Ninaomba tujadili hii mada, maana halisi ya utajiri ni nini? Pesa na mali vinaweza kukupa furaha duniani? Kuna raha gani ya kuwa tajiri ilhali umezungukwa na masikini katika nchi, mji mtaa hata kijiji unachoishi?
Watafiti wa uchumi wanasema 5% ya wakazi wa dunia hii ndiyo wanaomiliki utajiri...