utajiri

  1. MINING GEOLOGY IT

    Prof. Muhongo ataja utajiri wa madini nchini “Tufanye maamuzi haraka tutailisha dunia”

    https://www.youtube.com/watch?v=k0X8CsnDV24 Ni kazi ngumu kufikisha idara hii ya geology ambayo kwa kwetu imeonekana kama ina mchango mdogo wakati ndio yenye utajiri wa madini. MINING GEOLOGY IT
  2. MINING GEOLOGY IT

    Sasa ni wakati wa kutoka gizani kwenye pango kuhusu utajiri wa madini

    Hapa kuna ujumbe kwenu: Alama ya pango la Plato Katika pango, watu ambao wameishi maisha yao wakielekea nyuma kuelekea mwanga unaoingia kutoka nje, wanauona tu vivuli vya wanyama, watu, na vitu mbele yao. Vivuli hivi ndivyo ukweli pekee kwa watu hawa ambao hawajawahi kuona sura zao halisi.Siku...
  3. MINING GEOLOGY IT

    Dhahabu ya Afrika na Utajiri wa Mansa Musa na Biashara ya Dhahabu katika Karne ya 14 na 15

    HISTORIA Mansa Musa, ambaye alikuwa mtawala maarufu wa Dola ya Mali kati ya karne ya 14 na ya 15, alikuwa mwenye utajiri mwingi sana na anajulikana kwa utajiri wake mkubwa wa dhahabu. Utajiri wake mkubwa ulitokana na utawala wa eneo lenye rasilimali nyingi na biashara ya dhahabu.Eneo la Dola ya...
  4. Lomaa lolusa

    Utajiri kupitia ufugaji

    Members habari naweza kutajirika kupitia ufugaji na kitu gani Cha kufuga kitakachonitoa haraka
  5. I

    Kenya yaorodheshwa kama nchi ya nne kwa utajiri barani Afrika

    Kenya iliorodheshwa katika nafasi ya nne katika nchi tajiri zaidi barani Afrika na siku 2 zilizopita Kenya imeorodheshwa miongoni mwa masoko makubwa matano tajiri barani Afrika yenye mamilionea na mabilionea. Kulingana na Ripoti ya Utajiri ya Afrika ya 2024 iliyochapishwa na Kampuni ya...
  6. MINING GEOLOGY IT

    Craton yenye utajiri wa madini na usalma

    Kwa tanzania ni moja ya maeneo yenye craton, ambayo ni sehemu thabiti ya ganda la dunia ambalo limekuwepo kwa mamilioni ya miaka bila kubadilika sana. Craton za Afrika, ikiwa ni pamoja na ile ya Tanzania, zinaonyesha ishara za miamba yenye umri mkubwa sana, kama vile miamba ya kale ya...
  7. Kamanda Asiyechoka

    Hongera Kamanda Paul L Fulano kuimarisha chama Sengerema. 2025 lazima umg'oe Tabasamu na utajiri wake

  8. Mus_musa

    Utajiri Biashara ya Hardware 5mil Pekee

    Hardware ni biashara ya kuuza vifaa vya ujenzi na vya kielectroniki. Kiukweli biashara ya hardware ni nzuri na inalipa endapo ukiwa unajuhudi. Hata ukiwa na 5mil unaweza kuanza na hardware kuanza kuuza vitu vidogo vidogo vinavyo toka kila siku mfano Vitasa vya mlango, Rangi 5L, Misumali n.k...
  9. Riskytaker

    Utajiri wa wafanyakazi wa TRA uchunguzwe

    Sina Nia mbaya Ila kwa experience na references nilizonazo wafanyakazi wote wa tra wachunguzwe. Kilichopo TRA ni utajiri wa kutisha wa wafanyakazi wake vijana kwa wazee. watu wa jamii fulani kurundikana kama wafanyakazi wa TRA pia ichunguzwe.
  10. S

    Kujenga Utajiri wa Kudumu (Generational Wealth)

    Habari wanajamvi, Natumaini kuwa tuko salama katika shughuli zetu siku ya leo. Hongera kwa kufanya sehemu yako katika kusukuma gurudumu la maisha na la taifa pia. Nchi hii inakutegemea (endelea kupigana, iko siku). Leo nimeleta mada ambayo imekuwa ikinisumbua kichwa kwa muda mrefu. Endapo wewe...
  11. F

    Fazili amjibu Mhaya na kuna makubwa ya kujifunza katika mahojiano haya; siri za utajiri wa kimungu

    Wote wanaokuja kumjua Mungu wa Kweli hujilaumu kwanini wamechelewa kumjua Mungu na maisha yao hubadilika kabisa. Kwasababu hukumjua basi naye "hakukujua". Hii ni tabia ya ajabu sana ya Mungu. Unajua kwanini? Ukimheshimu Mungu naye anakuheshimu! Na pia watu wengi hawapo kwa Mungu naye hayupo...
  12. M

