum ya utabiri wa hali ya hewa.
Ni wazi kuwa kazi ya idara hii ni kutabiri tu na wala si kutoa amri hali ya hewa iweje kwenye maeneo tofauti ya taifa letu.Mimi tu kama mwanadamu huwa napenda...
Mwaka 2021, Mchungaji Ian Ndlovu kutoka Zimbabwe alisema kuwa Roho wa Mungu amemwambia kuwa awaambie kuhusu Raisi mwanamke kutoka Afrika Mashariki.
Aliambiwa kuwa, wote wanaompenda Raisi huyu mwanamke wanapaswa wamwombee sana maana aliona atapitia matukio mawili huko miaka ya mbele ambapo...
Salamu, huu ndio utabiri wangu kumhusu mama kabla ya 2030. Haya yote anayoyafanya ni calculated issues. Haya Mambo yanaenda kwa mpangilio ufuatao
1) 2025 Rais Samia atashinda
Mama atashinda uchaguzi wa 2025. Atashinda uchaguzi kwa sababu hakutakua na katiba mpya wala tume huru ya uchaguzi...
Spika wa bunge la jamhuri ya muungano JOB NDUGAI amedai kuwa kulingana na mwenendo wa deni la taifa kufikia trilion 70 ipo siku nchi ya Tanzania itapigwa mnada amenena maneno hayo baada ya kusema kwamba tozo zote zamiamala ya simu zilizopitishwa na bunge zilipitishwa kwa lazima kwani wananchi...
Ningekuwa Samia hilo la BANDARI kuhojiwa kwa zaidi ya wiki 2 na Watanzania isivyotarajiwa hakika ningeshtuka na kuwa upande wao kwa kuwasikiliza, kujibu hoja zao mimi mwenyewe na ningetafuta namna bora ya kuliweka ili kuondoa SINTOFAHAMU kubwa nchini!
Ukweli ni kwamba Watanzania wamebadirika si...
Nimekumbuka video hii ya nabii mmoja huko Afrika kusini aliyasema haya mwaka jana, cheki hii iko you tube. hii issue ya kuuzwa bandari inaweza kuwa kosa la kwanza
Timu zitakazochukua ubingwa mashindano ya CAF 2023
1. CAF confederation cup USM ALGER Bingwa atamfunga YANGA fainali.
2. CAF champions league AL AHLY Bingwa atamfunga MAMELODI fainali.
Pep Guardiola na Man City yake wanaenda kutwaa ndoo ya UCL hapo juni mwaka huu.
Man City kabla ya fainal atakutana na wachovu Real Madrid, ambapo mechi ya kwanza Bernabeu itaisha droo ya 1-1
Kisha mechi ya marudiano Etihad, Man City ataibuka na ushindi wa goli 2-0. Na kujikatia tiketi ya...
Kuna kila dalili za ubashiri kuwa, msimu huu wa 2022/23 timu ya Yanga ya Tanzania itafanikiwa kunyanyua makombe matatu (ligi kuu, Kombe la FA (Azam confederation) na Shirikisho CAF), na hali hiyo hiyo itatokea kwa timu ya Man City ya Uingereza ambayo nayo itabeba makombe matatu (Ligi kuu, Kombe...
Yanga itachukua kombe la shirikisho mwaka huu natabiri na itakutana fainal na Rabat.
Yanga ndiye bingwa wa confederation cup.
Simba atatoka morocco na fainal. Nusu ni Waydad vs mamelodi na kule ni Esperance de tunis vs Al Ahly.
Watakutana wababe wa africa mamelodi na Al Ahly
Mamelodi ndiye...
Leo April 22 kutapigwa mchezo mkali wa ligi ya mabingwa Africa ambapo Wenyeji Simba ya Dar es salaam watawakaribisha Wydad Casablanca ya pale Morocco.
Mchezo wa Simba dhidi ya Wydad haijawahi kuwa rahisi huku Whdad wakionesha ubabe dhidi ya Simba. Mchezo wa mwisho Simba dhidi ya Wydad Simba...
Kwa mujibu wa unajimu wa mechi ya leo sio Baleke wala Mayele watakaokuwa katika scoresheet.
Nyota zao haziendani na tarehe ya leo, leo ni siku ya viungo na mabeki kung'aa.
Duru zinasema hapatakuwa na magoli mengi leo kwani magoli yatakuwa mawili au moja tu. Na hapatakuwa droo.
Kwa...
RC Chalamila aliwahi kusema kuna mawaziri ambao kazi yao ni kwenda nje ya nchi kukopa fedha na kujiimarisha kwa ajili ya kugombea urais 2025...kama kawaida yetu watanzania tukapuuzia....leo sasa utabiri huo unaanza kutimia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.