KILIMO BORA CHA MPUNGA:
A: kuandaa shamba
shamba lilimwe vizur na kusawazishwa liwe level (Hallow)
Piga dawa ya magugu kabla ya kupanda Kama Bafoseti
weka mifereji ya Maji vizuvizur
Andaa majaruba mapema yawe level kupitika Kwa maji
B: UANDAAJI WA MBEGU NA KUPANDA
Kwa kilimo Cha nchi kavu...
Serikali ilijenga nyumba Chanika halafu zikawa hazinunuliwi. Magufuli akaenda Chanika,akasema tutapunguza bei ya hizi nyumba ili watu wamudu kuzinunua.
Jennister Mhagama ndiye alikuwa waziri mhusika wakati ule.
Tatizo ,wanasema,kwa nini nyumba zile zilikuwa hazinunuliwi ni kwamba watu walipokuwa...
Kuna matajiri wakubwa Tanzania ambao utajiri wao waliupatia kwenye kilimo. Kuna ambao ni wakulima matajiri wanaoendelea na kilimo mpaka sasa. Na kuna matajiri walioamua kuingia kwenye kilimo baada ya kugundua kuwa kilimo kinalipa kuliko biashara zao za awali.
Na, kwa mujibu wa huu uzi, kilimo...
USAJILI, UTAJIRI, UMAHIRI
Kuanzia sasa ninafanya usajili,
Kuanzia sasa ninajisajili,
Najiunga kwenye chama cha utajiri.
Kwanza nitaboresha uwezo wangu wa akili,
Kila jambo nitafanya kwa kufikiri,
Na kwenye kazi yangu nitaongeza umahiri.
Kwa nini nimeanza na akili?
Kwa sababu nilimsikia tajiri...
Hili swali kila siku najiuliza sipati majibu sahihi. Utajiri wa mababu zetu umeenda wapi? Uhakika ni kwamba walifanya kazi na walikuwa na mali za kutosha lakini kwa sasa hazionekani tena.
Habari. Assume wewe ni mfugaji wa Kiebrania. Umepewa urithi wa ng'ombe 100 na baba yako. Ndani ya mwaka wakazaliwa ngombe 20. Ukawa na ng'ombe 120. Wakati wa kutoa zaka unefika.
Je utatoa ng'ombe wawili kama asilimia kumi ya ng'ombe ishirini walioongezeka au utatoa ng'ombe 12 kama asimilia...
Nimejiuliza nimekosa majibu, 2015 alikuja mhindi mmoja nyumbani akiomba nimpatie gari abebe vyuma chakavu from Jombe to Kibaha , since then amekuwa kama mshikaji bado nampakilia sana vyuma, kinachonishangaza amekusanya mtaji mkubwa kwa miaka michache, pesa aliyonayo ni kubwa sana, wakati...
Hili ni swali huwa najiulizi mara nyingi.
Hivi ni kitu gani kinasumbua jamii yetu mpaka utajiri au biashara za kifamilia kufa na kushindwa baada ya mwenye mali kufa ?
Maana ukitazama wenzetu waarabu wanaweza kufanya biashara au kuendeleza utajiri wa familia kwa miaka mingi sana vizazi na...
Ukweli mchungu sana kwamba katika nchi za kishenzi ili uwe tajiri, basi uingie kwenye siasa.
Lakini katika nchi zinazojielewa kama Marekani na nchi za Ulaya, ili uwe kiongozi wa kisiasa lazima uwe vizuri kiuchumi, yaani ni lazima uwe tajiri.
Hii hali huwa na athari mbaya kwa nchi zetu kwa...
Fikiria huko sehemu na jamaa zako mkila bata alafu jamaa fulani amnong'oneze mwenzake "unamuona huyo jamaa! kwao ni masikini wa kutupwa". Au umekaa sehemu za ushuani kama "masaki" ukiwa na marafiki na wewe unaishi mbagara japo umejenga mjengo wa maana mbagara (ghorofa) alafu wakati...
Takwimu zinaonesha kwamba, Kagera ni kati ya mikoa ambayo watu wake wana kipato kidogo zaidi. Pamoja na yote tunayofahamu kuhusu wenyeji wa mkoa huo (Si unajua tena: wasomi, wenye pesa, watu wa kwenda nje ya nchi na mengine). Mkoa huo umezidi kudorora kwenye kila nyanja ya maendeleo.
Toa Maoni...
Nchi nyingine vitengo vya intelligence vinajaza watu wenye akili kubwa, na maono mapana. Idara yetu inajaza makada tu wa CCM ambao hawana tija wala uwezo wa kuishauri serikali ifanye nini ili ijikwamue na huu umasikini unaolimaliza taifa, ndio maana utaona machawa wa mama wanazunguka ndani na...
Huyu jamaa hajatajirika kwa kuombewa, amesota hadi akajua kutabiri.
Aktafuta ka angle ambako ana ku screen hadi bibi na babu yako shamba huko, akaanza kutengeneza mpunga.
Kamwe huwezi kutajirika kwa kuombewa, ila kwa kutumia karama na vipaji ulivyopewa na Mwenyezi Mungu.
Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na BoT kwenye ripoti yake ya Consolidated Report ya mwaka 2022 inaonesha Pato la Kila Mkazi wa Dar limeongezeka Kwa Shilingi Laki 5 wakati wastani wa Pato la Kila Mtanzania likiongezeka kutoka sh.2.7 mln Hadi sh 2.8 mln (Laki Moja) Kwa mwaka 2022.
My Take: Kila...
Kuna Tabia za kila namna huku duniani.Kuna tabia za watu maskini,kuna tabia za matajiri na aina nyingine nyingi za makundi ya kitabia.Kabla ya kuanza kuelezea kuhusu tabia za watu wanaotafuta utajiri(Tabia ambazo wakiwa nazo ndipo wataweza kufanikiwa kuwa matajiri) Nataka kwanza nieleze maana ya...
Wakati mwingine nasema sijui niwafumbue watu macho, muone kile watu wengi wanavyoviona ama niache. Nikiandika kidogo, watu wanakuja na kusema bro! Mwisho utakufuru...bro! Haya mambo ni makubwa sana... Na kadhalika.
Nisikilize! Hii dunia ina siri kubwa sana. Ina siri kubwa ambazo ukizisikia...
Kuna jambo la ubunifu wa hali ya juu unafanyika katika matamasha ya wasafi 2023 lichavya kuonekana wasanii wakiongozwa na diamond platnumz kama wanatumia mamilioni ya pesa ila kuna kitu kipta kinazaliwa kwenye sanaa ya mziki wa Tanzania.
Hakika ubunifu wao umewagusa watu mbalimbali africa na...
For almost 2 year ambapo nilianza kufanya kilimo serious nimeingiza almost 30 milioni for two year aisee! Nyie sasa kutwa kushinda kwenye betting na msingi kiuno halafu mtegemee kutoboa kwenye maisha?
Vijana pambaneni kwenye kilimo tokeni hapo Dar esSalaam hapo nendeni mkalime mwishowe...
Je utajiri unaweza kuchangia ustaarabu wako?
Nimekuwa nikitazama kwenye zebra kwa utafiti wangu. Ni rahisi V8 awape chance ya kuvuka watembea kwa miguu kuliko ist na bodaboda.
NB. Assumption ya utafiti ni kuwa mwenye v8 ana kipato kuliko bodaboda.
Update.
Angalia daladala zinazokwenda sehemu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.