    Mirathi ya Kobe Bryant yazua gumzo USA, utajiri wote wagawanywa kwa mke na watoto huku wazazi wakiishi kimaskini

    Wamarekani wanamlaumu Kobe Kobe ana makosa ya kutowapa wazazi wake maisha hakuandika wosia kabla hajafa hivyo ni kama alichagua kutojumuisha wazazi wake katika wosia wake hivyo mali zote zimeenda kwa mke wake. Ukweli wamarekani wana utamaduni wa ajabu sana, how can a person be worth Trillions...
  13. Analogia Malenga

    Weka picha ya gari namba 'E' kuonesha utajiri wa Tanzania

    Mimi nimeishia la saba B, hivyo siwezi bishana na mwenye PhD. Leo nilikuwa natembea nikaona gari kadhaa za namba E, nimezipiga picha. Kwa wengine kama mkiyaona yapigeni picha kuonesha utajiri wa watu wa nchi hii. Pia kama ukipita bar au club piga picha nyomi tuone utajiri wa nchi.
  14. M

    Ukiona wanakung'ang'ania wakupe utajiri wa haraka jua wamekuona akili yako ni chenga

    UkIONA WANAKUNG'ANG'ANIA WAKUPE UTAJIRI WA HARAKA JUA WAMEKUONA AKILI YAKO NI CHENGA 😔 Umewahi kusikia watu wakijinadi kutoa utajiri wa HARAKA? Yaani kulala maskini na kuamka tajiri? Taarifa isiyopendeza ni kuwa kama nawe ni mmoja wa wateja wao basi jua kuna kitu kwako hakipo sawa na tayari...
  15. S

    Sababu kubwa ya Nyerere kumkataa Lowassa asiwe Rais ni utajiri wake uliotokana na urefu wa kamba yake wakati huo!

    Juzi hapa niliweka thread JF iliyosema wengi wa matajiri wa Tanzania ni wanasiasa na sio wafanya biashara, nikiwa na maana kwamba utajiri wao haujatokana na kufanya biashara bali umetokana na nafasi zao za kisiasa au uongozi serikalini kujitajirisha - urefu wa kamba zao. Kwa wengi wetu huo ni...
  16. G

    Orodha ya wasanii ambao bongo fleva / hiphop imewapa mafanikio makubwa

    1. DIAMOND PLATNUMZ - CEO wa wasafi fm na tv + label, msanii pekee mwenye msururu wa ndinga za kwenda mbele 2. MR NICE - Ni Diamond pekee ndie alieweza kumfikia ukwasi akiwa peak, miaka hio ya 2003 inasemekana alikuwa anamiliki ukwasi wa bilioni 1 ya enzi hizo 3. AY - Mzee wa commercial...
  17. K

    Siasa na utajiri

    Mo, Lowassa, Rostam wote waliingia kwenye siasa kulinda uwekezaji wao na mapenzi ya vyama ni fake. Ndiyo maana wameingia na kutoka. Hata Lowassa iko siku atatoka. Ukiangalia vizuri marafiki zao wa kweli sio makada na vyama bali watu. Chini chini Mbowe ni rafiki wa wote hao kwasababu ya...
  18. Nyafwili

    Ukijifunza kwa waliofanikiwa, hawawezi kukupa njia za mafanikio

    Habari wana JamiiForums, poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝 Imekuwa kawaida sasa kwa watu waliofanikiwa kiuchumi kubaki na siri zao namna walivyo ukimbia ukata, kila Tajiri utakaye muuliza kuhusu mafanikio yake lazima atakuambia: • Nilianza kuuza karanga za kupima. • Nilianza kushona viatu...
  19. Mjanja M1

    Video: Utajiri wa Mo Dewji ulipoanzia hadi ulipofikia hivi sasa

    Unapofanya kazi kwa bidii na unapokuwa na nidhamu basi mafanikio huwa ni suala la kugusa tu. Mo Dewji amelidhihirisha hilo kwa kuongeza utajiri aliokuwa nao toka Dola Millioni 30 hadi kufikia Dola Billioni 1.8 za kimarekani. ANGALIA HAPA HISTORIA YA MAFANIKIO YAKE KUANZIA MWAKA 1999. Written...
  20. Teslarati

    Kuweni makini, Global Financial Crisis (Mtikisiko wa uchumi) is coming and real

    Kuna mitikisiko midogo midogo ya uchumi huwa inatokea na inadumu kwa muda mfupi lakini kuna ile mikubwa kama Great Depression, hii mikubwa yote huwa inatanguliwa na vita pamoja na utra super overspending kuanzia level ya watu binafsi, familia, makampuni hadi nchi kwa ujumla. Nikisema ultra...
Back
Top Bottom