utabiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Utabiri wangu wa robo fainali. Yanga vs Asec Mimosa, Simba vs Mamelodi, Yanga atatoboa huku Simba ataishia robo.

    Simba kitachomuuma ni kuishia robo huku Yanga ikitoboa mpaka nusu fainali. Simba italaumu sana uongozi
  2. S

    Utabiri wa Droo Robo Fainali: Yanga vs Mamelodi; Simba vs Al Ahyl

    Mimi ni shabiki wa Yanga na huu ndio utabiri wangu katika droo itayochezwa hivi karibuni katika kupanga mechi za Robo Fainali. Droo ikiwa hivi, basi si Simba wala Yanga ataefuzu. Hata hivyo, ataepangiwa mpinzani tofauto na hao niliowataja, atakuwa na nafasi ya kutinga nusu fainali hasa Yanga...
  3. S

    Utabiri: Zitto kupewa ubalozi wakati wowote

    Huu ndio mtazamo wangu kwa saa kuhusu huyu mwanasiasa. Itachukua muda gani au ni lini atatuellliwa, hio ni swala la muda. Kupewa cheo serikalini pia inawezekana, lakini hili naliona sio rahisi labda ujumbe wa bodi kwenye mashirika ya umma. Muda utathibitisha.
  4. Expensive life

    Utabiri: Simba na Yanga wote watasare michezo yao ya CAF champions league

    Huu ndio utabiri wangu simba na yanga wote watasare michezo yao, kulingana na wapinzani wanaocheza nao nimetizama kwa jicho la kiufundi sion hata mmoja wao akichukua alama zote tatu. Asec vs simba 0 - 0ft Yanga vs belouzdad 1 - 1 ft
  5. Mhaya

    Nabii wa Wasafi TV atoa Utabiri wa Mwaka 2024

    Nabii Clear Exaud Malisa ambao urusha matangazo ya kanisa lake kupitia Televisheni na Radio ya Wasafi, amekuja na utabiri wa mwaka huu 2024. Clear Malisa amesema mwaka huu 2024 umegubikwa na matukio makubwa sana ambayo ameorodhesha kama ifuatavyo. 1. Natural Disasters (Majanga ya kiasili)...
  6. B

    Utabiri kwa miaka hii miwili 2024 na 2025

    Kwanza nipende kumshukuru mwenyezi Mungu kwa kuniwezesha kufikia siku hii ya mwisho ya mwaka 2023. Kutokana na maisha yetu wanadamu kuwa na vipindi tofauti tofauti, nimeona niwaletee utabiri mfupi juu ya mwaka mpya inayokuja ya 2024 na 2025. Mwaka 2024 Huu mwaka unaonesha utakuwa na utulivu...
  7. AnyWayZ

    Wachungaji, Mitume na Manabii wote pita Huku: Ahadi za utabiri wenu haujatimia.

    Habarini ndugu katika jukwaa, Hongereni kwa uvumilivu kuelekea kuumaliza mwaka na tumshukuru Allah kwa kuturehem sisi. Hawa wenzetu manabii na mitume plus wachungaji katika majukum yao hututabiria baraka kem kem ilihali wao wenyewe hawajua chochote kuhusu kesho, utasikia huu kwaka ni wako...
  8. Mr Dudumizi

    Utabiri: Katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, Sugu atavunja record kwa kupata kura ambazo hakuna mgombea mwingine aliwahi kupata

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Kwanza naomba niwaandae kisaikolojia, wale wote ambao wanafikiri kuwa Chadema haitoshiriki katika uchaguzi mkuu wa uraisi, na ubunge. Utabiri wangu unaonesha kuwa Chadema itashiriki katika chaguzi zote mbili. Yani uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika...
  9. Mhaya

    Cartoon ya The Simpsons na utabiri wa 2024

    Tunatoka mwaka 2023, tunaingia mwaka 2024. Huu ni mwaka ambao hao watawala wa dunia hii wanakwenda kufanya mambo makubwa sana, wanasema haijawahi kutokea. Kutakuwa na matukio makubwa ya vifo, hasa kwa viongozi wakubwa, kutakuwa na mambo mengi mabaya kuliko miaka mingine. Nilikuwa naangalia...
  10. M

    UTABIRI: Yanga Sc kuishia na alama 5 tu katika makundi ya CAF Champions league

    Nimeweka uzi huu kuwakumbusha wana Yanga kuwa ule muda wa kucheka umekwisha marabaada ya kupata ushindi kwa mara ya kwanza ktk hatua ya makundi ya klabu bingwa barani Africa ndani ya miaka 88 toka kuanzishwa kwa klabu hiyo. Vituo vinavyofuata ni Al Ahly na CR Belouizdad ambao bila ya shaka...
  11. kiwatengu

    FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

    🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #CAFCL ⚽️ Young Africans SC Vs Medeama SC 📆 20.12.2023 🏟 Benjamin Mkapa 🕖 4:00pm Mungu Ibariki Tanzania!! Mungu ibariki Yanga!! #DaimaMbeleNyumamwiko# Kikosi cha Yanga kinachoanza. Kikosi cha Medeama Kinachoanza. Dakika ya 33' Yanga wanapata goli, kupitia kwa Pacome. Yanga 1 -...
  12. Tate Mkuu

    Tabiri hapa matokeo ya mechi ya marudio kati ya Simba SC dhidi ya Wydad Casablanca

    Binafsi naamini Mnyama hatari wa mwituni Simba atapata ushindi mnono wa goli 2-1. Baleke na Kibu watatupia siku hiyo. Karibuni wadau kwa utabiri wenu.
  13. Killing machine

    Tujiandae na Vita ya Tatu ya Dunia

    Habari wakuu zangu, Kuna msemo unasema "Jela hakuna mateso ila wanao leta mateso jela ni wajelajela wenyewe." Hivyo hivyo duniani ni mahala salama, pana maji, vyakula ardhi nzuri, na vyote Mungu alitoa bure. Yaani ule bure, unywe bure, ujenge popote bure, uwinde bure, uvue samaki was baharini...
  14. Rhz4567

    Utabiri: Simba Sc na Young Africans hawana uwezo wa kufuzu Robo fainali Club bingwa Africa msimu huu

    Simba Sc na Young Africans hawana uwezo wa kufuzu Robo fainali Club Bingwa Africa Msimu huu. Wajipange msimu ujao waje kivingine
  15. S

    Utabiri wa Hali ya Hewa: TMA ipewe maua yake

    Sipendi sana kutumia huo msemo, ila kwakuwa ndio uko kwenye chati, wacha niutumie kuwapongeza Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini kwa kutoa utabiri wenye viwango. Wote ni mashuhuda wa utabiri wa mvua za mafuriko kutoka TMA japo wako watu waliobeza ila muda umethibitisha. Waliochukua tahadhari...
  16. FaizaFoxy

    Wanaotangaza utabiri wa hali ya hewa (TMA) wawe wanatangaza ukweli

    Kwanza niipongeze sana idara inayoshughulika na ukusanyaji wa data za hali ya hewa na mwisho kututangazia hali ya hewa inayotarajiwa kuwepo. Binafsi ni mdau mkubwa wa kutazama hali ya hewa, kwa uchache kutwa mara tatu. Habari ya mwisho kuu waliyotutangazia watabiri wetu ilikuwa ni kututaka...
  17. Street brain

    Utabiri: CAFCL up to final

    Habari wana jf,,,, natumai mko pw kwa waliobahatika kuona ule utabiri wangu wa group stage ambayo imetoka leo,, Niliitabiri wiki moja before jinsi makundi yatakavyokuwa na ndivyo hivyo yametokaeo hiiiii.. Natabiri from group stage up to final yaani nani atapita makundi na nan ataingia robo na...
  18. Kilimbatz

    Utabiri wa Makundi ya CAF CL ya Mwandishi wa Habari MickyJr

    Naona ibaki hivi hivi: 𝐆𝐫𝐨𝐮𝐩 𝐀: • Mamelodi Sundowns 🇿🇦 • CR Belouizdad 🇩🇿 • Al Hilal 🇸🇩 • Medeama 🇬🇭 𝐆𝐫𝐨𝐮𝐩 𝐁: • Wydad AC 🇲🇦 • Simba SC 🇹🇿 • ASEC Mimosas 🇨🇮 • Jwaneng Galaxy 🇧🇼 𝐆𝐫𝐨𝐮𝐩 𝐂: • Al Ahly 🇪🇬 • Petro de Luanda 🇦🇴 • Yanga SC 🇹🇿 • FC Nouadhibou 🇲🇷 𝐆𝐫𝐨𝐮𝐩 𝐃: • ES Tunis 🇹🇳 • Pyramids...
  19. B

    Utabiri: Wakili Msomi Boniface Mwabukusi ndiye yule ajaye

    Wapendwa wana JF, ni matumaini yangu mko vizuri. Nimeota mara kadhaa kwamba Wakili Msomi Mwabukusi atakuja kuwa kiongozi mkubwa kabisa katika nchi yetu. Atakuwa ni Rais mpole na mnyenyekevu kuliko wote waliomtangulia. Lakini wakati huo huo, atakuwa ni Rais mkali zaidi kuwahi kutokea...
  20. Mhaya

    Unabii wa mchungaji Moses Kulola wa mwaka 1997 kuhusu vita ya Urusi watimia mwaka 2023

    Katika mahubiri yaliyofanyika huko Mwanza, mchungaji Moses Kulola alitoa unabii juu ya vita ya Urusi ambao chanzo chake ni Nato na akasema kutakuwa na Vita kubwa chini ya Urusi. Na pia akasema Urusi imeandikwa ndani ya Biblia, na kiuhalisia biblia ni kitabu kilichojaa matukio mengi yanayotokea...
Back
Top Bottom